Hakuna ubishi kwamba ACT Wazalendo ni tawi la CCM na kwa pamoja wako Serikalini
Kadhalika ni wazi kuwa NCCR Mageuzi inayoongozwa na Mwenyekiti James Mbatia akisaidiwa na Katibu Mkuu Komu na Mzee...
Serikali ya JMT inastahili pongezi kwa matumizi mazuri tena yenye tija ya mikopo kwenye ujenzi wa Miundombinu.
Kumbe hata Magufuli alikuwa anakopa Benki ya maendeleo Afrika ili kutujengea uchumi...
Habari za usiku huu wanaJamiiForums natumai wote ni wazima wa afya.
Bila kupoteza muda ningependa kwenda moja kwa moja kwenye hoja ya msing juu ya ujenzi wa reli ya kisasa iliyojengwa na serikali...
"Enyi wake, watiini waume zenu, kwa maana mume ni kichwa cha mkewe….Enyi waume, wapendeni wake zenu" (Waefeso 5: 22, 25)
YAMEKWISHASEMWA na kuandikwa yote; tena kwa ufasaha, vina, mizania...
CHADEMA KATIKA MKAKATI WA KUMGOMBANISHA RAIS SAMIA NA WAMACHINGA
Utulivu wa Wamachinga katika majiji umezidi kukipa wakati Mgumu Chama Cha CHADEMA maana walishajipanga kuhakikisha Wamachinga...
Mbunge wa Ukonga kupitia CCM, Jerry Silaa akilia baada ya kumaliza kuchangia mjadala wa kupitisha makadikio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2022/2023...
Mbuge wa Mbulu ameoneshwa kukerwa hadi kuamua kupiga sarakasi bungeni bila kujali uwepo wa spika
Ni sawa mmbuge kupiga sarakasi au mweleka kuonesha kukerwa na ahadi zizizo tekelezeka?
===...
Rais SAMIA SULUHU alitoa agizo kuwa wakulima wasitozwe Ushuru wa mazao kwa magunia yasiyozidi tani moja akiwa Tabora.
Jambo la ajabu hapa Mkoa wa Rukwa wilaya Sumbawanga kuna kizuizi cha Mazao...
Pamoja na kwamba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania imetoa ratiba yake, kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kinapaswa kufika mbele ya kinachoitwa Kamati ya Katiba...
Wakati wa JPM tuliona mikeka mingi ya kupandisha vyeo Watumishi wa umma ila Siyo kupanga safu ya vyombo vya dola. Ilifika wakati ikaandaliwa makala kuhusu gap lilolopo kwenye jeshi la Polisi hasa...
CCM ikiongozwa na Katibu mkuu wake Komredi Chongolo leo imewasilisha mapendekezo yake kwa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala na Zitto Kabwe.
Chongolo amesema wao wameitikia wito ma walichopendekeza...
Achana na siasa za CCM na CHADEMA kutwa kuparurana.
Kuna wale sisi ambao tunaunga mkono 'Mafanikio ya Serikali' bila kujali itikadi ya vyama vyetu. Wengine wapinzani, CCM na wengine hata chama...
Sawa tunatambua hamna ofisi ya maana inayoendana na hadhi ya chama chenu. Lakini tunajua pia mnapata hela kupitia michango ya wanachama.
Haipendezi hadi leo mnatumia Gmail kwenye mawasiliano...
Zitto Kabwe amesema katika uchaguzi mkuu wa 2005 Chadema ilipata wabunge watano tu akiwemo yeye, Dkt. Slaa, Ndesamburo nk
Zitto Kabwe amesema pamoja na uchache wao walifanikiwa kufanya kazi kubwa...
WAKUU WA MIKOA WATAKIWA KUFANYA UHAKIKI WA TAKWIMU ZA OPERESHENI ANWANI ZA MAKAZI
Na Mwandishi Wetu, DODOMA
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape NNauye amewataka...
Kule Bungeni wangekuwepo wabunge makini wa upinzani Kama enzi zile Makamanda Mbowe, Heche, Lema, Msigwa, Sugu, Mnyika, Kamanda Lissu na wengineo CCM wasinge pata muda huu wa kufanya utoto Bungeni...
Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo kashindwa kujibu hizi hoja za kada mtiifu wa CCM kaamua kutumia jeshi la polisi wilaya ya Arusha kumweka ndani
Kada huyo Benny maarufu kama Trump ameshikiliwa...
Chama cha Mapinduzi (CCM) , kimetangaza kuunga Mkono Mazungumzo yanayoendelea kati ya Mwenyekiti wao na viongozi wa Chadema , yenye lengo la kuleta usawa wa KIDEMOKRASIA na HAKI , kwa MASLAHI...