Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,John Mongela, amechukizwa na kitendo alichokifanya mkurugenzi wa wilaya ya Ngorongoro,Jumaa Mhina kwa kukaidi agizo lake na kuamua kwenda Likizo wakati akijua changamoto ya...
Moja ya kauli ya Rais siku ya kushuhudia utiaji Saini za ujenzi wa reli ya kisasa ni hii
"Kuna mambo yameanza kujitokeza siku zi hivi karibuni lakini hukuwai kuyaona siku za nyuma enzi za...
Hapa chini ni salamu za Heri kutoka kwa baba askofu Shoo. Wenye masikio na wasikie:
Eeh Mola wetu ukasimame na waja wako wanaoteseka kwenye dhuluma hizi.
Ukiona tu walioko Juu Wanapishana ( hasa kwa Kauli zao ) jua Kwanza Dhambi Kuu ya Unafiki dhidi ya aliyelala 'mazima' Ziwani inaanza Kuwatesa lakini pia ni dalili tosha kuwa sasa 'Wanawindana' na...
Wakuu.
Kusema ukweli nipende kusema wazi JN ameonyesha uwezo mkubwa wa kusema ukweli bila kificho kwa haya yanayoendelea ndani ya serikali hii ya inayomalizia awamu ya tano.
Anauchungu wa dhati...
Naheshimu mawazo yako Thadei Ole Mushi,nilijua utatutajia nini kimempata Ndugai lakini umeishia kupamba pambo maua,kupiga maneno na kutuletea maajabu ya Bongo,bongo sihami.Unasema awamu ya tano...
Angalia hawa vijana wa Bavicha hata majina sitaki kuwataja, muda mwingi wapo Twitter wanalumbana juu ya ishu za ajabu ajabu tu. Hawajui hoja namna kujenga hoja juu ya kuwakuna wananchi hakuna...
Katika historia ya hii nchi haijawai tokea rais na mwenyekiti wa CCM akapendwa kiasi hiki na wafuasi wa vyama vya upinzani.
Naweza kusema taifa limepata bahati kubwa kuwa na kiongozi mwenye...
Kuna wengine zaidi ya Askofu na Zitto ambao wamefunguka na pengine wataendelea kufunguka kuhusu madhila yaliyowakumba. Kwa spirit ya uzalendo, nimeona nitoe mchango wangu kwa vyombo husika...
Wengi alipokabidhiwa kiti cha Urais Mama Samia tulipongeza uzuri wa Katiba tliyonayo hasa kifungu kinachoeleza Rais aliyepo madarakani akifariki Makamu wake anaapishwa kuwa Rais.
Mimi naona haya...
Kumezuka tabia ya watumishi wa umma kufukuzwa kazi kihuni na waajiri wao na kutokana na kutofuraishwa na kufukuzwa kwao , watumishi hao huwa wanaenda kufungua malalamiko huko CMA Commission for...
Wanaukumbi.
Mbowe, rafiki yangu ukimalizana na kesi pumzika kufanya siasa ili upate muda wa kupumzika na kujitafakari upya huku nje hauna watu una wasaliti watupu.
Hawakutakii mema. Wanataka...
Hilo ndio swali ambalo kila mwenye kufikiri sawa sawa anapaswa kujiuliza.
Ninachokoona mini ni kuwa, Mama ni kama yuko peke yake na ndio maana hata wasaidizi wake (wateule wake), hawatoki...
Baada ya beef za Ndugai kwa Rais Samia naibu spika amekuwa mkimwa sana akisubiri spika ajichimbie shimo mwenyewe. Sasa huu mwanja ni mzuri kwake. Ndugai hata Magufuli alikuwa hampendi
Ibada iko mubashara ITV.
Ni ibada ya kumuaga aliyekuwa askofu mkuu wa Kanisa la TAG awamu ya pili Prof Mwenesongole.
Watu ni wengi sana wakiwemo viongozi wakuu wa serikali, wabunge, mabalozi...
Je wajua kuwa wanasiasa wengi Wana hisa kwenye community redio zilizo nyingi? na ndio maana wakati wa kampeni nyingi utumika kwenye siasa? Mfano kasibante redio mkoani kagera imekaa kimbe embea...
Hakuna asiyejua kuwa wakati kuna mchakato wa (akina Zitto na wenzao) kuandaa misingi ya tume huru ya uchaguzi, wahudumu wa tume hiyo wameendelea kuteuliwa bila hata ya mashauriano.
Ni wazi kuwa...
Mh sipika amekuwa na matamko mengi mengi hivi sasa,
Majuzu juzi alikumbushia habari za kuendelezwa kwa makao makuu ya nchi DODOMA, alishangazwa na kitendo cha serikali kuipa kisogo Dodoma katika...