CHADEMA Shinyanga wamkingia kifua Mbowe, Mnyika, Heche

Monica Mgeni

Member
Oct 7, 2021
82
134
IMG-20220522-WA0003.jpg
 
Mbowe ameamua kuweka Masilahi ya TANZANIA MBELE vyama badae.

TANZANIA KWANZA VYAMA VYETU BADAE.
safi sana Mhe. Mbowe hakika huo ndio uzalendo wa kweli, ni muhimu na ni lazima tuipende nchi kwanza.
Bila Tanzania yenye Amani na Utulivu hakuna Siasa safi.
 
kwa kweli wanaelekea kukomaa

issue za kutishia vurugu sijui nchi kutotawalika wameachana nazo

kisiasa
Hongera CDM, mshikamano huu uendelee hadi upatikanaji wa Katiba mpya. Mmepitia mengi ila mnaonyesha ukomavu mkubwa mno kisiasa. Kuvumiliana.
 
kwa kweli wanaelekea kukomaa

issue za kutishia vurugu sijui nchi kutotawalika wameachana nazo

kisiasa
CCM nao wameahidi kuachana wizi wa kura na kukimbia na mabox ya kura mchana mchana na kuzuia mawakala wa vyama vingine kuingia vituoni kwa muda uliopangwa - ambayo ndiyo yaliyosababisha vurugu na hata vifo... ni jambo jema kwa kweli. Tufike pahala tuheshimu sheria zetu wenyewe - kwa hili nawapongeza sana viongozi wakuu wa CCM.
 
Back
Top Bottom