Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Suleman Bungara, 'Bwege' amesema kuwa kitendo cha kufunga makanisa au kushambuliwa kwa viongozi wa dini hiyo kitendo hicho wangefanyiwa dini ya Kiislam...
18 Reactions
13 Replies
561 Views
Wakuu Mzee Bwege katika mahojiano aliyofanyiwa hivi karibuni amekiri kuwa hakuna mpinzani wa kweli kwa sasa nchini anayetaka mabadiliko zaidi ya Lissu na ndiyo maana walijaribu kumuhona...
1 Reactions
4 Replies
295 Views
Uchunguzi wetu umebaini kwamba hakuna Mwananchi yoyote wa TANZANIA anayefuatilia Ripoti ya CAG Zaidi ya vyombo vya Habari ambacho navyo viko kazini ili vijaribu kuuza habari hiyo Duni isiyo n.a...
15 Reactions
36 Replies
638 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2024/2025; Taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Kuzuia...
5 Reactions
26 Replies
708 Views
kKWakuu, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, ametoa hotuba nzito na ya aina yake akiwashutumu viongozi na watawala nchini kwa kile alichokiita...
19 Reactions
42 Replies
929 Views
Hata saa mbovu kuna muda inasema kweli mara mbili kwa siku. Kila mtu ana jinsi anamkumbuka Mtu. Mimi Wosia wa Lukuvi ambao nimeuweka moyoni ni tahadhari aliyotoa kuhusu Watu kutoka Zanzibar...
5 Reactions
15 Replies
646 Views
Achana na ile misaada ya Marekani ya dola bilioni 4 kila mwaka (trilioni 10) ambayo huwa sio cash, huwa ipo katika mfumo wa silaha na vifaa Dola bilioni 271 ndio bajeti yao Israel, ni shilingi...
2 Reactions
10 Replies
308 Views
Leo, Jumapili, Machi 29, 2026, inatumika kama siku maalum ya maombi na kumbukumbu ya kitaifa kwa ajili ya watu waliouawa, waliojeruhiwa, au kupotea wakati na baada ya matukio ya Oktoba 29, 2025...
9 Reactions
79 Replies
1K Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam amesema ongezeko la upotevu wa...
0 Reactions
0 Replies
190 Views
Vijana waimba mapambio ya serikali ni wasaliti kwa nchi ni vijana wanaostahili kunyongwa kwenye maana nao ni wanufaika na huu wizi wa riport ya CAG huwezi kuona vijana wakipiga na kuumizwa na huu...
3 Reactions
25 Replies
352 Views
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Tanga, Michael Haule, ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya uongozi pamoja na kujiondoa ndani ya chama hicho, akitaja sababu...
0 Reactions
6 Replies
210 Views
Ukisikia Kauli ya Gerson Msigwa kuhusu kupigwa kwa Mihela kwenye ujenzi wa uwanja wa soka wa Arusha utashangaa sana kama Kuna Kiongozi wa serikali ya ccm Ambaye hajatajirika Na kama yupo...
2 Reactions
7 Replies
243 Views
Huyu Mzee alikuwa shujaa wa ajabu sana! Wakati viongozi wa CHAMA CHAKE CHA ACT wakipigania SUK BIla kujali mauaji ya 29 octoba, yeye akaamua kutangazwa kujiunga na CHADEMA, akiwa kwenye wheel...
0 Reactions
7 Replies
158 Views
Baada ya msiba wa Lukuvi, lazima atateuliwa mtu wa kurithi kiti chake. Na kwa maneno ya Rais naona Biteko ama Nape akipewa nafasi hiyo. Japokuwa Nape amemeza bendera ya chama, hajali kabisa...
1 Reactions
16 Replies
404 Views
Mohammed Kiluwa (50) ameiambia Mahakama ya Wilaya ya Ilala, kwamba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Willium Lukuvi alimkaba na kumpora mkoba uliokuwa na fedha zake. Kiluwa...
14 Reactions
200 Replies
30K Views
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Isimani, Mheshimiwa William Lukuvi atakumbukwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
170 Views
Salaam, Makadirio ya karibu ya bajeti 2025/2026 Nchini Tanzania Tanzania ipo hivi. 1. Wizara ya Katiba na Sheria → ~ Tsh bilioni 80 2. Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ni Tsh bilioni 120...
0 Reactions
4 Replies
709 Views
Wakuu, Akizungumza leo CAG Charles Kichere alisema "Mheshimiwa Rais, niongee sasa hivi kuhusu kampuni yetu ya ndege. Mheshimiwa Rais, Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imeendelea kupata hasara...
8 Reactions
73 Replies
1K Views
Mtandao wa wanaharakati wa demokrasia barani Afrika, Pan African Solidarity Network, umetoa tamko kali ukieleza wasiwasi mkubwa kuhusu kuzorota kwa hali ya haki za binadamu katika nchi za Afrika...
0 Reactions
0 Replies
182 Views
  • Redirect
seleman bungara bwege amefariki dunia
0 Reactions
Replies
Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…