NCCR-Mageuzi hali ni shwari mpaka muda huu

Dr Shekilango

Senior Member
Dec 30, 2013
192
117
Baada ya kile kilichoitwa mapinduzi yaliyomuondoa Mbatia kwenye chama, hali imerejea kuwa shwari Baada ya ofisi kurejea kwenye mikono ya chama. Mapema Katibu mkuu wa chama hicho ilifunga ofisi hizo na kuzuia asingie mtu mpaka jumatatu.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana Bwana Nicolas Clinton akiongozana Vijana walifungua ofisi hizo na kumruhusu Mbatia kuingia ofisini. Mpaka sasa hali ni shwari na eneo lote la makao makuu ya chama linadhibitiwa na chama hicho.
 
Mapinduzi sio Ofisi, ni kuondolewa kikatiba katika uongozi wa chama,Ofisi inaweza kuwa hata chini ya mwembe
 
Baada ya kile kilichoitwa mapinduzi yaliyomuondoa Mbatia kwenye chama, hali imerejea kuwa shwari Baada ya ofisi kurejea kwenye mikono ya chama. Mapema Katibu mkuu wa chama hicho ilifunga ofisi hizo na kuzuia asingie mtu mpaka jumatatu.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana Bwana Nicolas Clinton akiongozana Vijana walifungua ofisi hizo na kumruhusu Mbatia kuingia ofisini. Mpaka sasa hali ni shwari na eneo lote la makao makuu ya chama linadhibitiwa na chama hicho.
Mbatia alitaka kuipindua CHADEMA sasa anapinduka yeye
M3 nao hivyo hivyo mwisho waliishia kusalitiana
Vp kule CUF kwisha kabisa
Tunaposema CHADEMA ni mpango wa Mungu huwa tunajua tunasema nini
 
Vyama vya upinzani ukikitoa CHADEMA waendelee kula ubwabwa wa CCM lakini wajue kuwa ubwabwa siyo mtori, hakuna nyama chini. Ukimaliza muda wa kuwa toilet paper usitegemee nyama chini ya bakuli. Mbatia ameshamaliza sahani lake la ubwabwa, kala nyama zote juu ya sahani.
 
Vyama vya upinzani ukikitoa CHADEMA waendelee kula ubwabwa wa CCM lakini wajue kuwa ubwabwa siyo mtori, hakuna nyama chini
 
Vyama vya upinzani ukikitoa CHADEMA waendelee kula ubwabwa wa CCM lakini wajue kuwa ubwabwa siyo mtori, hakuna nyama chini. Ukimaliza muda wa kuwa toilet paper usitegemee nyama chini ya bakuli. Mbatia ameshamaliza sahani lake la ubwabwa, kala nyama zote juu ya sahani.
 
Usaliti ni laana , bado kuna makubwa yanawajia , Wasaliti wakubwa nyie ! Wakati Mbatia anapokelewa Mbeya na Chalamila ili kuhujumu Demokrasia kwa malipo ya Jiwe tuliona kwa macho yote, sasa haya ndiyo malipo yenyewe
Umesahau pia kuwa walimchukua Selasini aliyetuhumiwa kupanga njama za kuihujumu chadema. Na huyo selasini ndiye aliyesoma tamko la kumsimamisha mbatia
 
Mbatia alitaka kuipindua CHADEMA sasa anapinduka yeye
M3 nao hivyo hivyo mwisho waliishia kusalitiana
Vp kule CUF kwisha kabisa
Tunaposema CHADEMA ni mpango wa Mungu huwa tunajua tunasema nini
kweli dunia ni ndogo . Yaani Leo Mbatia wa kutangazwa kisimamishwa uenyekiti na Selasini !!!???
🤔🤔🤔🤔🏃🏃🏃🤔🤔🤔🤔
 
Umesahau pia kuwa walimchukua Selasini aliyetuhumiwa kupanga njama za kuihujumu chadema. Na huyo selasini ndiye aliyesoma tamko la kumsimamisha mbatia
only in 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Selasini si alikimbia chadema akaenda ccm? Na ccm kulimshinda? Huku NCCR kuingia lini tena? Yuda Iskari Yote haachi vurugu? Jamaa mshenzi Sana.
 
Mbatia alitaka kuipindua CHADEMA sasa anapinduka yeye
M3 nao hivyo hivyo mwisho waliishia kusalitiana
Vp kule CUF kwisha kabisa
Tunaposema CHADEMA ni mpango wa Mungu huwa tunajua tunasema nini
Kwahiyo Mungu wenu kafanikiwa kuwafukuza covid 19?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom