Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi amesema kuna viongozi wa upinzani ambao badala ya kuunganisha nguvu na kuijenga Zanzibar wao wamekuwa mstari wa mbele kuisema vibaya serikali. Dkt. Mwinyi amesema...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Nimeona kwenye news kuwa serikali imefanya malipo ya ndege tano mpya. Dreamliner moja, boeing 737-9 mbili na Dash 8 q 400 moja. Malipo haya kwa haraka haraka yanakadiliwa kugharimu zaidi ya...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Ni Tanzania pekee duniani mfanyabiashara anaweza kupanga bei aitakayo bila kujali chochote Serikali kupitia waziri wa viwanda na biashara angalieni mfumuko wa bei nchini hasa bidhaa za msingi ni...
28 Reactions
119 Replies
7K Views
Juzi jirani na nyumbani ninapoishi nimeona watu wanachimba mashimo kuweka nguzo za miti zile za tanesco. Nikawauliza kwani tanesco bado mnaweka nguzo za miti maana juzi tu nimeona hapo jirani...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Sisi tulioishi wakati wa vita ya Kagera tunaweza kuiona hali itakayotukabili mbele yetu ambayo mchawi wake siyo CCM bali Wababe wa dunia. Ni heri mkutano ya siasa ikaruhusiwa ili serikali ipate...
0 Reactions
2 Replies
500 Views
Kwamba Urais ni taasisi? Hii ni doctrine ngeni iliyoasisiwa katika awamu ya tano katika kutafuta kuhalalisha yasiyo halali. Uliwaambia vyema polisi, pasipokuwa na ushahidi wasikamate maana...
1 Reactions
10 Replies
620 Views
Sasa hivi wapenzi na wanachama wa CCM wamezua tabia ya ajabu sana kupata kutokea. Tabia hii ya kutaka kumtukuza na kumsifia kwa kila kitu Rais Samia hata kwa vitu ambavyo hajahusika wala...
12 Reactions
36 Replies
2K Views
Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani...
40 Reactions
216 Replies
65K Views
Mkuu wa wilaya ya Ilala Ngw'ilabuzu Ndatwa Ludigija ametahadharisha Wananchi wa Dar kwamba Wasinunue mafuta ya kwenye Madumu. Kasema Pwani ya Dar kuna Meli inamwaga mafuta, fukwe zote zimejaa...
6 Reactions
37 Replies
6K Views
Raisi Samia Samia amewahi kutueleza pale tunapoona Serikali imekosea basi tuikosoe kwa staha na tushauri nini kifanyike. Hivyo kwa staha naomba kuishauri Serikali juu ya hili ombi kwa...
8 Reactions
46 Replies
3K Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitaka maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo na Mizani Magdalena Chuwa(kulia)kuhusu sababu zilizomfanya azuie matumizi ya flow Meter katika kuhakiki...
8 Reactions
137 Replies
33K Views
Baada ya malalamiko ya muda mrefu juu ya utoaji wa vibali vya kuingiza sukari nchini. Rais magufuli amepiga marufuku vibali hivyo kutolewa. Rais amemwagiza Waziri Mkuu asitoe kibali chochote cha...
9 Reactions
639 Replies
79K Views
Wanabodi This is breaking news, wewe kama mwana JF, Be the 1St to know kuwa, Kampuni ya Mafuta ya Total imeinunua Kampuni ya Mafuta ya Gapco na kuifanya kuwa ndio Kampuni kubwa kabisa ya Mafuta...
6 Reactions
30 Replies
8K Views
Serikali imesema iko katika hatua za awali za kuandaa mpango wa uagizaji wa gesi ya mitungi (LPG) kwa pamoja kama ilivyo kwa mafuta ya Petroli hali itakayosaidia kudhibiti masuala mbalimbali...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amezindua rasmi biashara ya kuuza na kusambaza mafuta nchini kwa kufungua kituo cha kwanza kuuza mafuta ya Petroli na Dizeli cha Serikali...
18 Reactions
157 Replies
19K Views
Mida ya usiku pale kwenye geti la kutokea Tanzania kuingia Rwanda maafisa wetu wa forodha huwa wanafanya uzembe unaohatarisha usalama wa taifa letu kwa wao kwenda majumbani ama nyakati zingine...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Hawa watu wapo na bila ya shaka wana sababu. Wapo ambao wanaipigia kura CCM na bila ya shaka wana sababu yao kama zao. Ni Watanzania – bila ya shaka – na ni mamilioni – kwa...
20 Reactions
161 Replies
14K Views
Nini Sababu ya Umaskini au Utajiri wa Nchi? Mfano wa Tofauti kati ya Korea ya Kusini na Korea ya Kaskazini; Makala Mwananchi Alhamisi 10, January 2013 : Dr. Hamisi Kigwangalla's Round Table Nini...
13 Reactions
96 Replies
16K Views
kwanza kabisa tunapaswa kujua nini maana ya kiongozi kuwa corrupt? Kiongozi corrupt ni kiongozi anayetumia madaraka yake vibaya kujinufaisha yeye ama watu wake kisiasa ama kwa mali. Corruption...
12 Reactions
181 Replies
10K Views
HOTUBA YA MSEMAJI WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI WIZARA YA NISHATI NA MADINI JOHN JOHN MNYIKA (MB) KUHUSU MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI JUU YA MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA MWAKA...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…