Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Ile Trade Agreement EPA iliyokuwa inapingwa kwa kila hali na CCM sasa kusainiwa na Raisi wa Tanzania Samia huko Brussels kwenye EU- Afrika Union summit. EPA ni free trade Agreement Kati ya EU na...
31 Reactions
164 Replies
13K Views
Heri ya kidogo cha halali kuliko kuwa na kikubwa cha dhuluma. Wana cdm Makambako wanakamilisha ujenzi wa ofisi ya cdm wilaya ikiwa ni mali yao halali isiyo ya kupora nguvu za watanzania. Kwa...
19 Reactions
52 Replies
3K Views
Kama wote tumewai kushuhudia wizi unao fanywa na watumishi wa umma wanao kusanya fedha za halimashauri mtaungana na Mimi uwa iki ni kichaka kikubwa Sanaa fedha nyingi za Watanzania wanyonge...
2 Reactions
5 Replies
745 Views
Waziri wa nishati mh Kalemani amesema mradi wa umeme bwawa la Nyerere kuanza kujazwa maji November 15. Kalemani amesema hayo alipotembelea mradi huo akiwa ameongozana na waziri wa nishati wa...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Mhandisi Christopher Bitesigirwe Mratibu wa Mradi wa JNHPP. Nimekuwa pale kwenye mradi kwa muda wa zaidi ya mwaka na ni Mtaalamu wa Mitambo. Kuna aina nyingi ya crane na kila crane inatengenezwa...
8 Reactions
103 Replies
8K Views
Mambo ya Raisi Mwinyi hayo kwa Zanzibar yake, wanaplan beyond tourism na uwekezaji wa 2 Billion USD. Zingatia Zanzibar ina watu kama milioni 1.5 tu!
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Mhe Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Mama Samia Suluh Hassan, wakati wa kuwapisha makatibu wakuu na baadhi ya wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali aliagiza wizara ya maliasili na utalii inayongozwa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika hali ya kawaida Makonda hana raha kabisa. Hana raha kwa sababu hana mamlaka yoyote tena ya kumfanya afanye vitu vya kuonekana. Makonda kaondokewa na Godfather. Makonda anatajwatajwa na...
64 Reactions
166 Replies
21K Views
Nimeona kwenye mitandao mbalimbali watu wakianza kusifia serikali ya awamu hii kuruhusu bunge live kama njia moja wapo ya kusahihisha makosa yaliyokuwa yanafanywa na serikali ya "Mwendazake"...
9 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimeona clip hii ya uchambuzi wa kitabia, ambao nimeona vema kushare. Kimsingi waanasiasa walio karibu na rais inabidi waelewe kuwa Rais ni binadamu. Kwa kujipendekeza kwao wasijekufuru...
9 Reactions
37 Replies
2K Views
  • Closed
Hali ya mambo ndani ya NCCR-Mageuzi imemgeukia Katibu Mkuu wa chama hicho Martha Chiomba, baada ya Jumuiya ya Vijana na baadhi ya Vigogo wa chama hicho kuaziamia kumg'oa. Taarifa za hivi punde ni...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Ikumbukwe Prof. J ni mbunge mstaafu na mpaka sasa ni kiongozi wa Chadema (mwenyekiti wilaya ya Kilosa na mjumbe wa Baraza kuu na mkutano mkuu Taifa) Sarakasi za Chadema zimepekekea Raia kuhoji...
16 Reactions
72 Replies
5K Views
Hospitali ya Taifa Muhimbili leo imepata bahati ya kutembelewa na Akina mama wenye ushawishi zaidi nchini Tanzania , wanaoitwa Bawacha , ambao walifika Mahsusi kwa ajili ya kumjulia hali mbunge wa...
17 Reactions
44 Replies
3K Views
Spika Ndugai amesema uongo muda mchache uliopita haikuandika barua kwake kumtaarifu juu ya kuwafukuza uanachama wabunge waliofanya utovu wa nidhamu na kukiuka maadili ya chama. Huu ni ushahidi...
16 Reactions
141 Replies
18K Views
Nimeona Magazeti Makubwa kama Mwananchi, Nipashe yamebeba kichwa Cha habari eti "MBOWE ALIA NJAA" Alichokizungumza MBOWE ni Haki ya mtu kuvunjwa! Inakuweje iitwe kulia njaa? Pia issue hiyo sio ya...
18 Reactions
69 Replies
47K Views
Wanaukumbi. CHADEMA na Wanaharakati kama kwelli mnapenda haki na uwazi kuwa mfano kama mnataka kupewa dola watueleze US$100,000 takribani Tsh. 230m) mlizopewa na OpenSociety (Nairobi) kwa ajili...
4 Reactions
115 Replies
8K Views
Mhe. Mbowe amenyoosha MKONO na kumwaleza Mhe. Jaji kwamba Wana miezi mitano bila kula chakula cha Mchana kwa maana nyingine kauli Hii inaonyesha watuhumiwa hawa wamekuwa wakishinda na kulala bila...
19 Reactions
114 Replies
14K Views
Wakati kuna walemavu Asilimia chache sana wanaobahatika kupata Elimu hapa nchini. na wengi wa walemavu hawaendi Shule kabisa hii ni kutokana na Maisha yao kuwa Duni au mazingira ya Elimu kuwa Tatizo.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Naibu waziri wa mambo ya ndani mh Jumanne Sigini amesema auwaji yanayoendelea nchini ni fedheha kwa taifa na amewataka askari polisi na vyombo vingine vya dola wayakomeshe. Aidha naibu waziri...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Baada ya wafanyabiashara na Chadema kushangilia mateso ya kufungiwa biashara kwa wamachinga hatimae zamu yao imefika, kuanzia leo kodi ya maduka kwenye jiji la Arusha imepandishwa kwa 100% na...
6 Reactions
78 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…