johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,826
- 141,736
Tumeona namna CCM walivyofanikiwa kumpata mgombea wao wa nafasi ya Spika wa bunge la JMT, kwa uwazi kabisa.
Wanachama 71 wamechukua fomu, kamati kuu imekaa na kumpitisha mmoja kwa kauli moja.
Hii ni tofauti na Chadema ambao utaratibu wao hauko bayana.
Kwa mfano Lazaro Nyalandu alilalamika kuwa alishinda kura za kugombea urais kwa tiketi ya Chadema lakini kura zake ndio zikatangazwa za Tundu Lisu.
Dr Mahela wa NEC alisema J J Mnyika Katibu mkuu wa Chadema ndiye aliyempelekea majina 19 ya wabunge wa viti maalumu lakini kamati kuu ya Chadema ikasema haikukaa kikao cha kikatiba kuwapitisha wabunge hao.
Ni wakati sasa wa Chadema kuiga maxuri ya CCM na yale mabaya wawaachie wenyewe.
Maendeleo hayana vyama!