Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Namshukuru Sana Samia ameifufua private sector baada ya kufa na kuanza kukejeli vijana eti wajiajiri wakati kiukweli kulikuwa hakuna sehemu au upenyo wa kutokea kila Kona ilikuwa ni vilio tu...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwanza niungane na Watanzania wapenda maendeleo kumpongeza Rais Samia kwa ziara aliyoifanya mataifa ya nje hakika yana tija kwa Taifa. Kwa wale watoto pengine mtakuwa hamkijui kisa hiki,ingawa na...
17 Reactions
68 Replies
7K Views
Habari wadau wa JF. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wa 26/4/1964 ulihusisha tukio nyeti ktk historia la kuchanganya udongo wa pande mbili. Mwl Nyerere na Karume ni watu moja wapo waliohusika...
5 Reactions
26 Replies
7K Views
MHE. RAIS SAMIA KUSHIRIKI MKUTANO WA BENKI YA DUNIA KESHO JUMAMOSI. #Repost ///@ikulu_mawasiliano: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kushiriki Mkutano wa Benki ya...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Magufuli alipambana na ufisadi, sasa umeanza kurudi Dkt. Slaa: Pamoja na madhaifu yake Rais Magufuli kama binadamu mwingine lakini katika eneo la kupambana na ufisadi ni sifa kubwa ambayo...
21 Reactions
99 Replies
8K Views
Kama ibara ya kwanza ya katiba ya JMT inavyotanabaisha ni kuwa Tanzania ni dola huru ambayo ni jamhuri ya muungano. Jamhuri ya muungano wa Tanzania ilizaliwa mwaka 1964 siku ya tarehe 26 mwezi wa...
9 Reactions
76 Replies
6K Views
Wadau naomba kufahamishwa kwa upana kuhusu michezo ya kubahatisha; ambayo kwa siku za hivi karibu imeshika kasi kila mahali. Baadhi ya wananchi huamua kucheza kutokana na matarajio ya kupata...
0 Reactions
2 Replies
582 Views
Ni ajabu kwamba viongozi wawili wa vyama vikuu vya Upinzani ambavyo ni Chadema kwa Tanganyika na ACT wazalendo kwa Zanzibar hawajaonekana kwenye sherehe za Muungano katika ukumbi wa Jakaya Kikwete...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Leo ni maadhimisho ya miaka 58 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar na sherehe zimeshaanza kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma na anaeongoza ni makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango. Rais...
3 Reactions
65 Replies
5K Views
Katika uchambuzi mwingi wa leo kwenye kumbukizi Muungano unakumbusha kuwa kiini cha muungano ni mapinduzi ya Zanzibar 1964 baada ya "Kupokwa" uchaguzi wa Dec 1963 na kumpatia ushindi Sultani...
1 Reactions
6 Replies
710 Views
Miradi yote mikubwa hupitishwa na Baraza la mawaziri kisha kuidhinishwa na bunge kabla haijaanza kutekelezwa anasema Dr Akandunduma Miradi yote ikiwemo uuzwaji nyumba za serikali, ujenzi wa...
3 Reactions
17 Replies
915 Views
Jambo ambalo mabeberu huwa wanapigia kelele kwa muda mrefu ni kushirikiana na mataifa yenye tawala zenye demokrasia. Mkiwa kwao mabeberu tayari mmetoa ujumbe kuwa kumbe demokrasia yetu hapa...
1 Reactions
4 Replies
813 Views
Acha mvua ya maneno inyeshe na hata radi acha inyeshe zaidi ili ikawe fundisho kwa wengine Katika kuandika hadithi zao hapa duniani Hoja hazipigwi Lungu bali hujibiwa kwa hoja"Hii ni nukuu ya...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Mazungumzo yanayohusu ukosefu wa usawa wa kijinsia katika sehemu kubwa ya dunia ni ngumu kuepukika. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni wanawake wamekuwa wakipambana zaidi kuliko hapo awali...
0 Reactions
2 Replies
979 Views
Na Mwandishi Wetu, Moshi, Kilimanjaro. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amepongeza ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kusherehekea Muungano bila kuyaenzi madhumuni ya TANU yaliyozaa Chama Cha Mapinduzi ni sawa na kufurahia Matokeo ya kuuacha Mchakato Miongoni mwa masuala ambayo yaliyofanya chama cha TANU kuwa...
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Wapendwa habari ya mapumziko. TANROADS nawasalimia sana kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naiomba wizara ya mali asili na utalii iziweke barabara za TANROADS mkoa wa Dar es Salaam...
1 Reactions
3 Replies
894 Views
~Amtaka waziri wa TAMISEMI kufika Moshi kumaliza migogoro ~Ataka ubunifu urahisishaji shughuli za wananchi ~Ampongeza Rais Samia kuimarisha uhusiano na Kenya Mapema mwezi Mei, 2021 Rais wa...
0 Reactions
0 Replies
536 Views
Mzee Lukuvi sio msukuma ila ni sukuma gang. Paramaganda Kabudi sio msukuma bali ni Sukuma gang. Job Ndugai ni Sukuma gang lakini sio msukuma. Luhaga mpina ni Msukuma lakini mpinga ufisadi...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
January ana mipango mingi inayohitaji fedha, lakini mmiliki wa fedha Ni asimu wake ambaye ni Mwigulu Nchemba, pesa ikichelewa kuidhinishwa miradi inachelewa na miradi isipopitishwa hazina na...
13 Reactions
50 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…