Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. Kulipwa 80% ya mshahara anayolipwa Spika aliyekalia kiti maisha yake yote. 2. Gari la VX V8 ni lake binafsi. 3. Dereva atakayelipwa na Serikali maisha yake yote. 4. Mafuta ya gari lake lita...
17 Reactions
75 Replies
9K Views
Wakazi wa wilaya ya Chato wamemshukuru sana Rais Samia kwa kuwapatia jumla ya tsh 3.24 bilioni walizotumia kujenga Shule mpya 13 za sekondari, Madarasa 188 na Matundu ya Choo ya kutosha. Mbunge...
5 Reactions
70 Replies
4K Views
Tujikumbushe kidogo! Wakati wa spika Sitta,serikali ilisimamiwa ipasavyo na bunge!Ilipelekea mijadala mingi kupenya bungeni na kujadiliwa!Viongozi wa CCM walimlalamikia Sitta kwa kuiruhusu...
7 Reactions
79 Replies
6K Views
Kuna suala la wanafunzi watakaoanza kidato cha kwanza ambao hawatakuwa na uwezo wa kununua sare waendelee na zile za shule ya msingi , kauli hiyo ilitolewa na aliyekuwa waziri wa Tamisemi...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Samahan Wakuu Wangu Hivi Siri za baraza la Mawaziri ambazo Mawaziri Huwa wanaapa kuzificha ni ule ushauri wanao mpa Raisi ama ni Siri Gani ? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
526 Views
Habari! Huu uzi ninauandika nikiwa na jazba na ghazabu. Nimefanya kazi mgodi wa GGM(GEITA GOLD MINE), kisha nikafanya Mgodi wa Bulyanhulu uliokuwa ukimilikiwa na Barrick kisha Acacia. Ardhi yetu...
17 Reactions
66 Replies
4K Views
Inadaiwa amerejea kinyemela au kwa lugha ya kistaarabu amerejea kimya kimya , halafu karejea peke yake , Haifahamiki mwenzake kamuacha wapi . Dkt. Slaa amerejea Tanzania baada ya kustaafu ubalozi...
27 Reactions
96 Replies
8K Views
Nawasalimu kwa Jina la JMT Leo napenda kutoa uchambuzi wangu kidogo juu ya Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri Kwa Mawaziri Kwanza napenda kusema Mama hajafanya vibaya! Mawaziri ni wasimamizi wa...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Nape aliposema CCM ina wenyewe wengi hawakumuelewa! Nape alimaanisha kuwa CCM imeshikiliwa na kundi fulani la watu wenye nguvu na ushawishi wao ndio huamua wanamtaka nani ndani ya CCM na nani...
14 Reactions
44 Replies
4K Views
Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu amesema wanafunzi watako anza kidato cha kwanza mwaka huu waende shuleni hata na nguo za shule ya Msingi ili mradi waingie darasani! Kusema ukweli huu uamuzi ni wa...
5 Reactions
133 Replies
8K Views
Binafsi nimeshituka kusikia waziri anasema kati ya cheti feki kiasi cha alfu kumi na tano hivi 4000 wamerudishwa. Kiasi hiki ni kikubwa sana. Hii inatia shaka kama zoezi la kuwatambua lilifanyika...
2 Reactions
34 Replies
8K Views
Katika kuzingatia màhitaji ya wakati huu kisiasa, watu wengi wamejiweka katika nafasi za kisiasa na kila mmoja akijiona mbobezi wa mambo ya siasa na mchambuzi mahili, hapa yamejitokeza makundi...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Si mtego mgumu...lakini ni mtego mkali... CCM kwa miaka yote imejitahidi sana kukwepesha na wakati mwingine kuahirisha milongas ya mihimili. Kuanzia wakati wa Baba wa Taifa Mwl. J. K. Nyerere na...
73 Reactions
255 Replies
19K Views
Nimejulishwa na wakili anayesimamia jopo la utetezi kutoka THRDC kuwa leo Jamhuri itampeleka Optter mahakamani. Optter ameshikiliwa zaidi ya siku 10. Pamoja na tuhuma za kimtandao, amebanwa...
17 Reactions
62 Replies
7K Views
Siku chache zilizopita wanachama wawili wa JF johnthebaptist na Ngongo walijiapiza kwamba ni lazima Hamisi Kigwangwala aapishwe kuwa Waziri wa Afya , hawakuishia hapo bali wakaendelea kutuaminisha...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma...
16 Reactions
111 Replies
8K Views
Nimefuatilia kwa ukaribu mjadala unaoendelea kwa sasa kuhusiana na kauli iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa dodoma mheshimiwa Mtaka kuhusu kuanzisha makambi ya kitaaluma kwa wanafunzi. Katika mjadala...
12 Reactions
63 Replies
6K Views
Hili baraza jipya linaonyesha jinsi CCM ya kumilikiwa na watu inavyorudi kwa kasi. Sasa 2025 kwanini wasikunyooshe? Umewapa uhalali wewe mwenyewe. Kijani wenzio watakupiga nje na ndani hakuna...
13 Reactions
84 Replies
7K Views
"Uzoefu unaonesha kuwa vijana mnageuzwa ngazi na kuwabeba na kuwa ngazi ya watu wanaotaka uongozi kwa tamaa za fedha na ahadi za nafasi za uongozi, mjiulize kama hao mliowabeba wangeonesha...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…