Nadhani wote mmemsikia Paul Makonda kuhusu mpambano wa kuelekea 2030 kwenye kiti cha Urais kupitia ccm.
Makonda kwa madongo ya leo atakuwa anamlenga nani haswa?
Ila cha kusikitisha leo ni...
George Sanga, msaliti wa Watanzania, amezua mjadala mpana katika jamii kufuatia hatua yake ya kubadili msimamo na kuacha njia ya mapambano ya haki na demokrasia. Kitendo chake kinatazamwa na wengi...
Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.
Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Ghati Zephania Chomete, leo Machi 26, 2026, amesaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge...
Hii rabuda inaweza ikawa njia nzuri Sana kusikika kuliko tunavyojaribu kudai haki kwa maaandammano. Bahati nzuri mwimbaji aliwahi kuwa Mwanasiasa CHADEMA, NCCR MAGEUZI na CCM kabla hajaacha Siasa...
Wakuu,
Zile mbwembwe na tashtiti za Uchaguzi zimeanza rasmi. Huyu kaamua kuubwaga Ukuu Mkoa wa Iringa na kwenda kugombea Ubunge!
========================
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter...
Swali wahamie wapi toa sehemu mbadala kuwahifadhi wana Rungwe.
Watu 20 wameshapotea daah inauma sana nchi yani hii.
Toa suluhisho kiongozi sasa watu hawana nyumba kusema tuu wahame haitoshi .
Joseph Mbilinyi (Sugu) akiwa kwenye mahojianao na Mwananchi Digital, amesema "CHADEMA siyo chama kikuu cha upinzani, CHADEMA chama kikuu cha Siasa Tanzania kwasababu kingekuwa chama cha upinzani...
Utangulizi
Kuwa kwa kasi kwa huduma za kifedha za kidijitali nchini Tanzania kumeleta mapinduzi makubwa katika upatikanaji wa mikopo na huduma za malipo kwa mamilioni ya wananchi. Miongoni mwa...
Ni kweli kwamba silitambui Bunge la TANZANIA, hii ni kwa sababu hakuna mbunge aliyechaguliwa na wananchi, na Wala hakuna mbunge yoyote wa Leo aliyejua amepata kura ngapi, Walitangazwa tu
Hata...
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, amesema kuwa marehemu William Lukuvi alikuwa na moyo wa kujituma na kujitoa kikamilifu katika kazi, akibainisha kuwa hadi jana alikuwa ofisini licha ya kujisikia...
Katika hali isiyo ya kawaida, Kwa kauli na mienendo yake ya hivi karibuni, Anna Tibaijuka ameonesha wazi kukosa haya kwa kiwango cha kutisha, anafanya mambo ambayo hata mtoto mdogo hawezi kufanya...
Mjadala wa wazi kati ya viongozi wa Dini na Wanananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 Mwanza katika ukumbi wa Nyakahoja leo Machi 26, 2026.
Viongozi wa dini wanaoshiriki mjadala wa...
"Mimi na Magufuli ni kitu kimoja" kweli? Magufuli yupi analiyemaanisha hapa? Magufuli huyu aliyemkamata Seth kwa ufisadi na utapeli? Magufuli huyu wa Chato au ni Magufuli wa Msoga?
Leo Magufuli...
Dear Mr. President, POTUS However this Iran war turns out, you have earned my respect for keeping your word to the Iranian people as they were being massacred by their own government, you told...
Wakuu,
Hakuna sababu yoyote kuzidi kumuweka Lissu Gerezani
Uchaguzi ushapita, maandamano yashapita na lile joto la kisiasa pia lishapita.
The only reason why, Lissu yuko Gerezani ni kuhakikisha...
Wakili mwandamizi Shaban Nsato Marijani ameeleza kuwa kilichozungumzwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia (CHADEMA), John Mnyika kuhusu wigo wa shauri la mgawanyo wa mali ni upotoshaji. Wakili...