Top mmoja kateleza katika maongezi kavujisha Taarifa sehemu kwamba
Report ya Chande Tayari imewataja watu fulan na wanaweza wakapotea hivo wakamatwe kabla ya Juma kuisha na ikibidi wakamatwe leo...
Wallah tena nawaambia, ukiwa kwa mbali unaweza kudhani macho na masikio vinakudanganya maana muonekano wake unakufanya udhani ni mtu mwenye busara na maarifa, kichwani kuna nondo za kutosha, na...
Naona ugumu kukichafua cheo cha Jaji kwani ni adhimu na chenye heshima kwa anayestahili kuheshimiwa nacho na Wewe Chawa, Chande umejivua cheo hicho, acha nisionekane mtovu wa nidhamu kwa wakubwa...
"Lakini pia, Mheshimiwa Rais, kulikuwa na madai ya kuwepo makaburi ya halaiki. Kulikuwa na madai hayo kupitia vyombo vya habari vya kimataifa na mitandao ya kijamii kuhusu uwepo kwa makaburi ya...
Maandamano ya Oktoba 29 yalizuka kutokana na kero za muda mrefu za wananchi kama vile madai ya demokrasia halisi na katiba mpya, hali ngumu ya kiuchumi ikiwemo kupanda kwa gharama ya maisha...
"Kuna kijana mmoja, Usariva Harusha, mwenye umri wa miaka kumi na sita. Alishawishiwa, alipewa Shilingi elfu hamsini ashiriki, na walimuahidi—na kwa maneno yake—walimuahidi watampa Shilingi...
Ushahidi unaonyesha vurugu zilikuwa zimepangwa, ziliratibiwa, zilifadhiliwa na zilitekelezwa na watu waliofuzu mafunzo maalum. Viongozi wakuu walikaa nyuma na kuwatumia vijana kama zana za mbele...
Na.M M Mwanakijiji
Uwezekano wa Jeshi la Polisi na Usalama wa Taifa (maafisa wake) kutolewa kafara kwa umwagikaji wa damu Oktoba 29 mwaka jana.
Pamoja na maelezo marefu na ahadi za "tumeipokea...
Why Nawashanga watu kuiponda ripoti ya 29 wakati mliujua ukweli kabla ya utafiti huo kufanyika na haya ni baadhi ya maswali tulikuwa tunajiuliza baada ya kuteuliwa kwa tume yenyewe.
1. Nani...
Wasalam watanzania
Poleni kwa kusahau report ya CAG kutokana na kuwabize na kulinda nyeti zenu🙏
Kwanza Mimi sio mwandishi mzurii ila jitahidini kusoma hivyo kwani najilaumu kwa kukataa shule😭...
Nchi imepoteza mabilioni kuunda tume ya kuchunguza matukio ya October 29.
Leo Tume ya Chande imetoa ripoti na kumkabidhi Rais. Cha kushangaza ni Rais kusema ripoti ya Tume ni ya kwake yeye kama...
Media na wasanii Bongo ni wanafki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, kafa mtu mmoja post kila kona halafu mnajiita nyie ni vioo vya jamii.
Nyie ni vioo vya jamii gani? Mbona...
Kauli yako ya kusema hii ripoti ni ya kwako wakati kodi za Watanganyika zimetumika kuwalipa hawa vibonge kwenye tume ucharwa, kweli kabisa?
Kwanini huishiwi na vituko katika hotuba zako? Ni...
Huwa nachukua sana kusikia kauli kama hizi
Bado tunajifunza na kukua katika mfumo wa demokrasia”
Demokrasia yetu bado ni changa
Hizi ni kauli za kisiasa zilizo dhaifu ambazo viongozi walioko...
Tulikamatwa vijana zaidi ya 20 wa CHADEMA wakati wa Uchaguzi wa 2025 tarehe 28 Oktoba, ilikuwa kabla ya uchaguzi wenyewe, tulikuwa watu wa 3 tukanyang’anywa simu.
Ilikuwa katika Kituo cha Polisi...
Reuters - At least 518 people were killed in violence that broke out during Tanzania's elections last October, a government-appointed commission of inquiry said on Thursday, in the first official...
Mh Rais walio kufa ni watanganyika je walijua ilo?
Je wangapi na ni ndugu zako?
Je ni Rais yupi aliwai kuwa Rais kwa mauaji ya watu hata 300?
Tanganyika?walikufa ni wengi kwa Nini usiqchei nchi...
Tume ya uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi, imesema hakuna ushahidi uliothibitisha kuwepo kwa makaburi ya halaiki katika eneo la Kondo, jijini Dar es Salaam.
Hayo yameelezwa leo...