Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Samia, Ndani kwenu mna makundi !. Makundi mengine upo nayo ila yanakurahisishia Anguko lako. Nimepatwa na Hisia, Ndani yenu, kuna watu wanataka KUMUUA KITIMA ili wachoxhee anguko lako...
16 Reactions
35 Replies
1K Views
Unaweza kubadili sura ya haya yaliyotokea/uliyoyasababisha kwa kuwa muungwana. Sikiliza wananchi wanataka nini. Kutana nao jenga lililo jema nao! Kidogo unaweza kulainisha vyuma hivi...
6 Reactions
17 Replies
573 Views
Ndugu zangu Watanzania, Viongozi wetu wa Dini wameendelea kutoa maneno ya nasafa na uzalendo mkubwa sana kwaTaifa letu juu ya kulinda na kutunza Amani ya Taifa letu kwa wivu mkubwa sana. Ambapo...
1 Reactions
10 Replies
325 Views
Wakuu, TEC wakisimama kukemea dhulma watu wanapanick ila sheikh hapa kusimama hadharani kufanya siasa its okay. Basi sawa ------------------------------------ Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam...
0 Reactions
4 Replies
221 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Isakwisa Lupembe na Meya mstaafu wa Mji wa Tunduma, Ali Mwafongo walivamiwa usiku wa kuamkia leo na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi. Walisema ya kuwa...
7 Reactions
33 Replies
846 Views
Mwenyekiti wa zamani wa TAMWA na Mhariri Mkuu wa Clouds media Joyce Shebe amebainisha namna Waandishi wa Habari na Vyombo vya Habari kwa ujumla wake vilivyopata wakati mgumu kufanya kazi Oktoba 29...
3 Reactions
2 Replies
250 Views
Wakuu Sheikh Kishki anaeleza kuwa asilimia 90 yanayoendelea hapa nchini ni msukumo kutoka upande wa kushoto. Alianza kwa kuwauliza swali aliokuwa nao kuwa kwa yanaoyoendelea sasa yana msukumo...
2 Reactions
53 Replies
2K Views
Waandamanaji wote tumeshakubaliana kuwa tutafanya maandamano ya Amani na hatutogusa mali wala uhai wa mtu. HAO WANAOSEMA WATACHOMA MALI ZA WATU HATUPO NAO KABISA. HAO NI MAMLUKI WANAOTUMWA...
5 Reactions
11 Replies
290 Views
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani. Aidha...
11 Reactions
101 Replies
4K Views
Huyu Mzee alikuwa na jeuri, majivuno na kiburi Cha kufa mtu. Kama kawaida Mungu si Abdul Wala Mchengerwa,tarehe 29 October, Gen Z wa bunda walipiga kiberiti nyumba ya Mzee wasira. Kwa aibu...
25 Reactions
66 Replies
3K Views
Wakati Jeshi la Polisi na Kamati za Ulinzi na Usalama katika Mkoa wa Dar es Salaam wakiwahakikishia wakazi wa Jiji hilo kuwa ulinzi umeimarishwa na kwamba maandamano yanayotajwa mitandaoni...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
"Vyombo vyetu vya usalama kama ilivyo leo, ilivyokuwa jana, ndivyo itakavyokuwa tarehe 9 na siku zinazofuata. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wakati wote viko tayari kuhakikisha watu wako...
1 Reactions
37 Replies
787 Views
Kufuatia kufungwa na kupunguzwa kwa akaunti za mitandao ya kijamii ya wanaharakati mbalimbali kwa kile kinachoelezwa na Meta kuwa ni kutokana na agizo la kisheria kutoka TCRA, hii inatuma ujumbe...
12 Reactions
22 Replies
667 Views
GTs, Kwa mwenendo wa kesi ya ICC, wale wote waliouliwa ndugu zao au kujeruhiwa kwenye maandamano epukeni sana kwenda kwenye tume iliyoundwa na Samia. Yaani iko hivi, mkienda mtakuwa...
14 Reactions
23 Replies
653 Views
Hivi wanajielewa kweli? mbona kama majinga hivi Yani wanaitisha press halafu wanaongea ujinga na kutoa vitisho. ========== Chama Cha Mabondia nchini kimeomba serikali iwaruhusu na iwape mavazi...
7 Reactions
37 Replies
951 Views
GTs, Mimi siyo mtabiri ila naona kabisa wafuatao (ongezea) inabidi wapotezwe na yule aliyewatuma wafanye mauaji MO29. Yaani iko hivi kesi ya ICC ili iwe na nguvu lazima pawe na watu watakao...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa zisizo sahihi zinazosambazwa na kuonekana katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikieleza kuwa, Isakwisa Lupembe na Ally...
0 Reactions
5 Replies
254 Views
Makosa gani yalifanyika Oktoba 29? ====== Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Zangina Zangina, amewasihi vijana kutojirudia kufanya makosa ya...
1 Reactions
13 Replies
380 Views
Kuna kitu nimekuwa nikifikiria sana, na kila nikirudi kwenye hoja ile ile, naendelea kuona kwamba mengi tunayoyasikia sasa ni propaganda tu—njia ya kutafuta uungwaji mkono kutoka kwa watu...
8 Reactions
7 Replies
334 Views
Bilionea kijana wa kibongo, Benjamin Fernandez, amehoji kwamba, "Kwanini uchunguzi unachukua miezi mitatu, lakini kuhesabu kura milioni 32 inachukua siku 2 bila internet?" Japo wengi wameunga...
1 Reactions
13 Replies
381 Views
Back
Top Bottom