"Sina muda wa kukaa kwenye Mdahalo na yeye (Bulembo), simuwezi, historia yake inajulikana si tu ni Mhuni bali tapeli. Kubwa alilofanya ni kutudhoofishia Taasisi ile (Jumuiya ya Wazazi ya...
Haya Sasa mapambano ya ugaidi ya kina Kingai na Mahita, yamezaa matunda.
Wizara ya Mambo ya nje ya marekani imewataka raia wake wasije Tanzania, kutokana na Uhalifu na ugaidi.
Sekta ya utalii...
Humprey Polepole na Mimi wote tulikuwa wapiga tarumbeta, Vinanda na vinubi wakati wa JPM
Utofauti wetu ndani ya chama na sisi Yeye Humprey Polepole aliendekeza dharau kwa kuwa ni mtu wa kuja...
Ila Zitto KABWE aliongea point kubwa sana kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan aangalie suala la M/kiti wa Chadema Taifa, Mh Freeman Mbowe kuhusu kesi yake. Lakin Tundu Lissu alisema CHADEMA haiwezi...
Haki ya maoni ni haki ya kikatiba.
Anayedai katiba kuheshimiwa anastahili kuungwa mkono kikamilifu kwa mukthadha huo.
Polepole kupinga kunyamazishwa ni dai halali kwa mujibu wa katiba.
Mnyonge...
Tanzania kuna mihimili mitatu inayojitegemea na isiyoingiliana ambayo ni bunge na serikali na mahakama
Raisi akiulizwa chochote kilicho mahakamani akatae kujibu kuwa siwezi jibu swala lililoko...
Katika kipande kifupi cha video hapo chini Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika Mkutano na wadau wa Demokrasia hivi leo ametoa hotuba inayoshangaza sana.
Anasema kuwa Rais akitoa kibali...
Kesi hii yenye utata mwingi ingali inaendelea kwenye Mahakama hiyo na Leo Ijumaa mapambano ya kisheria yanaendelea Muda huu .
Kama Kawaida Peter Kibatala anaongoza Jopo la Mawakili wa Utetezi...
Swahili Times
Jaji Joseph Warioba amesema uchaguzi wa mwaka 2020 watu wengi walienguliwa, na kwamba kuna matatizo makubwa na lazima yatatuliwe. Amesema Watanzania wamezoea chaguzi tangu 1958, na...
Kwanza nikupe heshima yako, shkamoo na pole kwa majukumu makubwa ya kuongoza chama,
Siku kadhaa kabla ya sherehe ya uhuru ulifanya kikao na waandishi wa habari kuelezea mafanikio ya chama ndani...
Habari zenu wakuu, ama baada ya salam ningependa sasa kuelekea kwenye mada yetu husika. Ndugu zangu katika maono yang na uzoefu wang wa mambo ya kisiasa, natabiri kuwa hawa ndio watakuwa baadhi...
Habari za Mchana huu. Tukiwa tunafunga wiki kuelekea wikendi hebu tutafakari kidogo.
Nimegundua udikteta sio ishu tena kwenye ulimwengu unaostaarabika.
Dunia ya Sasa madikteta wa zamani wapo...
Amri za ajabu za kuzuia kukutanika kisheria, vikao vya vyama visivyo CCM au rafiki zao DPP kubambika kesi atakavyo basi tunaelekea kufanya ya Korea kaskazini hapa kwetu.
Waakuu salaam,
TLP, CUF, NCCR MAGEUZI ni vyama vilivyokubalika sana katika jamii siku za nyuma, bt baada ya viongozi wao kukubali kutumika na serikali kwa maslahi binafsi, jamii ilivipuuza...
Wamachinga ni watanzania wenzetu wenye haki na wajibu kamili kwa taifa lao. Machinga ni watoto, kaka, dada, wapwa, shangazi, wajomba, wajukuu, bibi, babu, ndugu na rafiki zetu. Ni kundi la...
Zitto Kabwe wa ACT wazalendo amesema jana alijisikia homa na alipoenda kupima aligundulika kuwa na Corona.
Anaendelea vizuri lakini anawasihi watanzania wakachanjwe kwani chanjo inasaidia sana...
Kila Kona kila kijiwe kauli mbiu ni Mbowe Mbowe Mbowe. Huyu mwamba amejua kuwatingisha. Yupo jela huku nje watu wanalipwa wakamshawishi atoke jela. Yaani unawekwa jela then qaliokuweka jela...