Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,824
- 50,498
CHADEMA nao waunde tume yao ya kuchunguza kilichotokea Oktoba29 na kuendelea kisha watoe majibu yake.
Hiyo hesabu imepatikanaje?Vifo 518
Amesema 518+Hiyo hesabu imepatikanaje?
kwani walikua wapi tangu awali?CHADEMA nao waunde tume yao ya kuchunguza kilichotokea Oktoba29 na kuendelea kisha watoe majibu yake.
Bora huko kuna malofa ila kijani yamejaa mapoyoyo kama wewe akili ziko likizo.kwani walikua wapi tangu awali?
au ndio unawashauri sasa kwakua wamejazana malofa tu ndani ya chama hicho?
Kwani tume zinaundwa kwa misingi ya vyama?CHADEMA nao waunde tume yao ya kuchunguza kilichotokea Oktoba29 na kuendelea kisha watoe majibu yake.
Kwani chama kuunda tume yake inakatazwa?Kwani tume zinaundwa kwa misingi ya vyama?