Nimemsikiliza ndugu Tulia Ackson akisema kuwa Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi.
Ukweli ni kuwa mamlaka ya rais wa Tanzania yako limited sana huko Zanzibar
Hata katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984...
Salaam Mama , Rais wa JMT
Awali ya yote nikupe Pole kwa majukumu ya kila siku unayokabiliana nayo!
Kwa vijana tulio wengi,, ambao hatujapata nafasi ya kuajiliwa katika serikali yako na Bado...
Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo pamoja na mgombea mwenza Profesa Omar Hamad leo Agosti 7, 2020, wamechukua fomu ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ofisi za...
Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Polepole ataongea na watanzania kupitia vyombo mbalimbali vya habari. Mkutano utafanyika ofisi ndogo ya CCM - Lumumba, Dar es Salaam. Usipange kukosa...
Hii najua itawatibua wengi lakini ukweli lazima usemwe.
Nchini mwetu hii sekta ya fedha au uchumi ni sekta iliyoonekana kuwa kimbilio la wasio na uwezo mkubwa kielimu kama inavyotokea sasa kwenye...
Commander Blasius Chatanda wa Simiyu, ulimhamisha kutoka Tanga ukampeleka Simiyu, hivyo ikupendeze kumtoa simiyu Umpeleke Misenyi au Katavi au mpangie kazi nyingine. Itakuwa ni hali ya kawaida ya...
Mnapiga ramli juu ya PM Kassim kuondolewa mnadhania ni rahisi kama mnavyodhania?
Akiondolewa basi mtambue kuwa baraza zima linavunjwa na raisi anateua na kuapisha upya.
Someni ibara ya 57(2)(e)...
Msemaji wa CCM makao makuu Dodoma amesema idadi ya waliochukua fomu za kugombea nafasi ya Spika wa bunge la JMT imefikia 30 kufikia leo saa 10.00 jioni.
Amesema fomu zinatolewa katika vituo...
Ni ngoma ya Wagogo ambayo imeshangiliwa sana wakati ikitumbuiza mbele ya wageni rasmi katika sherehe za miaka 58 ya Mapinduzi.
Kumbe hakuna anayewadharau " Wagogo"
Mapinduzi daima!
Mzee huyu ambaye alikuwa kijana anastahili lile jina la 'Mzee wa Maamuzi magumu'
Hili halina ubishi na amalidhihirisha mara kadhaa na kwa ustadi wa kipekee.
Mwaka 2010 alikuwa kwenye wakati...
Kwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank.
Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na...
Haya yote yamesemwa jana na mawakili wa Utetezi wakati wa cross examination, ambapo walimhusisha SP JUMANNE na kutekwa kwa Erick Kabendera, Titto Magoti, Ben Saanane na kwamba alihusika na...
Ni kweli kuna mihimili mitatu kwa mujibu wa katiba ya JMT ambayo ni Executive au Serikali, Bunge na Mahakama.
Katiba imetoa mgawanyo wa majukumu kwa mihimili hii lakini sijaona ibara inayosema...
Amefurushwa Mh. Ndugai kiongozi wa mhimili kinyume cha katiba.
Katika hali ya kusikitisha, ni Chadema na NCCR pekee ndiyo angalau wamefahamika wanasimama wapi kwenye kadhia hii:
Bado hakuna...
Kama kijana nimekuwa nikipata maswali mengi sana toka kwa vijana wenzangu pale ninapojaribu kuonesha husia zangu au pale ninapotoa hoja zangu zinazoonesha kuiunga mkono iwe hapa ama mahali...
Sifa kubwa kama unataka kuwa kiongozi kupitia CCM ni kuwa mnafiki, wala siyo elimu. Hata ukisoma, hiyo elimu hutaweza kuitumia popote ndani ya mifumo ya Serikali au chama, inayodhibitiwa na chama...
Poleni wote mliopatwa na msiba baada ya ajali iliyosababisha vifo vya wanahabari kadhaa huko Mwanza.
Pili nichukue fursa Hii kumwombea msamaha Mhe. Nape Kwa kuteleza wakati anatoa salamu za...
Kwenu makamanda watukuka mnaoyaweka matumaini yetu ya kesho bora kuendelea kuwa hai.
Kwa mara nyingine, pamoja na kutotegemea dodo kwenye mnazi, wale tutakaoweza tukutane mahakamani "Law School...
Mh.Rais,
Kwa kuwa kisiwa cha Zanzibar ni chanzo kikuu cha vivutio vya kitalii, ukizingatia wewe ni mzaliwa wa Zanzibar basi fanya kila unaloweza kabla hujamaliza kipindi chako cha urais wa JMT...
Nakumbuka wakati wa serikali ya awamu ya pili ya JMT Zanzibar iliomba kuwa mwanachama wa Jumuiya ya nchi za kiislamu lakini Jumuiya hiyo ikaikatalia.
Je, ni kwanini ilikataliwa?
Naomba...