Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Spika wa bunge Dkt. Tulia Ackson amesema gazeti la Raia Mwema ni wapotoshaji wakubwa wa habari hapa nchini baada ya kutoa habari mfululizo za kulishambulia Bunge, Sabaya na Makonda bila ushahidi...
3 Reactions
32 Replies
6K Views
Hivi kiongozi mmoja wa ACT Wazalendo anapotoka dharani na kusema kuwa kitendo alichokifanya Lissu cha kukutana na Rais Samia rti wao ndio walishauri hivyo, hivi huyu mtu anaelewa nini kama siyo...
4 Reactions
1 Replies
635 Views
1.Mhe Rais naomba kuchukua Nafasi hii binafsi kukushukuru Kwa maamuzi makubwa uliyofanya Kwa maslahi mapana ya Taifa. Mimi ni mwana Chadema na siku zote msimamo wangu utabaki kuungana na...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari Wakuu, Leo 15/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 baada ya Ushahidi wake kutokamilika jana Kujua Kesi ilipoishia...
41 Reactions
307 Replies
45K Views
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imebaini kuwa Shirika la Ndege (ATCL) lilipata hasara ya Sh60.24 bilioni kwa mwaka wa fedha 2019 /2020. Mwenyekiti wa PAC, Naghenjwa Kaboyoka...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Wanachama wa Chadema wilaya ya Ludewa mkoa wa Njombe wakiandamana kupinga maamuzi ya chama hicho kukata jina la mshindi wa kura za maoni na kumteua aliyeshindwa ,mbali ya kuandamana pia...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Rais Magufuli amenukuliwa akisema haya.. Wakati tunaingia madarakani tuliambiwa Tanzania kuna ugonjwa wa Zika, aliyetangaza na aliyetumiwa kutangaza nikamfukuza kazi (bahati mbaya ni Mgogo)...
13 Reactions
290 Replies
34K Views
Tungeanzisha wizara ya mafuta na gesi. Kwenye wizara ya Nishati tuyatoe mafuta na gesi. Kuweka mafuta na gesi kwenye wizara ya nishati kutasababisha sekta nzima ya nishati kuzorota. Kuna wadau...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna mambo yanafikirisha mno na hakika MUNGU siku zote hakawii kumuonyesha mtu adui yake halisi. Siku chache tu zilizopita CCM walikua mstari wa mbele kuwalaumu CHADEMA kuwa sio wasikivu...
20 Reactions
69 Replies
5K Views
Kauli ya kamati ya bunge imeniacha hoi na mshangao sana kwamba eti kampuni ya mwendokasi inajiendesha kwa hasara. Hili nalipinga kwa nguvu zote, kwa jinsi wanavyojaza abiria na wateja wake ni...
24 Reactions
138 Replies
8K Views
Ni suala la muda tu na muda umekaribia, huwezi kuishi kwa Uongo maisha yote, uongo ni mzigo na mgumu sana kuutetea siku zote. Tundu Lisu na Samia ni wamoja kufungwa kwa Mbowe kuna mengi zaidi...
6 Reactions
68 Replies
6K Views
Ni kawaida kwa Marais wa Tanzania kukutana na Watanzania wanaoishi kwenye nchi ambazo viongozi hao hufanya ziara za kiserikali, kwa mfano , Mama alipofika nchini Marekani alikutana na Watanzania...
23 Reactions
163 Replies
12K Views
Leo upande wa mashtaka umefunga ghafla kesi ya ugaidi inayowahusu washtakiwa wanne akiwemo Freeman Mbowe. Katika hali ya kushangaza shahidi muhimu ambaye akitajwa karibu kila siku na mashahidi...
54 Reactions
185 Replies
16K Views
Under Mkapa the biggest drive was privatization of assets and nationalization of debt. Although Mzee Ruksa gets blamed for laisse faire liberalization it was Mkapa really who had overdone economic...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Na: Peter Mwaihola. Mapema baada ya kuchuguliwa Rais Wa DRC Felix Tshisheked alipata Kutiliwa mashaka kua Ni serikali gani angeiunda hii kutokana na chama chake kutopata wabunge wa kutosha ili...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nguvu kubwa iliyotumika kuusaka ubunge kwa mbunge wa Mbeya mjini DK. Tulia Ackson iliwaaminisha wengi kuwa ndiyo itakua dhamira ya utendaji ofisini pindi atakapopata idhini hiyo. Ndoto ya kuusaka...
5 Reactions
40 Replies
5K Views
Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais, =========== Kassim Majaliwa: Madaraka yote...
31 Reactions
178 Replies
15K Views
Habarini, Niende moja kwa moja kwenye mada. Kiukweli nimefurahishwa na huu mpango wa anuani ya makazi na postikodi ambao kwa namna moja au nyingine litawezesha vijana kupata ajira hizo za muda...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
RC Geita amezungumzia sakata la wananchi waliopanga kwenda kufanya tambiko kubwa kwenye kaburi la Magufuli. Amewachimba mkwara wale wote waliopanga kufanya hivyo na amewaambia maswala ya...
7 Reactions
68 Replies
5K Views
Ndugu Zanguni leo ndio nimehitimisha majukumu yangu ya mradi unaohusisha mambo ya Jamii kupitia shirika lisilo la kiserikali la WORLD VISION. Pamoja na mengine nimekuwa nikikaa kwenye vijiwe...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…