Tujifunze kuwaheshimu viongozi hata kama hawakuwa chaguo letu,Chadema mnanisikia?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Nchi yeyote ile dunian kuna taratibu za kupata viongozi , moja wapo ya nchi hizo ni Tanzania,
Mnajua kwamba kuna zile 39% ambazo hawakumchagua Dr Magufuli kila jambo wanabeza analofanya, nauliza je hakuna zuri lolote kafanya? Mnaona mabaya tu?

Haya basi mazuri yake hayaonekani basi muheshimuni kama amiri jeshi mkuu wa nchi yetu,

Lakin imekuwa kinyume maana kila analofanya mnasema mnakosoa na matusi juu

Majina kama Kichaa, Sizonje, Pogba so vema kumuita rais ambaye umepamba picha yake kwenye ofisi yako kwa mujibu wa sheria,

Tunajua tabia nzuri hutokana na malezi bora ambayo ama taasisi au wazazi wamemkuza kijana wao ila kwa bahati isiyo nzuri sana CHADEMA na BAVICHA yake wanashindwa kuwalea watoto au vijana kama misingi ya umoja upendo na amani dhidi ya maasimu wao,

Ukipitia kurasa au mitandao na majarida mbali mbali , wanotukana na kutoa matusi so mtihani mkubwa kujua wanatoka upande gani maana hata uniform zinakuwa wazi,

Hili ni tatizo ambalo tunalilea na kushindwa kulithibiti kadri muda unavyosogea,
CHADEMA ya wakubwa tumeona kina Sugu , Halima mdee na Lema wakitoa matusi hadharani mpaka unashangaa hawa ni viongozi au ?

Je kama wakubwa wanafanya hivo wadogo wataiga wapi mfano wa siasa bora safi zenye ushindani wa hoja??

Nashukuru sana Chama cha Mapinduzi kupata watu hawa wawili
Humphrey Pole Pole na Dr Bashiru Ally, naona mwelekeo wa CCM utakuwa mzuri kama utendaji wao hautakwamishwa,

Kilichobaki ni kufanya siasa safi siyo za matusi na kutoleana maneno machafu,

Mungu Ibariki CCM chama tawala
Mungu ibariki CHADEMA vijana kikuu cha upinzani

Mungu Ibariki Tanzania na watanzania wote
 
Baada ya kuwapinga pinga Lumumba siku kadhaa za nyuma naona wakaamua kukupa motivation kwa kukuandikia safari ya siku 10 kwenda Bangkok na Pattaya, Thailand kufanya sex tourism sasa umerejea nchini umekuta bandiko hilo kazi ya kwanza umepokea posho ya siku "chibuku" saba na kuambiwa ulibandike hapa.

Hongera na pole kwa safari kiongozi.
 
..hii heshima ni ya upande mmoja tu?

..Ya wapinzani kuwaheshimu CCM na Magufuli?

..Je, wapinzani hawastahili kuheshimiwa na Magufuli na CCM?

..Je, Magufuli na CCM wanapongeza jambo lolote linalofanywa na wapinzani? Au huwapinga, huwahujumu, huwakandamiza, na kuwabeza wakati wote?

NB.

..Magufuli aliposema Jecha apewe nishani hukushangaa?
 
Baada ya kuwapinga pinga Lumumba siku kadhaa za nyuma naona wakaamua kukupa motivation kwa kukuandikia safari ya siku 10 kwenda Bangkok na Pattaya, Thailand kufanya sex tourism sasa umerejea nchini umekuta badindo hilo kazi ya kwanza umepokea posho ya siku "chibuku" saba na kuambiwa ulibandike hapa.

Hongera na pole kwa safari kiongozi.
Mkuu sina price tag mi nabutuaga ukweli tu,

Sex tourism sijaifanya mkuu maana unaweza kufanyiwa sex torturing badala ya sex tourism haha
 
..hii heshima ni ya upande mmoja tu?

..Ya wapinzani kuwaheshimu CCM na Magufuli?

..Je, wapinzani hawastahili kuheshimiwa na Magufuli na CCM?

..Je, Magufuli na CCM wanapongeza jambo lolote linalofanywa na wapinzani? Au huwapinga, huwahujumu, huwakandamiza, na kuwabeza wakati wote?

NB.

..Magufuli aliposema Jecha apewe nishani hukushangaa?
Kuna umuhimu wa kupongezana ndo maana sijasema Magufuli anawapongeza, ila wanaoongoza kwa kubeza ni wapinzani,

Mpaka zitto anamuita Rais mshamba
 
Kiongozi Bora Lazima Atafuata Misingi Ya Kiuongozi Aliyokabidhiwa, Atakubali Kushauriwa, Atakubali Kukosolewa, Atakubali Kuwajibika Pale Atakapovurunda, Hatobagua Watu Wala Mawazo Yao. SIO LAZIMA ASIFIWE!

Ukiona Watu Wanalazimishwa Kumsifia Kiongozi Fulani Ni HATARI SANA. Ni Lazima Tupate Watu Watakaoweza Kumkosoa Na Kumpinga Hadharani Ili Lile Kundi La Kusifia Lisije Likatupoteza.
 
Mkuu sina price tag mi nabutuaga ukweli tu,

Sex tourism sijaifanya mkuu maana unaweza kufanyiwa sex torturing badala ya sex tourism haha
Hakuna asie na bei mkuu ila wengine mko very cheap to the extent kuwa hata mtu akiwaona vyenye mnakuwa bought anaeza ku throw up. You are blinded by the offers presented infront of you that you are completely willing to sell your own kind.
 
..Je, mazingira ya kuheshimiana yapo?

..Has the President facilitated an evironment of civilized engagement with members of the opposition?
Yapo mkuu sema hatuyaoni mpaka yatoweke ndo tutayakumbuka
 
Nchi yeyote ile dunian kuna taratibu za kupata viongozi , moja wapo ya nchi hizo ni Tanzania,
Mnajua kwamba kuna zile 39% ambazo hawakumchagua Dr Magufuli kila jambo wanabeza analofanya, nauliza je hakuna zuri lolote kafanya? Mnaona mabaya tu?

Haya basi mazuri yake hayaonekani basi muheshimuni kama amiri jeshi mkuu wa nchi yetu,

Lakin imekuwa kinyume maana kila analofanya mnasema mnakosoa na matusi juu

Majina kama Kichaa, Sizonje, Pogba so vema kumuita rais ambaye umepamba picha yake kwenye ofisi yako kwa mujibu wa sheria,

Tunajua tabia nzuri hutokana na malezi bora ambayo ama taasisi au wazazi wamemkuza kijana wao ila kwa bahati isiyo nzuri sana CHADEMA na BAVICHA yake wanashindwa kuwalea watoto au vijana kama misingi ya umoja upendo na amani dhidi ya maasimu wao,

Ukipitia kurasa au mitandao na majarida mbali mbali , wanotukana na kutoa matusi so mtihani mkubwa kujua wanatoka upande gani maana hata uniform zinakuwa wazi,

Hili ni tatizo ambalo tunalilea na kushindwa kulithibiti kadri muda unavyosogea,
CHADEMA ya wakubwa tumeona kina Sugu , Halima mdee na Lema wakitoa matusi hadharani mpaka unashangaa hawa ni viongozi au ?

Je kama wakubwa wanafanya hivo wadogo wataiga wapi mfano wa siasa bora safi zenye ushindani wa hoja??

Nashukuru sana Chama cha Mapinduzi kupata watu hawa wawili
Humphrey Pole Pole na Dr Bashiru Ally, naona mwelekeo wa CCM utakuwa mzuri kama utendaji wao hautakwamishwa,

Kilichobaki ni kufanya siasa safi siyo za matusi na kutoleana maneno machafu,

Mungu Ibariki CCM chama tawala
Mungu ibariki CHADEMA vijana kikuu cha upinzani

Mungu Ibariki Tanzania na watanzania wote
Na wewe hebu tutolee upuuzi hapa,na acha kuongea uongo,Magufuli hakushinda urais bali alishindwa kabisa,suala la kumpenda mtu ni personal, usilazimishe watu wote wampende Magufuli, kuwa amiri jeshi mkuu haina maana apendwe na watu wote,kuhusu matusi,hata yeye ni bingwa wa kutukana hadi mawaziri wake,na jina kichaa alijiita mwenyewe usitake kutwisha watu mizigo hapa.
 
Salama mkuu mbona povu?
 
Back
Top Bottom