Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa tasnia ya mazao ya bustani siyo tu sehemu ya sekta ya kilimo, bali ni sekta ya kimkakati ya biashara ya kimataifa inayounganisha Tanzania na Masoko...
Tume ilipewa majukumu 6 kwa mujibu wa hadidu za rejea (ToRs) mara baada ya kuundwa kwake ambazo ni;
1. Kuchunguza na kubainisha chanzo halisi cha ghasia zilizotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu...
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel...
Sasa hivi ufisadi ni nje nje, alimradi uko jikoni
Kuna malalamiko ya chini kwa chini , tena kutoka viongozi waadilifu, kuwa kuna Waziri wa serikali ya mama, ananunua nyumba hapa Dsm mtaa mzima...
RIPOTI YA JAJI CHANDE JE NI MWISHO WA CHADEMA KISHERIA?
Leo tarehe 23 Aprili wakati ukweli wa matukio ya tarehe 29 Oktoba ukiwekwa hadharani na Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman tunaona...
Toka Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan aingie madarakani kwakweli tumeona mabadiliko makubwa sana kwenye masilahi ya kiutumishi,
amekuwa akipandisha madaraja
analipa arrears
anapandisha mishahara...
Waziri wa Ujenzi amekanusha vikalo takwimu za Uongo zilizotolewa na Rais wa Nchi jirani akijitetea kuhusu ugumu wa Maisha huko kwao vs Tanzania.
Bwana yule alionekana kuidogosha Tanzania akitumia...
NI dhahiri kuwa siku ya leo Alhamisi (23/4/2026) macho ya watanzania yatakuwa mubashara kufuatilia ripoti ya Tume ya uchunguzi ya matukio ya tarehe 29 octoba 2025 inayotarajiwa kukabidhiwa kwa...
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki...
MAPENDEKEZO YA TUME YA HAKI JINAI NCHINI YAANZA KUTEKELEZWA
Kamati ya Kusimamia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Kurekebisha Mifumo ya Haki Jinai nchini imekutana na Mabalozi na Wawakilishi...
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel...
Wadau, 2023 rais Samia aliunda tume ya kuchunguza mfumo wa utoaji haki....Haki Jinai, kuangalia namna polisi, Takukuru, kitengo cha madawa ya kulevya, magereza na ofisi ya mwendesha mashtaka...
Wakuu,
Nakumbuka hata kipindi kile cha Uchaguzi MaCCM yalitumia mbinu hizi hizi za kutumia watu maarufu kuhalalisha Uchaguzi ila kilichotokea hadi leo hawaamini
Ni lini CCM itakubali kwamba...
Au je, hii ni mbinu ya kujihami dhidi ya ukweli utakaowekwa wazi na tume ya uchunguzi kuhusu namna chadema kilivyoshiriki kuratibu na kuongoza vurugu za 29 Oktoba, chini ya kivuli cha haki...
Katika kipindi hiki nyeti cha kihistoria, macho na masikio ya Watanzania yameelekezwa kwenye Ripoti ya Jaji Chande.
Hii si nyaraka ya kisiasa kwa ajili ya wanasiasa pekee, bali ni hati muhimu...
1. Mohamed Chande Othman ni jaji mwenye uadilifu mkubwa na ujuzi wa hali ya juu katika sheria.
2. Amewahi kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania (2010-2017), akiongoza mahakama kwa haki na uwazi.
3...
Kumekucha wana JF
Niende kwenye Mada kiufupi sana.
Binafsi nimekuwa disappointed na hii Wizara. Na Moja ya Jambo la hovyo kabisa ni kusema Vijana watume Maombi kwenye E-mail address ya Wizara of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.