Balile wa Gazeti la Jamhuri tuhuma hizi ni zako, jikague ndugu!

Ambakucha

JF-Expert Member
Aug 16, 2019
277
445
Wadau salama? Hoja yangu iko juu ya mhariri mkuu wa Gazeti la Jamhuri, ndugu Deodatus Balile.

Yapo madai kwamba, wewe ndugu mhariri huwa unaandika habari kulingana na maslahi yako binafsi, isiyo na maslahi huandiki. Madai yapo. Amini madai yapo siyo kwamba unachafuliwa.

Kuna madai kwamba, hoja yoyote inayozungumzia mafuta, ikitolewa kwa mlengo wa kuonesha mamlaka inayosimamia mafuta haitendi kazi vizuri, wewe husimama kinyume na mtoa hoja kwa sababu inadaiwa unaikingia kifua mamlaka hiyo kama hoja itakuwa tatizo kwao.

Yapo madai kwamba, Balile kuitetea mamlaka hiyo hujaanza juzi, wiki iliyopita wala mwaka jana, bali kitambo sana.

Balile, inadaiwa kuwa, uliwahi 'kumsulubu' kwa tuhuma ambazo hazipo aliyekuwa waziri wa Nishati, Medadi Kalemani na inasemekana ndiyo sababu ya kupoteza kubarua chake.

Kuna wakati, aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai aliwahi kuzungumzia tuhuma ya Kamati ya Bunge ya Nishati kwamba walikula mlungula kutoka mamlaka hiyo ya kusimamia mafuta nchini, mtoa tuhuma hizi ni Ally Kessy (alikuwa mbunge wa Nkasi-CCM), Balile ulimshambulia Kessy kuwa ni mzushi.

Lakini mwishowe, viongozi wa ile kamati walijiuzulu.

Inavyosemekana, Balile ulimshambulia Kessy ili 'kuisafisha' ile mamlaka kuwa ilitoa mlungula.

Hii mamlaka inayosimamia mafuta unahusishwa nayo sana ndugu yangu Balile, kwamba una 'tenda' ya kuitetea. Sehemu kubwa ya jamii inaamini hivyo.

Lakini madai mengi juu yako ni kwamba, unatumia Gazeti la Jamhuri kujinufaisha binafsi.

Haya madai yapo kaka, cha msingi ni wewe kujikagua ili kama ni kweli, badilika. Kama ni uongo na uzushi, fanya mambo ambayo yatakuonesha kuwa, siyo kweli maana wewe ni mtu mkubwa sana nchini na upo makini, nakufahamu, nimefanya kazi na wewe.
 
Haya maisha ukitegemea sijui tasnia ndiyo ikupe maisha utasubiri sana, sasa hapa mtoa mada na sisi tunaochangia tunamponda sijui kanjanja mara kaegemea upande mmoja as mwandishi, huku nje na ndani ya mihimili pia kuna uozo kila leo na tunapiga miruzi kweli kweli.

Okay sasa mnataka balile azeeke vibaya na senti za gazeti?.

Juzi hapa kitenge alikuwa ngorongoro, eeh bana social medias ziliwaka moto mpaka wallet yake iliwekwa humo kuwa imejaa usd kuwa kapigwa dollar leo kimya 😂 ahahahaaa.

Balile anapiga anapoona kuna unafuubwa maisha na familia yake, simtetei ila wabongo tu wanafiki sana asee..
 
Wadau salama? Hoja yangu iko juu ya mhariri mkuu wa Gazeti la Jamhuri, ndugu Deodatus Balile.

Yapo madai kwamba, wewe ndugu mhariri huwa unaandika habari kulingana na maslahi yako binafsi, isiyo na maslahi huandiki. Madai yapo. Amini madai yapo siyo kwamba unachafuliwa.

Kuna madai kwamba, hoja yoyote inayozungumzia mafuta, ikitolewa kwa mlengo wa kuonesha mamlaka inayosimamia mafuta haitendi kazi vizuri, wewe husimama kinyume na mtoa hoja kwa sababu inadaiwa unaikingia kifua mamlaka hiyo kama hoja itakuwa tatizo kwao.

Yapo madai kwamba, Balile kuitetea mamlaka hiyo hujaanza juzi, wiki iliyopita wala mwaka jana, bali kitambo sana.

Balile, inadaiwa kuwa, uliwahi 'kumsulubu' kwa tuhuma ambazo hazipo aliyekuwa waziri wa Nishati, Medadi Kalemani na inasemekana ndiyo sababu ya kupoteza kubarua chake.

Kuna wakati, aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai aliwahi kuzungumzia tuhuma ya Kamati ya Bunge ya Nishati kwamba walikula mlungula kutoka mamlaka hiyo ya kusimamia mafuta nchini, mtoa tuhuma hizi ni Ally Kessy (alikuwa mbunge wa Nkasi-CCM), Balile ulimshambulia Kessy kuwa ni mzushi.

Lakini mwishowe, viongozi wa ile kamati walijiuzulu.

Inavyosemekana, Balile ulimshambulia Kessy ili 'kuisafisha' ile mamlaka kuwa ilitoa mlungula.

Hii mamlaka inayosimamia mafuta unahusishwa nayo sana ndugu yangu Balile, kwamba una 'tenda' ya kuitetea. Sehemu kubwa ya jamii inaamini hivyo.

Lakini madai mengi juu yako ni kwamba, unatumia Gazeti la Jamhuri kujinufaisha binafsi.

Haya madai yapo kaka, cha msingi ni wewe kujikagua ili kama ni kweli, badilika. Kama ni uongo na uzushi, fanya mambo ambayo yatakuonesha kuwa, siyo kweli maana wewe ni mtu mkubwa sana nchini na upo makini, nakufahamu, nimefanya kazi na wewe.
Ndugu Salaam,

Kama ni jitihada za kunichafua, mmefanya muda na miaka mingi. Mmeniita chawa, mmeniita CCM, mmeniita CHADEMA, mmeniita CUF... kila jina mliloweza mmeniita.

Njia ya mwongo ni fupi. Para ya mwisho inakusuta. Unaniitaje mtu makini, huku ukiniona mimi ni mpigaji?

Nimefanya kazi miaka 29 sasa, sijui wewe una umri gani. Sipotezi kumbukumbu, sijawahi kuandika makala yoyote kuhusu Kessy katika maisha yangu.

Naamini Mungu ameamua uumbuke tu, kwa uongo wako. Kama una hata para 2 nilizoandika juu ya Kessy ziweke hapa.

Wanaokutuma nawafahamu, ila hizi porojo niliishaamua kuwasamehe nyote mnaozisambaza.

Nawaombea baraka tele na mkono wa Mungu uwape mafanikio maishani mwenu muwe watu wema wasio na inda.

Sifichi identity yangu. Nipigie unipe ushahidi wa hayo usemayo. Nakutakia jioni njema.

Wako,

Deodatus Balile
0784404827
 
Mkuu pole kwa kadhia hii
Maoni yangu ni kwamba kwa namna moja au nyingine inaonekana kuna conflict of interest baina yenu na hao wanao mtuma kama unavyo tanabaisha
Ni vema ukawa mkweli kama kauli mbiu ya JF "where we dare to talk ......"
Kuliko kujificha nyuma ya kutumiwa kwa mleta mada
 
Adui mkubwa wa mwanahabari ni mwanahabari mwenzie

Unajua Hawa waandishi wanajiona kwamba wapo Kama mhimil wa nne wa taifa yaani baada ya

Serikal mahakama na bunge waandishi wanajiona mhimil wa nne yaan

Executive

Parliament

Judiciary

Journalists
 
Ndugu Salaam,

Kama ni jitihada za kunichafua, mmefanya muda na miaka mingi. Mmeniita chawa, mmeniita CCM, mmeniita CHADEMA, mmeniita CUF... kila jina mliloweza mmeniita.

Njia ya mwongo ni fupi. Para ya mwisho inakusuta. Unaniitaje mtu makini, huku ukiniona mimi ni mpigaji?

Nimefanya kazi miaka 29 sasa, sijui wewe una umri gani. Sipotezi kumbukumbu, sijawahi kuandika makala yoyote kuhusu Kessy katika maisha yangu.

Naamini Mungu ameamua uumbuke tu, kwa uongo wako. Kama una hata para 2 nilizoandika juu ya Kessy ziweke hapa.

Wanaokutuma nawafahamu, ila hizi porojo niliishaamua kuwasamehe nyote mnaozisambaza.

Nawaombea baraka tele na mkono wa Mungu uwape mafanikio maishani mwenu muwe watu wema wasio na inda.

Sifichi identity yangu. Nipigie unipe ushahidi wa hayo usemayo. Nakutakia jioni njema.

Wako,

Deodatus Balile
0784404827
Piga kazi kaka, usihangaike na Majungu.
 
Wadau salama? Hoja yangu iko juu ya mhariri mkuu wa Gazeti la Jamhuri, ndugu Deodatus Balile.

Yapo madai kwamba, wewe ndugu mhariri huwa unaandika habari kulingana na maslahi yako binafsi, isiyo na maslahi huandiki. Madai yapo. Amini madai yapo siyo kwamba unachafuliwa.

Kuna madai kwamba, hoja yoyote inayozungumzia mafuta, ikitolewa kwa mlengo wa kuonesha mamlaka inayosimamia mafuta haitendi kazi vizuri, wewe husimama kinyume na mtoa hoja kwa sababu inadaiwa unaikingia kifua mamlaka hiyo kama hoja itakuwa tatizo kwao.

Yapo madai kwamba, Balile kuitetea mamlaka hiyo hujaanza juzi, wiki iliyopita wala mwaka jana, bali kitambo sana.

Balile, inadaiwa kuwa, uliwahi 'kumsulubu' kwa tuhuma ambazo hazipo aliyekuwa waziri wa Nishati, Medadi Kalemani na inasemekana ndiyo sababu ya kupoteza kubarua chake.

Kuna wakati, aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai aliwahi kuzungumzia tuhuma ya Kamati ya Bunge ya Nishati kwamba walikula mlungula kutoka mamlaka hiyo ya kusimamia mafuta nchini, mtoa tuhuma hizi ni Ally Kessy (alikuwa mbunge wa Nkasi-CCM), Balile ulimshambulia Kessy kuwa ni mzushi.

Lakini mwishowe, viongozi wa ile kamati walijiuzulu.

Inavyosemekana, Balile ulimshambulia Kessy ili 'kuisafisha' ile mamlaka kuwa ilitoa mlungula.

Hii mamlaka inayosimamia mafuta unahusishwa nayo sana ndugu yangu Balile, kwamba una 'tenda' ya kuitetea. Sehemu kubwa ya jamii inaamini hivyo.

Lakini madai mengi juu yako ni kwamba, unatumia Gazeti la Jamhuri kujinufaisha binafsi.

Haya madai yapo kaka, cha msingi ni wewe kujikagua ili kama ni kweli, badilika. Kama ni uongo na uzushi, fanya mambo ambayo yatakuonesha kuwa, siyo kweli maana wewe ni mtu mkubwa sana nchini na upo makini, nakufahamu, nimefanya kazi na wewe.
Balile nimjuaye....

Mwadilifu na mzalendo Deodatus Balile katika hili atakuwa anachafuliwa.....hakika jamaa wanaoipinga wizara wana CHAIN ndefu ya kuwashambulia watu.....

Itakuwa wamejipanga haswaa.....kuanzia kwa waziri mwenyewe mpaka kwa WAHARIRI waadilifu wenye KUTANGULIZA mbele maslahi kuntu ya taifa letu pendwa.......

Yale ya watu KUJIPANGA kumuadhibu Laigwanan EN Lowassa hata kwa yale ambayo yalikuwa HAYAMHUSU yamerejea tena kwa KASI YA AJABU....

Ushauri kwa ndugu D. Balile....

Huu ni mwanzo wa mashambulizi kwake........

#Siempre JMT🙏
 
Ndugu Salaam,

Kama ni jitihada za kunichafua, mmefanya muda na miaka mingi. Mmeniita chawa, mmeniita CCM, mmeniita CHADEMA, mmeniita CUF... kila jina mliloweza mmeniita.

Njia ya mwongo ni fupi. Para ya mwisho inakusuta. Unaniitaje mtu makini, huku ukiniona mimi ni mpigaji?

Nimefanya kazi miaka 29 sasa, sijui wewe una umri gani. Sipotezi kumbukumbu, sijawahi kuandika makala yoyote kuhusu Kessy katika maisha yangu.

Naamini Mungu ameamua uumbuke tu, kwa uongo wako. Kama una hata para 2 nilizoandika juu ya Kessy ziweke hapa.

Wanaokutuma nawafahamu, ila hizi porojo niliishaamua kuwasamehe nyote mnaozisambaza.

Nawaombea baraka tele na mkono wa Mungu uwape mafanikio maishani mwenu muwe watu wema wasio na inda.

Sifichi identity yangu. Nipigie unipe ushahidi wa hayo usemayo. Nakutakia jioni njema.

Wako,

Deodatus Balile
0784404827
😍😍👍
 
Kaka achana na hawa wapika majungu tunaokufahamu kuanzia Kanisani ukiongoza kamati ya Mavuno tunajua uadilifu wako
 
Adui mkubwa wa mwanahabari ni mwanahabari mwenzie

Unajua Hawa waandishi wanajiona kwamba wapo Kama mhimil wa nne wa taifa yaani baada ya

Serikal mahakama na bunge waandishi wanajiona mhimil wa nne yaan

Executive

Parliament

Judiciary

Journalists
Mimi si mwandishi wa habari....ila hao waandishi HAWAJIONI bali ni kweli ni MUHIMILI wa 4 wa dola usio rasmi......

Acha mbango kwa mambo yaliyo wazi🤣

#Siempre JMT🙏
 
Back
Top Bottom