Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania imefungua vizuizi vya utafutaji wa mafuta ndani ya Ziwa Tanganyika, mojawapo ya maziwa makubwa zaidi ya maji safi duniani yaliyyo kati ya Tanzania, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
6 Reactions
20 Replies
628 Views
Akiwa katika Ziara yake Nsimbo Katavi, Waziri Mkuu ameonya tabia ya vituo vya afya kuwaagiza wanaanchi wakanunue dawa nje ingali nchi una utoshelevu wa dawa katika maeneo ya kutolea huduma za...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Wanabodi Leo tumemuaga mwana tasnia ya habari, Dennis Busulwa kwa jina maarufu la Ssebo Hii ni Tribute yangu to Dennis Busulwa (Ssebo), aliiheshimu sana TCRA na kuiita Baba!. Alitamani TCRA...
3 Reactions
22 Replies
576 Views
Wakuu, Akizungumza jana kwenye kipindi cha Jambo Asubuhi cha Jambo TV Peter Madeleka alisema kwamba Katiba inayotumika sasa ilitegnenezwa ndani ya wiki 2 tu na ilitengenezwa na watu 20 pekee...
6 Reactions
14 Replies
376 Views
Ndugu wanajamvi nauliza hivi baada ya tukio lililotokea hapa mpanda mjini jioni hii. Leo kulkuwa na pambano la mpira wa miguu kati ya POLISI KATAVI na KAWAJENSE ambapo polisi walishinda 1 bila...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma. Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa...
15 Reactions
111 Replies
3K Views
Muhimbili watolea ufafanuzi Hoja zilizotolewa na Dudubaya kuhusu MRI MRI inatumia sumaku kuzunguka mwili wa binadamu bila mashine yenyewe kuzungusha kitu chochote kile kwa sababu sumaku inakua...
7 Reactions
86 Replies
2K Views
Wanabodi Leo Tunampumzisha Prof. COSTA RICKY MAHALU, alikuwa ni Wakala wa Mungu hapa Duniani!, aliokoa maisha yangu jijini Rome nchini Italy!. https://youtu.be/8PEJcraoh5w?si=mNUUwWAPT2J2F6bq...
14 Reactions
12 Replies
463 Views
Mfanyabiashara Rostam Azizi ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Machi 11, 2026 jijini Nairobi, Kenya wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu uwekezaji wake katika Kampuni ya Nation Media...
4 Reactions
15 Replies
819 Views
  • Redirect
guest-1787677352
Video inajieleza. Uzi tayari.😂😂😂
0 Reactions
Replies
Views
Siku moja inasemekana aliwaza jambo la ajabu sana. Aliita baraza lake la mawaziri na kuwaambia kuwa anafikiria kubadilisha jina la nchi ya Uganda liitwe “Idi. Ukumbi ukatulia kimya. Mawaziri...
19 Reactions
25 Replies
624 Views
Huyu Polycarp Pengo alikuwa mnafiki sana.. Na amekuwa kikwazo katika mapambano ya Katiba mpya. Tangu awageuke Maaskofu wenzi nilimdharau sana.. Ukiongea naye, alikuwa anaonekana hata kwwa kauli...
24 Reactions
69 Replies
2K Views
Wakati 'Tume Huru ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea Nchini Oktoba 29.2025 na siku zilizofuata' ikiendelea na majukumu yake, na wakati huu ambao inatajwa kwamba baadhi ya...
5 Reactions
25 Replies
800 Views
Ndiyo mwendo na siyo coincidence, ni deliberate move from the so called judiciary! Takataka
8 Reactions
16 Replies
394 Views
Wakuu, Polisi wameongezeka jijini (Dar es Salaam) kuliko kawaida, maeneo karibu na Mahakama Kuu na sehemu walikokinukisha idadi ya polisi wenye silaha imeongezeka kwa wingi, mpaka wananchi...
8 Reactions
32 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, ameshiriki katika Mkutano wa Tano wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (Joint Permanent Commission - JPC), kati ya Jamhuri ya...
2 Reactions
9 Replies
254 Views
13 March 2026 MAHAKAMA KUU TANZANIA YATUPILIA MBALI KESI DHIDI YA TUME YA JAJI CHANDE YA KUCHUNGUZA KILICHOPELEKEA MAANDAMANO NA MAUAJI YA OKTOBA / NOVEMBER 2026 Kesi Nambari 30210 / 2025 dhidi...
1 Reactions
12 Replies
472 Views
UAE President His Highness Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan today received a phone call from Her Excellency Dr Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania, who expressed...
6 Reactions
28 Replies
782 Views
Makubaliano hayo yatajikita katika, Kukabiliana na majanga na kutoa msaada wa kibinadamu ni sehemu muhimu ya kudumisha usalama wa kitaifa na wa kimataifa. Leo, Ubalozi wa Marekani uliwasilisha...
3 Reactions
33 Replies
726 Views
Makamu wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasihi viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla kutumia kipindi cha toba cha Ramadhani na Kwaresma kuiombea nchi, viongozi wa serikali na vyama...
5 Reactions
25 Replies
615 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…