Tuna nyanyasika
Member
- Mar 16, 2022
- 65
- 83
Mwanzoni ilikuwa wazi vitu vimepanda bei kwa sababu ya korona, korona imeeleeka kuisha huku vitu vinazidi panda bei ..
Watu wakaanza piga kelele vitu vimepanda bei wanaumia, serikali ikakaa kimya,
Vita ya Ukraine na Urusi imeingia ikawa msaada kwa serikali, tayari wakatupa majibu, vitu vinapanda bei kwa sababu ya vita ya Urusi na Ukraine😂
Sasa bado wanawaza vita ikiisha sababu itakuwa ni nini