Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inashangaza sana kuona kuna kelele za wachumia tumbo wakidai katiba mpya. Nawaita ni wachumia tumbo kwa kuwa hakuna common mwananchi anayedai katiba mpya bali ni viongozi wachache wenye ubinafsi...
0 Reactions
4 Replies
670 Views
Huko Kanda Maalum ya Mkoa wa Mara, Mwalimu amefungwa kwa kula hela ya ujenzi wa madarasa ya shule yake. Haya ndiyo matokeo ya sra zisizo na mashko katika ujenzi. Badala ya fedha hizo kuonekana...
4 Reactions
47 Replies
4K Views
Walio na Maoni kuhusu masuala mbalimbali yaliyoainishwa baada ya Mkutano wa Wadau wa Demokrasia uliofunguliwa na Rais Samia Suluhu Hassan Desemba 2021 wametakiwa kuyawasilisha kwa Kikosi Kazi...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Kampuni ya SINO HYDRO imekumbwa na kashfa na tuhuma nyingi katika kupata tenda za ujenzi wa barabara na mabwawa ya umeme kwa kuhonga maofisa wanaohusika na uteuzi na upitishaji wa tenda za ujenzi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
CCM kiko katika chaguzi zake za ndani (kuanzia ngazi za mashinq, Malawi, Kata, Wilaya, na Mikoa) nchi nzima katika kipindi hiki. Ni Utaratibu mzuri wa Chama Tawala uliojiwekea ambapo wanachama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Shida ya watanzania kupewa Katiba Mpya ni hofu ya kuuvunja Muungano wa Nyerere ambao kimsingi Muungano huo haupo kila Rais ajaye anaogopa kivuli cha Nyerere. Na kwa sababu hiyo Tanzania...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Na Adv. Heche Sasa imethibitika kuwa ndugu yetu Harold Sungusia ni Afisa kipenyo wa muda mrefu na ametumwa kuja kugombea nafasi ya Urais wa TLS. Binafsi sina matatizo na kazi yake hiyo lakini...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Siku moja baada ya kamati kuu ya Chadema kutoka ikulu kuonana na viongozi wa CCM. Mwanasiasa wa Chadema na mjumbe wa kamati kuu Godbless Lema amewataka wanachama wa Chadema kususia bidhaa za...
7 Reactions
50 Replies
6K Views
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imeunga mkono na kuridhia hatua ya Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan ya kuendeleza majadiliano na vyama vya siasa yenye lengo la kuimarisha demokrasia...
1 Reactions
1 Replies
597 Views
Mkataba wetu na mwekezaji kwenye gesi unasemaje? Baada ya vikwazo vya kuuza gesi kutoka Urusi bila shaka hata gesi yetu itapata soko kubwa huko nje ya nchi, hasa Ulaya. Je, hii itakuwa na manufaa...
1 Reactions
0 Replies
647 Views
Baada ya kile kilichoitwa mapinduzi yaliyomuondoa Mbatia kwenye chama, hali imerejea kuwa shwari Baada ya ofisi kurejea kwenye mikono ya chama. Mapema Katibu mkuu wa chama hicho ilifunga ofisi...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Kama hizi nafasi zingeruhusu na wanaume basi huenda Mbowe, Msigwa, Heche, Sugu wangetimba bungeni Kwasasa wanachopambania ni Wote wakose Mtu Kama Msigwa, Sugu, Lema na Heche kama wangeambiwa...
1 Reactions
7 Replies
876 Views
Waziri mstaafu aliyewahi kuwa mwanachama wa NCCR mzee Wassira amesema Upinzani wa sasa ni legelege na unazidiwa hata na ule wa Njelu Kasaka na Kundi lake la G 55 Wassira amewakumbusha Watanzania...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassana ametoa wito kwa wananchi kujitokeza katika zoezi la sensa huku akisema suala jipya lililoongezwa ni swali kuhusu anuani za makazi. Amesema hakutakuwa na swali la kuhusu...
18 Reactions
183 Replies
11K Views
Hii ndio Taarifa iliyosambazwa na chama hicho kote duniani .
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Moja ya tuhuma iliyotolwlewa dhidi ya Mbatia ni kumwita rais Samia Dada huku akiacha kumuita Mama. Hii imeonyesha kuwa ni mtovu wa nidhamu. Mbali ya hayo kuna tuhuma za upigaji pesa za umma...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Spika wa Bunge, Tulia Ackson ametoa onyo kwa Wabunge ambao hawafuati utaratibu wanapokuwa Bungeni ikiwemo kupiga kelele na kuzungukazunguka ndani ya Bunge pasipo kufuatilia kinachoendelea...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
#NGORONGORO SIO SEHEMU YA MAKAZI YA BINADAMU BALI NI HIFADHI YA WANYAMA POLI Naa Joseph #Yona Mwaka 1960 Ngorongoro Ilikuwa na Tembo zaidi ya 2000! Ila leo hii Tembo waliobaki Ngorongoro ni 30...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Baada ya Kikao cha Kamati Kuu kilichoketi jana katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar, Timu ya ACT Wazalendo ipo tayari kuwasilisha Maoni ya Chama mbele ya Kikosi Kazi cha Mh. Rais Kuhusu...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…