Mkuu wa majeshi nchini Jenerali Mabeyo ameagizi vikosi vya JWTZ kuweka akiba ya chakula kwa ajili ya jeshi na taifa kwa ujumla.
Mabeyo amesema nchi mikikosa chakula inakuwa na njaa na panapoingia...
Tofauti kubwa kati ya nchi tajiri na nchi maskini, ni watu wao wanavyoona thamani ya muda:
1. Kwa nchi zilizoendelea, muda ni asset na ingridient ya juu kabisa kuliko chochote katika maendeleo...
Kura za kumpata spika zinapigwa ndani ya BUNGE, nilitegemea CCM itapitisha wagombea kama watatu hivi na kupigiwa kura za kugombea nafasi ya uspika . Ofisi ya katibu wa BUNGE ndio hutoa jina la...
Ni tamasha kubwa sana la utamaduni wa mkoa wa Kilimanjaro lililoandaliwa na wizara ya utamaduni.
Mgeni rasmi atakuwa Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh John...
1. Awe ni TISS Agent
2. Awe ni Mmedani ( JWTZ ) Mstaafu
3. Awe Lawyer na Diplomat tu
ANGALIZO
Hakikisha awe ni Muislamu kwa Imani ( Dini ) halafu awe anatokea Visiwani ( Zanzibar Isles ) na...
Tanzania, kwa historia yake, rasilimali zake (watu na mali) na amani yake ingekuwa moja ya nchi tano Afrika zinazoongoza. Lakini kiuhalisia, inashindwa mbali na vinchi kama Senegal, Cote...
Hii ndiyo Taarifa ambayo chama hicho kimeisambaza kwa watu wote duniani
MUHIMU : Mnakumbushwa kufuata mwongozo wa WHO wa kujikinga na corona .
Wote Mnakaribishwa
Hili la wataalamu mbalimbali ngazi. Ya kata na Kijiji Kama afisa maendeleo, mifugo,kilimo,ustawi wa jamii wame base katika kukusanya mapato kwa maelekezo ya wakurugenzi wa...
Sakata la tsh milioni 600 zinazodaiwa hazijulikani zilipo limechukua sura mpya baada ya RC wa Mbeya mh Homera kusema fedha nhizo walizihamishia kata nyingine baada ya kugundua shule ya sekondari...
Upigaji kwa kwenda mbele!! Mazingira ya upigaji yanaandaliwa, watu muhimu kukaa vitengo vya kimkakati!! Viwanja vya wazi pole yao!!
Wenye macho hawaambiwi tazama! Namhurumia mama, wakati yeye...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devotha Mdachi kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha na...
Habari zenu,
Kwa muda mrefu sana msajili wa vyama vya siasa amekuwa akivibeba vyama vya upinzani hasa CHADEMA pale vinapovunja kanuni, taratibu na sheria za nchi. Sijajua kuna nini nyuma ya pazia...
Kufuatia kujiuzulu kwa Ndugai Uspika, tulitegemea mchakato wa kuchagua spika ungefanyika kwa uwazi na kuwepo kwa Demokrasi ya kweli, hasa hasa ktk kipindi hichi ambacho kuna kilio kikubwa kuhusu...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limewafikisha Mahakamani Viongozi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Mkoa wa Manyara kwa kosa la kufanya mkutano wa hadhara bila kuwa na kibali...
Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM-Tanzania Ndg Daniel Chongolo amewataka wana -CCM kupendana na kuthaminiana wakati wote ili kukidhi matamanio na matarajio ya Watanzania kwa Chama na...
Tumeona namna CCM walivyofanikiwa kumpata mgombea wao wa nafasi ya Spika wa bunge la JMT, kwa uwazi kabisa.
Wanachama 71 wamechukua fomu, kamati kuu imekaa na kumpitisha mmoja kwa kauli moja.
Hii...
Jarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani...
Serikali imewahakikishia wananchi kuwa hakuna mtu atakekufa kutokana na njaa ndani ya Tanzania.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesema...
Hivi 'logically' tu kama dhamira na dhamiri yako Kuu ilikuwa ni kuwa Spika wa Bunge inawezekana ukabadilika na sasa Kuutaka Unaibu Uspika ambao haukuwa Chaguo lako la Moyoni?
Ushauri wangu wa...
Kwa maana ya jumla, kwa watu wengi duniani, demokrasia maana yake ni nguvu ya wengi katika kufanya maamuzi yanayohusu
umma na kuweka usawa wa kisiasa katika matumizi ya nguvu hiyo (International...