Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watu waliongea sana. Wengine tulithubutu kuandika.... "CCM Kila waziri, Mbunge na RC anasema Raisi Samia Kanituma" Nikawauliza...Je ni lini na nyinyi mtaanza kutumia akili na vipaji vyenu...
1 Reactions
10 Replies
813 Views
Kuna wimbi la watanzania wanaoamini 100% kwenye kiongozi kuwaletea maendeleo bila wao kushiriki kwa namna mbali mbali, Nauliza swali ili nikiwa natambua kwamba kiongozi bora ndo utoa mwongozo kwa...
10 Reactions
158 Replies
10K Views
Wanabodi, Takwimu mbalimbali zinaonyesha jinsi ambavyo uchumi wa Tanzania umekuwa ukibadilika. Ingawa njia hii inaweza isielezee kwa uhalisia kinachojiri kwenye nchi tofauti, GDP bado ina...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwema Wakuu! Hakuna serikali yoyote Duniani au popote Katika Anga za mbali, au hata kuzimu yenye uwezo wa kujali watu wasiojijali. Watu wasiojijali dawa Yao ni mkong'oto. Kipondo, Hali ngumu...
2 Reactions
2 Replies
602 Views
WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imeunda timu ya kuanza kupitia Sera ya Elimu ya Mwaka 2014 ambayo miongoni mwa mambo yanayotajwa kwenye sera hiyo ni elimu ya lazima kuwa miaka 10 badala ya...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe SAKATA la kauli ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, kuwa anao maadui 11, wawili waandishi wa...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Ukiangalia utawala wa Rais wetu kwa makini utagundua kabisa kuna nguvu nyuma ya pazia inayompa shinikizo kuhusu maamuzi anayoifanya hasa kuhusu mambo ya uchumi. Alianza kwa kuongezea makato...
5 Reactions
16 Replies
939 Views
Wakuu, Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa ni nafasi kubwa ndani ya chama hicho na kimsingi ndiye mchora ramani ya mwelekeo wa chama hicho. Mzee Mangula (Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa wa...
8 Reactions
62 Replies
8K Views
Mwanzoni ilikuwa wazi vitu vimepanda bei kwa sababu ya korona, korona imeeleeka kuisha huku vitu vinazidi panda bei .. Watu wakaanza piga kelele vitu vimepanda bei wanaumia, serikali ikakaa...
3 Reactions
50 Replies
3K Views
CAG anasema Mashirika ya Umma 38 hayana wajumbe wa bidi za wakurugenzi kwa zaidi ya miaka 12 sasa. Kadhalika mashirika mawili Bodi ya Korosho na TPDC yana Mwenyekiti wa bodi pekee bila wajumbe...
14 Reactions
125 Replies
7K Views
Siwezi kubisha tena kuwa nami nimelisoma andiko la Makatibu Wakuu wa CCM, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana na Luteni Mstaafu Yusuph Makamba. Ni andiko kwa umma kuanika hatua walizokwisha...
19 Reactions
66 Replies
11K Views
Nimekuwa nikiona Rais wetu akiipa uzito hii nchi ya kuitwa Oman. Hadi sasa ninachojua tu ni kwamba Zanzibar ilikuwa koloni la Oman na masultani wake walikuwa na asili ya Oman. Ila leo pia...
9 Reactions
265 Replies
15K Views
Kamati kuu ya CCM iliyo kaa hapa dodoma imempendekeza Philip Mangula apigiwe kura na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM,Mangula amewahi kua Katibu Mkuu wa CCM na ameshika nafasi mbali mbali ndani ya...
18 Reactions
271 Replies
33K Views
Wanaccm, kokote duniani, salaam! Nimepitia video ya msiba mwanzo mwisho kuhusu watu anaowaita wasaka urais mwaka 2020 - wakati akijenga hoja anajifunika shuka la kusia Mhe. Rais ili hoja yake...
14 Reactions
110 Replies
18K Views
Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Abdulrahman Kinana amejitokeza na kumuomba radhi Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Dkt. John Magufuli kufuatia matukio yaliyojitokeza siku za nyuma ikiwemo mazungumzo ya...
27 Reactions
170 Replies
22K Views
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema anayo orodha ya mafisadi wote waliotajwa katika ripoti ya kamati ya Dr Bashiru hivyo makada wakiendelea kumzingua atawataja wote hadharani. Ameuliza...
21 Reactions
275 Replies
34K Views
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu, tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka. Swali ni hili, Amefuata nini?
13 Reactions
196 Replies
18K Views
Mwanasiasiasa nguli na muhimu sana ndani ya Bavicha, Hilda Newton anaomba ajibiwe swali lake, hakika CHADEMA ina watu smart sana
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Kuwa nami, CAG anasoma mambo muhimu kwenye ripoti yake ambayo anaiwasilisha kwa Rais Samia. Inaanza kwa hali isiyo njema kwa vyama vya siasa. Endelea... ========= CAG: Upande wa vyama vya...
11 Reactions
85 Replies
52K Views
Kwa nini shule zetu za kata zinakufa? Na nini kifanyike tuzi-inue shule zetu za kata? Kwa hali ya sasa, shule zetu za kata zipo kwa ajili ya kundi maskini au kundi la wasiojiweza. Sidhani kama...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…