DED Kingwalu: Fedha za covid tsh 600 milioni zimetumika kwenye shule zilikopokelewa lakini madarasa tumejenga sehemu nyingine, RC Homera achachamaa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
Sakata la tsh milioni 600 zinazodaiwa hazijulikani zilipo limechukua sura mpya baada ya RC wa Mbeya mh Homera kusema fedha nhizo walizihamishia kata nyingine baada ya kugundua shule ya sekondari Luhanga imejengwa kwenye hifadhi.

RC Homera amesema huko zilikohamishiwa zimeenda kutumika kihalali.

Naye DED wa Mbarali mh Kingwalo amesema fedha zile zimepokelewa na shule ya Luhanga lakini madarasa wameenda kujenga katika kata nyingine iliyo salama zaidi.

Source: ITV habari
 
Hapa kuna wizi ,Rais awashughulikie Hawa.
 
Upigaji hautakaa kuisha kama kila mbuzi ale urefu wa kamba yake. Na mbuzi wakorofi wanakata kamba wanakula chochote kinachotokea mbele yao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom