Kama Umewahi Kupita Pita kwenye Mitandao ya Kijamii Sana sana X Utakuwa Si Mgeni sana kumjua Daudi balali ambaye Baadhi ya Vitu alivyotabiri Vimetimia Ila Vingine bado vinazidi Kutimia Huku...
TEKNOLOJIA ITAKAVYOSAIDIA KUEPUSHA NAULI KUPANDA KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA UMMA BEI YA MAFUTA IKIPANDA.
Najaribu kuwaza miaka ya baadae jinsi teknolojia itakavyosaidia kuepusha nauli kupanda kwa...
Humphrey Polepole kwa kimywa chake alithobistishia umma wa Watanzania kuwa Angella Kizagha aliiba zaidi ya bil 60 kwa kulipwa malipo hewa .
Malipo ambayo hayati Magufuli ambae hakufurahi juu ya...
TAARIFA KWA UMMA:
KUSITISHA KWA MUDA LESENI YA HUDUMA YA UTANGAZAJI WA MAUDHUI MTANDAONI YA JAMBO ONLINE TV
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inatoa taarifa kwa Umma kuwa, mnamo tarehe 31...
Hii ni dunia nzima na hata hapa kwetu Tanzania ni hivyohivyo.Chadema na CCM haviwezi kuelewana japo watu ni walewale. Hata Chadema wakichukua nchi tusijidanganye kwamba watatawala kuwasaidia...
Nchini kwetu tuna vitaru vingi vinavyozalisha gesi asilia kutoka mikoa ya kusini (lindi ,mtwara) na hiyo gesi inafaa kwa matumizi mbalimbali (domestic & economically)
Je kwanini serikali...
Habari wanabodi
Hebu msikilize huyu mtu anavyotamka hadharani kumdhuru waziri William Lukuvi. Inabidi akamatwe na kuhojiwa vizuri kwanini aliamua kumuondoa mzee wa watu kwa nguvu bila kufuata...
Kipekee sana nimekuwa na heshma kubwa na ukatoliki. Kama ilivyo kwa wakristo wengi, wengi wetu, kwa kiasi kikubwa malezi ya utotoni tumeyapatia katika kanisa katoliki, baadaye baadhi yetu...
Kwanza ieleweke sina furaha na maisha ya waafrika wote kwa ujumla.
Siasa na uchumi wa Afrika si tu kwamba umetekwa bali umetekwa na watu wasiokuwa na sifa wala uwezo wa kufanya hivyo.
Ulaya na...
Naona kila ambaye hataikii mapambio yanayoimbwa na machawa ya kwamba Mtu yule anaupiga mwingi ampaka anatoka nje ya uwanja basi Rungu la taasisi zake lazima lije juu ya kichwa chako chap kwa...
LUKUVI NA UBUNGE WA MIAKA ZAIDI YA 30 – INATOSHA! v
"Lukuvi amehudumu miaka zaidi ya 30. BUNGENI! Tumemwona. Tumemsikia.
Lakini sasa... INATOSHA!"
William Lukuvi ni mmoja wa wanasiasa waliodumu...
Huduma ya choo ni miongoni mwa huduma muhimu kwa binadamu, hususan katika mazingira ya umma yenye mikusanyiko mikubwa ya watu. Huduma hiyo inapokosekana au kutolewa katika mazingira yasiyo na...
Huyu mtu ni mashine
Anao uwezo wa kuwa waziri wa wizara hata tatu. Napendekeza apewe wizara ya madini, apewe mali asili na wizara ya fedha azichakate fedha vizuri.
Kwa uwezo wake mkubwa kabisa...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema Chama kinapata maendeleo kutokana na ukubwa wake, kusimamia, ahadi na imani kubwa ya wananchi kwa Chama.
Kauli...
Vita ya mashariki ya kati haiwezi kuwa kisingizio cha mafuta kupanda bei.
Tunajua mmeagizwa na aliewateua kusema vita vita vita.
Kwenye kila lita moja ya mafuta kuna kodi na tozo mbali mbali za...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, amesema hivi sasa KKKT haisemwi vizuri kutokana na kupoteza ushuhuda wa kimatengenezo.
Amesema...
Wakati muda wa Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Oktoba 29, 2025 ikikaribia mwishoni katika uchunguzi na kutoa ripoti yake, Watanzania wana kiu ya kuona ripiti hiyo itakuja na...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewaonya wanachama walioanza harakati za kusaka urais mwaka 2030 kwa kuwa muda wa kufanya hivyo bado haujawadia...