Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mafia ni jina na genge la kihalifu lililoanzia Katika mji wa Sicily nchini Italy na baadhi kuhamia Marekani,likasambaa nchi jirani ya Marekani na Hadi likaingia katika nchi za Amerika ya...
18 Reactions
21 Replies
702 Views
  • Poll Poll
Hapa jukwaani naona sifa zake zimejaa na kusheheni, kuanzia asubuhi hadi usiku, kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah , kavulata, Pascal Mayalla , ChoiceVariable na CHAWA wengine wengi kutwa kumsia...
3 Reactions
20 Replies
197 Views
Hii ndio Taarifa mpya tuliyonayo kwa sasa CCM ishasambaratika, inasubiriwa muda tu izikwe. Hata kama baadhi ya majina ya waliokimbia nchi tunayo lakini wacha tuilete kama tetesi, wamo Baadhi ya...
20 Reactions
51 Replies
2K Views
Wasalaam, Nikiwa Bado kwenye majonzi mazito juu ya kile kinachoendelea nchini upande wa siasa napata wasiwasi na kile kinachoendelea kwa Mwanasiasa huyu. Ni kubali ya kwamba historia ya Tundu...
8 Reactions
70 Replies
6K Views
Ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) aliyoifanya jijini Bujumbura, nchini Burundi kushiriki Mkutano wa Saba wa Tume ya...
0 Reactions
6 Replies
186 Views
‪Dunia inafahamu ukweli. Ndiyo maana Tundu Lissu anasema akipatikana na hatia, anyongwe hadi kufa. CCM wanasema adhabu siyo kunyongwa pekee‬ ‪Tundu Lissu anaeleza Mahakama kwamba adhabu ya uhaini...
17 Reactions
33 Replies
649 Views
𝗭𝗜𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗠𝗞𝗢𝗔 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗥𝗔 Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 📆 2 Oktoba, 2026. 🕰️ 08:00 Mchana. Lengo: ▪️Kuzungumza na Wananchi kwenye...
2 Reactions
11 Replies
284 Views
masterpiece Kamundu Utangulizi Tanzania ina rasilimali nyingi na watu wenye uwezo, lakini bado tunakabiliwa na changamoto za kiuchumi, kijamii na kiutawala. Ili kuendelea, tunahitaji sera rahisi...
4 Reactions
6 Replies
118 Views
Yazidi kunishangaza jinsi gani nchi yetu inaongozwa kwa mazoea ya watu badala ya Sheria ya nchi. Chukulia hoja hizi tatu (3) zikifuatiwa na majibu yake kisha nambie hiyo Katiba Mpya itaandikwa...
5 Reactions
6 Replies
163 Views
Kupitia kurasa zake mtandaoni, Rais Samia meandika; Ni kwa majonzi makubwa ninaomboleza kifo cha mfanyabiashara wa Zimbabwe, Bw. Wicknell Chivayo, mke wake mpendwa, na watu wengine watatu...
18 Reactions
84 Replies
2K Views
YAFUATAYO NI MAJIBU YA AI: "... Hakuna athari ya moja kwa moja ya kisheria ndani ya Tanzania kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akikutwa na hatia ya uhaini nchini huku akishinda Tuzo ya...
1 Reactions
8 Replies
261 Views
Huu ni upuuzi mwingine wa serikali ya awamu hii ya Raisi Samia eti Waziri Mkuu anazunguka mikoani kutatua matatizo ya wananchi. Waziri Mkuu anatakiwa kutatua matataizo katika ngazi ya kitaifa...
2 Reactions
20 Replies
400 Views
Aidha wanaharakati wametumika au la, hio sisi haituhusu. Mange Kimambi anashindwa kuelewa kuwa kuondolewa kwa Mwigulu kunaongeza mpasuko ndani ya chama na serikali, na mapasuko unaongeza ugumu wa...
6 Reactions
6 Replies
513 Views
Huu ni wito wangu kwa viongozi waliozeeka, huwezi kuwa kiongozi hadi kwenye Wheel chair, tujifunze kung'atuka wenyewe DC umezeeka kuliko Waziri lakini bado unang'ang'ania tu, unadhani utakuwa...
2 Reactions
11 Replies
184 Views
Ushauri: Nashauri tugome kufanyakazi au kununua bidhaa na huduma za serikali tarehe 29/10/2026 ili kuwakumbuka waliouwawa Hii itafanya serikali kuwajibika ipasavyo na ndugu zetu kupata haki...
13 Reactions
44 Replies
419 Views
DC SHAKA: MSITUMIE MAJERAHA YENU KAMA BIASHARA, PELEKENI WAHALIFU MAHAKAMANI Na Mwandishi Wetu, Kilosa - Morogoro Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mheshimiwa Shaka Hamdu Shaka, amewataka wakulima wa...
0 Reactions
3 Replies
76 Views
Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Au waweza Kumwita Mr Clean kama ambavyo wengi hupenda kumwita . Au waweza...
1 Reactions
33 Replies
1K Views
Kuna hatari gani kwenye hili jiji? Askari wametapakaa kila kona. Magari ya delaya yanazunguka mji mzima. Mimi nikiwa mgeni nimepata hofu kubwa sana.
5 Reactions
20 Replies
630 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…