Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mmepatwa na nini? Mbona kimya sana? Hakika kuna mambo hayako sawa upande wenu hasa awamu hii ya tano. Ubatizo huu si mchezo, ni kudra za mungu tu zinazoweza fufua matumaini yenu. Madhari mngali...
3 Reactions
63 Replies
7K Views
Spika Ndugai, ametangaza kuwa hivi karibuni Bunge litafanya ibada maalum kwaajili ya kuomba utengamano wa Taifa. HOJA Kila mmoja aliye mkweli wa nafsi, anafahamu kuwa hawa wanaojiita wabunge, ni...
14 Reactions
24 Replies
2K Views
Japo mini sio kiongozi ndani ya CHADEMA zaidi tu ya kuwa mshabiki wa hiki chama, ninaamini mwaka 2015 CHADEMA walimptisha Lowassa kuwa mgombea wao baada ya kusoma mood ya watanzania na kuwapa kile...
7 Reactions
45 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa Sheria ya Mafao ya Watumishi wa Kisiasa [Political Service Benefit Act] iliyotungwa wakati wa serikali ya awamu ya tatu chini ya Rais Hayati Benjamin W. Mkapa, mstaafu huyu wa...
29 Reactions
83 Replies
8K Views
Mwanafunzi wa chuo Cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere MNMA, Amos sollo(26) amejitokeza kuchukua form ya kuwania Nafasi ya spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa TANZANIA. Amos sollo, amefika...
8 Reactions
96 Replies
8K Views
Kuna kitu kimoja nimekuwa najiuliza kwa mda mrefu hivi kwanini tovuti ya wizara ya elimu tanzania kwanini haifanyi kazi? Kuna nini wanaficha? Hii wizara ilikuwa active for past years lakini baada...
0 Reactions
8 Replies
915 Views
Mtaji gani wa kisiasa utawatoa mrithi sasa hivi? Ufisadi? Maana mlizoea kusema CcM ni mafisadi. Mmebaki kudandia hoja ya uchaguzi wa Spika na mnashadidia kuliko hata wanaCCM wenye mandate ya...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Leo tarehe 11/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea. Kufahamu ilipoishia, soma hapa: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Januari 10, 2022. Shahidi...
27 Reactions
176 Replies
24K Views
Mbowe yuko maabusu, Lissu na Lema wako uhamishoni. Je, huu ndio mwisho wa CHADEMA?
1 Reactions
59 Replies
2K Views
Kila sekeseke la WanaCCM sisi ni mashibiki. Alivyofukuzwa uspika Ndugai tukageuka kuwa mashabiki. Sasa tena sekeseke la uchaguzi wa Spika tumegeuka kuwa washabiki. Duh kweli huu ni uzoba wa kisiasa.
6 Reactions
55 Replies
3K Views
Uswahiba na hayati Kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa Kuzuia hati ya magumashi ya eneo la wazi pale shimo la udongo iliyokuwa ya mke wa mustaafu na mfanyabiashara...
49 Reactions
201 Replies
22K Views
Haijaeleweka kama Wapinzani wataonyesha umoja na kumsimamisha mgombea mmoja wa kiti cha Spika kama walivyofanya 2015 au kila chama kitakwenda kivyake. Hadi sasa wanaccm 30 wamekwisha chukua fomu...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Binafsi nakupongeza sana kwa namna ulivyoanza na namna unavyoendelea kuipigania nchi yetu kusonga mbele. Kwa uchache wa maneno umejitahidi katika maeneo haya muhimu. Umejitahidi kuifungua nchi...
1 Reactions
3 Replies
696 Views
Mheshimiwa Rais; Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano; Mhesihimiwa, sijui mshauri wako ni nani katika kuteua baraza la mawaziri ambalo umelitangaza juzi ila ulichofanya kuhusu Ndugai...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
1. Nguvu ya Dola (Power) Kwa asilimia kubwa vyombo vyetu vya Ulinzi vimekuwa vikitumika na CCM kuwadhibiti waandamaji na raia wenye nia njema ya kulinda kura katika chaguzi KUU na zile za S/Mitaa...
25 Reactions
101 Replies
7K Views
Hizo mtu nne Mahita, Kingai, Goodluck na Jumanne Hawa watu sio normal human being, unyama walioutenda kwa makomando wa Mbowe, they must pay one day. Hawa jamaa wanakamata mtu, wanatesa tena...
47 Reactions
87 Replies
8K Views
Awali tuliona nguvu kubwa inatumika kudhibiti Watu wasiingie mahakamani. Tukashuhudia Majaji wakitoa hukumu zilizo kinyume kabisa na mwenendo wa kesi na baada ya kutoa hukumu hizo wakapandishwa...
37 Reactions
47 Replies
5K Views
Pamoja na kukosa kiti cha uspika, bado atavuta mkwanja mrefu na atapata 80% ya mshahara aliokuwa anaupata mpaka kufa. Chadema walifurahi kama vile anaenda kuteseka. Kumbe sio hata kidogo. Pia...
4 Reactions
49 Replies
3K Views
Habar wana jamvi, Kichwa cha habari chahusika kutokana na yaliyotokea mjini Dodoma na kupelekea makundi tofauti tofauti kufanya ushawishi ili mtu wao azibe nafasi ya Spika. Nadhani si dhambi na...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze 2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji 3. Jafo Mbunge wa Kisarawe 4. Kipanga Mbunge wa Mafia 5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani...
33 Reactions
409 Replies
31K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…