Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Adv. Wangwe Jr Ndani ya Chadema tunao utaratibu wetu wa kuunganisha nguvu pale wanachama wenzetu wanapogombea nafasi moja nje ya Chama. Hii ndio msingi wa hoja iliyotumika kumueleza Ndugu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Makamu mwenyekiti wa ADC mh Itutu amesema ufisadi uliofanyika Arusha ilibidi waliotajwa Wote wakamatwe badala ya kubagua Kigi amesema Kenani ameimgiziwa fedha za imma kupitia.akaunti ya mkewe...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Jumamosi, katika uwanja wa Amri Abeid-Arusha, rubani huyu akiwa na kada maarufu wa CCM 'Msukuma' anatua katikati ya umati wa watu tena kwa mbwembwe. Binafsi siamini kinachotokea, Pamoja na MC...
7 Reactions
119 Replies
20K Views
Waziri wa ustawi wa jamii Dr Gwajima ametoa siku 7 kuchunguza swala la Wanafunzi 8 waliobakwa na Mwalimu wao. Shule hiyo inaitwa Global international School iliyoko Kinondoni. Chanzo: ITV habari
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanabodi, Kila jambo na wakati wake. Kuna wakati wa kuweka akili mfukoni na kuna wakati wa kutumia akili, Huu wakati wa Rais Samia ni wakati wa kuzifanya biashara zetu ziwe imara zaidi na zaidi...
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Wakati mishahara na posho za watumishi wa umma zikiongezwa, akili yangu inaniambia wakati wowote sasa au baade kidogo, tutanza kuona au kusikia habari ya wabunge kuogezewa posho na mishahara...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Msajili wa vyama vya siasa amebariki uamuzi wa Mbatia na Sekretarieti yake yote KUTOJIHUSISHA na siasa ndani ya NCCR Mageuzi hadi itakapoamuliwa vinginevyo (yaani endapo wataenda mahakamani)...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Musukuma: Kwa uongozi wa mama Samia, sio wanawake tu wanaoufurahia, hata sisi wanaume tunamfurahia sana hata vyama vya upinzani. Hebu angalia, leo Mbowe ndio anaongoza kwenda Ikulu, najua...
9 Reactions
92 Replies
8K Views
Msajili wa vyama vya siasa nchini mh Jaji Mutungi amewataka viongozi wa vyama vya siasa kutoa elimu ya Sensa wanapoluwa kwenye Mikutano yao ya hadhara Mutungi amesema wanasiasa wapige elimu ya...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
"Chama cha Mapinduzi (CCM) kinakanusha vikali madai yaliyotolewa na mwanasiasa Joseph Selasini yanayodai CCM kimewahi kumtumia James Francis Mbatia au kuwa na ushirikiano na NCCR-MAGEUZI”...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Mama anaupiga mwingi hadi unamwagika aisee Hapo yupo na mfuti wa Tz jijini dar es Salam
14 Reactions
51 Replies
4K Views
Ni ushauri tu Mafuta yanapopanda bei wafanyabiashara hupata faida ya ziada hivyo ni vema ikarejeshwa Excess profit tax
0 Reactions
0 Replies
334 Views
Kama hayati Magufuli angewaendekeza Wapinzani si ajabu hata Tuzo aliyofanikiwa kutumukiwa Rais Samia ya Babacar Ndiaye tungeikosa. Wapinzani wanapenda zaidi porojo kuliko vitendo. Mfano hata...
2 Reactions
6 Replies
739 Views
Wakazi wa Musoma walalamika mabomba yao kutoa maji yanayofanana na mkojo wa ng'ombe na kwamna wanaiogopa kuyatumia. Hata hivyo mkuu wa wilaya ya Musoma Mh. Haule amewataka wananchi watumie tu...
1 Reactions
7 Replies
731 Views
Freeman Mbowe aligombea Urais wa JMT mwaka 2005 na kuambulia kura kiduchu 2010 akamshawishi kipenzi cha Wana Karatu Dr Slaa aachane na ubunge ili agombee Urais na yeye Mbowe akarudi Hai kugombea...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Mkuu wa Idara ya Habari maelezo amesema zoezi la Anuani za makazi zilipangwa kutumia Tsh. Bilioni 740 lakini Rais Samia aliishusha hadi Tsh. Bilioni 28. Kutokana na bajeti wananchi wametakiwa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Sote tunajua jinsi ambavyo imekuwa vigumu kwa watu wetu nchini Tanzania kupata maji safi ya kunywa na shughuli nyingine za nyumbani. Kumekuwa na ahadi nyingi kutoka kwa wanasiasa, na mengi...
0 Reactions
1 Replies
598 Views
Nalishukuru @bunge_tz kwa azimio la kunipongeza kwa kutunukiwa tuzo ya Babacar Ndiaye ya mwaka 2022. Tuzo hii ni uthibitisho wa juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali kuimarisha miundombinu...
0 Reactions
1 Replies
765 Views
Kupanda kwa gharama za maisha nchini UK na namna takwimu sahihi. Walizonazo zinavyowasaidia kupambana na hali hiyo kumenifunza kitu kikubwa sana. Tanzania tunapaswa kuwa na takwimu sahihi za...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wakuu kuna hesabu za mafuta nafanya hapa ili nije na hesabu Kamili hapa jukwaani. Ila kuna mahali nahitaji data kamili kupitia swali hili. Swali: Ruzuku ya 100B iliyotolewa ni kwa...
1 Reactions
12 Replies
810 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…