Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naomba kueleweshwa ni ipi legacy ya ndugu yusuph Makamba hapa Tanzania kwenye chama chake na serikalini kwa ujumla.
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Leo Paul Makonda mkuu wa mkoa wa DSM akiwa anaongea na waandishi wa habari ofisini kwake akasema watakao vunja sheria wapigwe na Polisi yeye ndoo atajibu je? Sheria inasemaje kwa mhalifu nini...
8 Reactions
348 Replies
40K Views
Mtu anapotosha umma kuwa zaidi ya wananchi mia moja wameuwawa na jeshi la polisi. Ushahidi upo wazi na anatiwa hatiani alafu sababu ni mwanasiasa anapewa adhabu ya Conditional discharge. Huu ni...
9 Reactions
45 Replies
3K Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema ukaguzi ulihakiki majengo ya makazi ya magereza na kubaini kuwa mengi ni chakavu na yanahitaji ukarabati mkubwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera na Uratibu, George Simbachawene amesema kwa sasa, si ajabu kukuta pengine matumizi ya Dawa hizo yanafanywa hata na watu wenye nafasi kubwa...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Ili Tanzania mpya izaliwe, ilikuwa ni lazima ile ya zamani ife. Hapa nazungumzia 'system' ya zamani. Yale makundi ya watu yaliyohodhi madaraka na mamlaka ya nchi, ambayo yanabadilishana tu kutoka...
39 Reactions
87 Replies
6K Views
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeweza kupata mafanikio makubwa katika robo tatu ya mwaka inayoanzia Januari mpaka Machi, 2022 kutokana na ongezeko la usajili wa miradi na kuimarika kwa...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Kijana mmoja ametoa machozi akisema hivi: Kwa hii speed ya U- turn au Demagulification inayoendelea, ikiwezekana Kama Magufuli alizikwa akiwa Chali, ie ametazama juu, Basi wanaohusika waigeuze...
2 Reactions
6 Replies
586 Views
Wadau salama? Hoja yangu iko juu ya mhariri mkuu wa Gazeti la Jamhuri, ndugu Deodatus Balile. Yapo madai kwamba, wewe ndugu mhariri huwa unaandika habari kulingana na maslahi yako binafsi, isiyo...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Uteuzi wa Kinana ndani ya CCM, una sura nyingi na ni kamali ya mwisho kabisa kwa siasa za Lumumba. Naweza kusema haya nikijenga hoja katika mambo makuu matatu hivi. Mosi ni Uwezo wa Kinana katika...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Kihasibu ATCL ni independent entity chini ya Wakala wa Ndege Tanzania, na kama zilivyo entities nyingine za govt inatakiwa kujiendesha kwa kujisimamia. ATL anatoa huduma kwa Serikali ambaye...
1 Reactions
0 Replies
880 Views
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (kushoto) leo Aprili 13, 2022 amehudhuria kikao cha kwanza cha Bunge tangu kujiuzulu wadhifa huo Januari 6, 2022. Pichani akiteta jambo na Mbunge...
10 Reactions
66 Replies
5K Views
Mageuzi makubwa yanayofanywa ndani ya TANESCO na Wizara ya Nishati yametengeneza makundi ya Chuki watu walizoea kujipa tender za ku supply nguzo, transforma, mita, vifaa, engine za kufua umem na...
14 Reactions
98 Replies
7K Views
Aliyekuwa spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania Job Yustino Ndugai akishiriki uzunduzi wa chanjo ya mifungo jimboni kongwa Hongera kwake kwa kutulia USSR
14 Reactions
133 Replies
9K Views
Tarehe 7 mwezi Aprili 2022, kwa mara nyingine tena Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina LM kupitia Chaneli ya Mtandao wa YouTube ya Dar24 alijitokeza hadharani kuishambulia Serikali ya awamu ya Sita...
10 Reactions
160 Replies
12K Views
Watuuuuuuuuuu ni Nguvuuuuuuuuuu Habari za Kazi Wanajukwaa , Poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki kipindi hiki cha serikali ya Mama Samia,Kiukweli KAZI IENDELEE mpaka 2030 Miaka 6 iliyopota ya...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani umetoa wito kwa diaspora kufika ubalozini kwa maandalizi ya kumpokea Rasi Samia ambaye anatarajiwa kuingia Marekani Aprili 13.
6 Reactions
94 Replies
7K Views
Ile kampeni kabambe ya Kuchangia Chadema ili kusogeza mbele gurudumu la Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi sasa inagusa kila sekta , wanamichezo hawa pichani wameguswa na kampeni hiyo na kuamua...
18 Reactions
25 Replies
2K Views
Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema serikali itajenga maghala ya mafuta na lengo siyo tu kuyatumia wakati wa majanga kama huu bali nyakati zote. Mwigulu amesema maghala hayo yatatumika...
6 Reactions
69 Replies
4K Views
Amani iwe nanyi wadau, Hali ya bara ya Ulaya na Asia sio nzuri kwa sasa, Urusi anaonesha ubabe wa waziwazi kwa kuanza kurudisha maeneo ya uliokuwa Umoja wa nchi za kisovieti. Wiki hii imeanza...
10 Reactions
167 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…