Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
"Pasipo na shaka, kuwa matukio ya ghasia ya tarehe 29 Oktoba yalipangwa, yaliratibiwa, yalifadhiliwa na kutekelezwa na watu waliopata mafunzo. Waratibu walitumia mbinu mbalimbali, ikiwemo...
0 Reactions
– Replies
– Views
Jaji Chande anasema katika ghasia za Oktoba 29, sekta ya fedha pia ilipata hasara ambapo kiasi cha tsh. milioni 627.7 ziliporwa na kuibiwa katika ATM za CRDB, NMB na NBC
0 Reactions
0 Replies
108 Views
  • Redirect
"Tume pia ilifanya ukaguzi na kubaini kuwa eneo la makaburi ya Kondo linazungukwa na makazi ya watu, na ambalo bado linatumika kwa shughuli za kilimo cha msimu na lina ulinzi muda wote. Kutokana...
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Vilevile, Tume iliwashirikisha wataalamu mbalimbali ili kufanya uchunguzi wa kisayansi kuhusu madai hayo ikiwa ni pamoja na picha ya satelaiti iliyotumika. Maoni ya wataalam hao, wakiwemo wa...
1 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
MADAI YA KUWEPO KWA MAKABURI YA HALAIKI “Kulikuwepo na madai kupitia vyombo vya habari vya kimataifa na mitandao ya kijamii kuhusu kuwepo kwa makaburi ya halaiki katika eneo la makaburi ya Kondo...
1 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Jaji Chande amesema hayo wakati Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025...
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Kumbe waliwapa watu simu ili wapige picha na kurekodi video ili kutuma kwenye mitandao ya kijamii ili watumie kama hamasa ya watu kupata hasira na kutoka nje? #UkweliOktoba29
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
JAJI CHANDE AKIWASILISHA MUHTASARI WA RIPOTI YA TUME YA UCHUNGUZI Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Jaji Mkuu...
0 Reactions
– Replies
– Views
Tanzania katikati ya matumaini na mashaka, ikisubiri ripoti ya Oktoba 29 Tanzania kwa sasa iko katika wakati wa kipekee na wenye uzito mkubwa wa kihistoria. Ni kipindi cha kusubiri, kutafakari...
3 Reactions
10 Replies
253 Views
  • Redirect
"Waandamanaji walibeba silaha mbalimbali, isivyoruhusiwa katika maandamano ya amani" #UkweliOktoba29 #RipotiYaTume
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Tume ilibaini kwamba, ghasia na maandamano yale yalipangwa, yaliratibiwa na yalifadhiriwa….na wale walio ratibu na kufadhiri, wali train pia watu wa kufanya ghasia zil Mfano; watoto wanaoishi...
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman akisoma Muhtasari wa Ripoti ya...
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Jaji Chande VICHECHEZO 🚨Wanasiasa na wanaharakati walikuwa chanzo cha vurugu - vichochea mahsusi vilitumika na wanaharakati kufanya vurugu 🚨 Mitandao ya kijamii ilitumika kuchochea vurugu-...
1 Reactions
– Replies
– Views
Jaji Chande amesema kuwa tume ilipokea madai kutoka kwa waathirika na watu wengine kuhusu watu kupigwa risasi, kujeruhiwa au kuuawa katika maeneo ambayo hayakuwa na ghasia na vurugu, na madai ya...
0 Reactions
0 Replies
139 Views
  • Redirect
AMEONYESHA UWEZO WA KUTOA HAKI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU Kutoka uongozi wake kama Jaji Mkuu wa Tanzania hadi majukumu ya Umoja wa Mataifa, Jaji Chande ameonyesha uwezo wa kutoa haki katika...
0 Reactions
– Replies
– Views
Jaji Chande amesema kuwa imebainika makundi yaliyoshawishiwa ndiyo wahusika zaidi katika ghasia wakati wahusika wakuu na waratibu wa ghasia hawakuwepo kwenye maeneo ya matukio hali iliyochangia...
0 Reactions
1 Replies
117 Views
Jaji Chande akiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa matukio ya uchaguzi mkuu 2025 anasema hayakuwa maandamano ya amani bali ni ya ghasia. Anasema "Kilichotokea siku ya uchaguzi mkuu, Oktoba 25...
0 Reactions
3 Replies
195 Views
  • Redirect
JAJI CHANDE ◾️Kuzuia na kuvuruga uchaguzi mkuu wa 29 Oktoba 2025 ◾️Waliharibu vituo vya kupiga kura na kushambulia mawakala na mali za wananchi waliojitokeza kupiga kura ◾️waratibu wa ghasi...
0 Reactions
– Replies
– Views
Jaji Chande akiwasilisha ripoti ya Uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29, anasema "Jumla ya picha mjongeo 450, picha mjongeo 880, zilikusanywa kwa njia mbalimbali na baadhi zilikuwa zimesambaa...
0 Reactions
6 Replies
342 Views
Samia amekua delussional hadi hajui anazidi kujikaanga hata CCM watamkataa
0 Reactions
1 Replies
99 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…