Nasema hivo baada ya majuzi hapa kuona Serikali imeeanza ujenzi wa DODOMA TECHNICAL COLLEGE wakati Mwanza kuna tawi la chuo cha DIT ambalo linahitaji kupanuliwa na kuwa chuo kamili MWANZA...
Kwa ambao hatukubahatika kuuona uongozi wa Mwalimu Nyerere tukiwa na uelewa na ufahamu timamu tunajivunia kupata fursa ya kuuona, kuushuhudia na kuuelewa utawala wa Hayati Magufuli ambao kulingana...
Naomba kwa mwenye usahihi wa tuhuma zinazoelekezwa kwa shahidi Na. 8 atusaidie kuziweka hapa for future reference lakini pia kusaidia familia yake kujua kijana wao huko kazina anatumikia umma au...
Ninawashangaa sana watu mnaotokwa mapovu kumtetea huyu Sabaya ni kwa vile hamumjui tu. Endeleeni kuingiza siasa kwenye mambo ya msingi ili aendelee kula pesa za watu.
Kuna mambo mengine ya hovyo...
Kwa mujibu wa katiba yetu hii yenye mapungufu mengi, wasimamizi wakuu wa sheiia ni Polisi, na chombo cha kutafsiri sheria hizo ni Mahakama.
Sheria ndiyo inayoonesha haki yako na isiyo yako. Kwa...
Habari wanajamvi hili juzi nilimsikia mwenyekiti wa NCCR Mageuzi akisema Kesi ya Mwenyekiti Wa Chadema ndugu Freeman Mbowe Haina maslahi kwa taifa.
Mshsngao wangu ni kwamba je kesi zetu sisi raia...
Kupiga hatua ni pamoja na kujifunza kutokana na makosa.
Kwa kuangalia tukio la jana, umuhimu wa kuwa na moderators (@mods) unaonekana wazi.
Pana haja ya kuwaandaa moderators katika hadhira...
Wakuu Kazi Iendelee.
Nadhani Kitabala na Learned Counsels Wenzake Wanapashwa Kujitafakari Jinsi Wanavyoendesha Kesi Yao.
Kama Defensive Counsels Kila Wakati Wao Ni P.O Tu Kwenye Exbits Ambazo...
Kila kona Tanzania watu wamewadharau na kuwaona ni wapuuzi na washamba kabisa. Kuvamia na kuvurumua gheto la mzalendo mtetezi wa taifa lenu?
Mmeshinda kutwa nzima mitandaoni wanasiasa wa upinzani...
Jana ITV waliwahoji wananchi mbalimbali kuhusiana na malalamiko ya ongezeko la bei za bidhaa mbalimbali kuanzia vyakula vifaa vya ujenzi, nishati hadi mnolea.
Wote waliohojiwa walidai huko mtaani...
Wanaukumbi.
CHADEMA hakina Sera ya chama madhubuti, kila mtu ni msemaji. Vijana wa CHADEMA kumtukana kila mtu anaejaribu kutoa maoni tofauti na chama chao, bila kujua mpiga kura huwa anabadilika...
Hivi karibuni Tanzania Bara (Tanganyika) Tuliadhimisha kutimiza miaka 60 tangu bendera ya mkoloni Mwingereza iliposhushwa na ile ya Tanganyika kupandishwa na hivyo kuwa nchi huru.
Kupata uhuru...
Hii ni habari ya kweli Nina toa rah kwa taaasisi za kifedha zote nchibi kama Kuna mpinzani alinunuliwa na Yule kiroboto wakishirikiana na Bashiru na mwendazake muda ujao mambo yatakuwa Bam bam...
..kuna mahabusu 186++ wanashikiliwa kwa tuhuma za ugaidi ktk magereza mbalimbali.
..Ndugu zao wamezungumza ktk vyombo vya habari kama wanavyoonekana hapo chini.
Cc amanibaraka
Mimi kama raia wa kawaida nisiye na chama chochote hapa Tz, napenda kuwashauri mawakili wa chama cha Chadema ambao wanamtetea Freeman Mbowe kwenye kesi ya ugaidi wajitoe mapema tu. Nimefuatilia...
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amekuwa ni mtu mwenye kauli zenye makeke mengi lakini outcome ni kidogo sana.
Leo hii rais anazungumzia kuhusu madudu bandarini, lakini ikumbukwe kuwa yeye siyo wa...
Kama ilivyo tarajiwa hukumu ya leo haikuwa na jipya kama zitakavyokuwa za siku zijazo.
Refa kajikita kutafuta chochote dhidi ya upande wa utetezi ili kutupilia mbali lolote wanalo wasilisha...