Hamjambo Wote!
1. Sijui kama naeleweka.
Yaani nikuumize, nikutese, nikuharibie maisha alafu Siku yamenipata ulete ngonjera za ajabuajabu. Sijui UTU. Sijui Imani!
2. Aiseeh! Hakuna cha utu kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kiukweli ninamuamini na kumkubali sana Rais Samia . Ni kiongozi Ambaye naamini ni mtu sahihi kuendelea kuliongoza Taifa letu. Nina Mwamini kuliko Mtu mwingine yeyote yule...
Kwenu waheshomiwa
Naona mikwara ya viroja inaendelea juu ya wale wanaomboleza visivyo wapendeza wenye mamlaka bandia.
Wengine wanatoka maandiko, wengine wanatishia kufungia mitandao na ujinga...
Kuna chemba ya maji taka inayotiririsha uchafu kando ya Soko jipya la Kariakoo, ambalo limezinduliwa hivi karibuni na Rais Samia Suluhu Hassan. Chemba hiyo ipo kwenye kona ambapo daladala za...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa wito kwa Watanzania kuwa makini na matumizi ya mitandao ya kijamii, akisema baadhi ya watu wanaposhiriki mitandaoni...
Helolloooo
Hizi off target hatuzipendi tunataka malaika watoa roho wapige panapostahili.
Tutamaliza bia zote hadi tutaenda kunywea kwenye masufuria ya viwandani.
Wakuu,
Mossy Lukuvi, ambaye ni mdogo wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratıbu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, William Lukuvi, amewaomba msamaha...
Habari wakuu
Nimepita mitandaoni nimekutana na clip ya mzee Wasira akikemea kuhusu watu kujiandaa na 2030, toka uchaguzi mkuu ulipokishwa mpaka sasa hata mwaka haijatumia.
Hii kitaalamu imekaaje...
Wakuu, nimejawa na hasira tu na hii foleni kuanzia Mikocheni mpaka Mbezi Beach, kumeshona balaa, ukisogea hatua moja ndo unalala hapo hapo mpaka unasahau kama upo kwenye chombo cha usafiri
Yote...
Rais Samia kuwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa William Lukuvi, Viwanja vya Karimjee, leo Machi 28, 2026. Hadi mauti yanamkuta Lukuvi alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge...
Rais Samia umekosea sana kutoa msamaha kwa wahalifu wa October 29.
Unadhani utapendwa na watu wote?
Unadhani wapinzani watabadili mtizamo wao juu yako?
Wewe ndiye uliwapa kupumua wapinzani baada...
Ukienda msibani kwa Lukuvi, wameweka bango lenye maneno ya kwenye Bibilia kutoka 2 Timotheo 4:7
"Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda"
Wazee wa zamani naomba...
Kwanza nianze na salamu ya Kwetu Kwa DPP ( mkurugenzi wa mashitaka) na kaka yangu Sylvester Mwakitalu. UGHONILE KIKOLO NDAGA UTUKUNYIKE. KYALA AKUSAJE NU KUKULINDILILA PAMUSI NA PAKILO.
Pili...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenan Kihongosi ametoa onyo kali kwa watu wanaochochea vurugu nchini, akisisitiza kuwa Serikali haitavumilia vitendo...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema katika kipindi hiki ambacho Dunia inashuhudia misuguano na machafuko katika maeneo mbalimbali ambayo yanapelekea kupanda...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Jasiri muongoza njia na Shujaa wa Afrika anakwenda Kuongoza Maelfu ya Waombolezaji Kuaga Mwili wa Mheshimiwa...
Nilimuona Kombo anatoa pole kwa ndugu zetu katika imani balozi wa Iran. Sasa hiyo pole mbona ndugu zetu hawarudisha ukarimu huo kuruhusu meli zetu zipite.
Ukizingatia kiongozi mkuu ni muislamu...
Kulia na kucheka inategemeana na moyo pamoja na akili ya mtu. Huwezi kufurahia kifo cha mtoto wangu halafu nihuzikie kifo chako. Samia akumbushwe kuhusu 29 Oktoba 2025 then atuoneshe wapi alilia...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Taifa limempoteza William Lukuvi katika kipindi kigumu ambacho dunia inakabiliwa na migogoro inayoweza kuathiri uchumi na kupandisha bei za bidhaa.
Akizungumza...