Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,953
- 3,459
Mageuzi makubwa yanayofanywa ndani ya TANESCO na Wizara ya Nishati yametengeneza makundi ya Chuki watu walizoea kujipa tender za ku supply nguzo, transforma, mita, vifaa, engine za kufua umem na mashine wamekuja juu kutaka Waziri Makamba aondoshwe wakihofia kupotezea tenda zao.
Ifahamike kuwa miaka mitano ilopita kipo kikundi kilihodhi tenda zote za mabilioni sasa wakati huu ambao mtu wao aliyekuwa Waziri hayupo kelele zimekuwa nyingi mitandaoni. Waziri wa sasa Januari Makamba ameendelea kuhimiza uwazi kwenye tender zote na pia kuhakikisha Tanesco na wizara wanapata supplier mwenye uwezo wa kutosha.
Kwa sasa kikundi kile cha walafi kimedhamiria kukwamisha serikali ya awamu ya Sita kwa kuchafua watu muhimu akiwemo Januari Makamba ili aondolewe na mtu wao apate nafasi tena waendelee kuneemeka.
Kiwanda chao cha nguzo sasa kinapumulia mashine wanawaza mabilioni waliyowekeza yatarudi vipi na sasa wameamua kupambana na Makamba.
Januari Makamba chapa kazi
Rais Samia anajua kazi yao
Waache walikosa tenda waendelee kukunanga mitandaoni