Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Amesema utekelezaji wa Miradi unakwama kutokana na mambo hayo matatu, akiwataka Viongozi kuacha mivutano na Siasa ziende vizuri Amesema bado Fedha zinafujwa na kuliwa kwenye Miradi kadhaa ya Mkoa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu Habari Ya Mda., Pokeeni Taarifa Kutoka Latra kuhusu Root za Daladala. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii ndio taarifa inayozunguka kwa sasa kutokea Ofisi za Bunge na kwenye Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mbali na Kingwangala wengine waliothibitishwa kuchukua fomu hizo ni Mzee wa Tozo 'Mussa Zungu'...
3 Reactions
63 Replies
5K Views
Hakuna asiyependa kusifiwa, lakini kusifia sana kitu ni sawa na kukijaladia ili rangi yake halisi isionekane na kujulikana. Sifa nyingi ni sawa na ganzi inayomfanya mtu asijisikie maumivu...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Nchi yeyote ile dunian kuna taratibu za kupata viongozi , moja wapo ya nchi hizo ni Tanzania, Mnajua kwamba kuna zile 39% ambazo hawakumchagua Dr Magufuli kila jambo wanabeza analofanya, nauliza...
7 Reactions
115 Replies
7K Views
Sasa hivi picha ya Rais imekuwa ikitembezwa kila sehemu hadi ambazo naona wala hazikupaswa. Si kwa ubaya ila mabango ya picha za Rais pembeni ya Barabara KIA yana akisi jambo gani? Kwa...
21 Reactions
99 Replies
7K Views
Rais Samia amemsifia DC Joshua Nassari kwa utendaji mzuri wa kazi za kuwaletea wananchi maendeleo. Rais Samia amesema Nassari alikuwa anaichavhafya sana serikali pale bungeni lakini aliposalimu...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Akiwa katika uwekaji Jiwe la Msingi Mradi wa Miundombinu ya Kusafisha na Kutibu Maji Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara amesema, "Kwa Serikali ndoo moja ya maji ya lita 20 inauzwa kwa Tsh. 37. Wananchi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukweli kabisa kwangu mimi ni mawaili tu mpaka sasa! Mohamedi Mchengerwa na Geofrey Mwambe. Hawa wamezishika nafasi zao kwa kujiamini na wanaendasha kazi za Uwaziri kama ipasavyo. Mohamed...
2 Reactions
55 Replies
5K Views
Mbunge wa viti maalumu mh Humphrey Polepole ameshinda tuzo ya Digital Politician of the Year ( 2021) inayotolewa na Digital Awards Tanzania. Polepole ameshukuru na kusema " sitawaangusha mambo...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Mama kama unataka kudili na rushwa nchi hii anza na TAKUKURU hii haina kazi zaidi ya kutumia pesa za walipa kodi. Hizo pesa za kuwalipa hawa bora vijana wapewe mitaji tu. Ni taasisi ambayo haina...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
...or will this be another form of Usanii? Let's wait and see Corruption probe: No one will be spared, says JK THISDAY REPORTER Dar es Salaam PRESIDENT Jakaya Kikwete has made his...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wanajamvi nawasalimu nyote kwa jina la jamhuri ya muungano. Napenda nijadili kidogo kuhusu suala la siasa safi. Hili ni shida kubwa sana hapa kwetu tanzania. Siasa safi si kuwa na amani au kuwa...
0 Reactions
1 Replies
802 Views
Moja ya mapendekezo yanayopelekwa bungeni ni polisi kutoadhibiwa Kwa jinai pale wanapotekeleza majukumu Yao wakiwa undercover na kusababisha jinai . Kwa mfano polisi yupo undercover akapiga mtu...
2 Reactions
67 Replies
7K Views
Nilifikiri barua ya kujiuzulu kwa Spika Ndugai angeandikiwa Katibu wa bunge na nakala kupelekwa kwa Katibu mkuu wa CCM na siyo kinyume chake Pascal Mayalla nipe uzoefu wako Tafadhali
22 Reactions
147 Replies
13K Views
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (59), amejiuzulu wadhifa wake kupitia barua aliyoandika jana kwenda kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - akiuelezea uamuzi huo kuwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu swalamaa, Nashindwa kuelewa kwann sas HV hatuna nguvu za kisiasa Kama zamani Hali imepelekea siasa na viongozi mashuhuri kushika nafas nyeti na muhimu katika taifa hili kutokea Kanda ya...
11 Reactions
172 Replies
13K Views
Ukweli uliodhihirika ni kwamba WATANZANIA SASA WANATAKA KATIBA MPYA , hili jambo kwa sasa halina tena ubishi . Hebu angalieni Mtiti huu kwenye kongamano la Katiba mpya lililofanyika leo 6/02/2022...
10 Reactions
31 Replies
2K Views
Haya mambo unaweza kuyachukulia kimzaha lakini wale wa nguvu zisizoonekana kama Mshana jr wanaelewa. Pamoja na kwamba Freeman Mbowe yuko majaribuni lakini wale waliomsakama na kumzongazonga ndio...
32 Reactions
99 Replies
8K Views
Baada ya mh Rais Samia kupiga indiketa ya kuutumbua uongozi wa mkoa wa Mara, leo Ally Hapi katumia jukwaa vizuri kujitetea. Pamoja na ukweli kuwa Ally Hapi angeweza kuyatatua yote aliyomwomba...
5 Reactions
11 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…