Jaji Mutungi: Viongozi wa vyama vya siasa toeni elimu ya sensa mnapofanya Mikutano yenu ya hadhara

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Msajili wa vyama vya siasa nchini mh Jaji Mutungi amewataka viongozi wa vyama vya siasa kutoa elimu ya Sensa wanapoluwa kwenye Mikutano yao ya hadhara

Mutungi amesema wanasiasa wapige elimu ya Sensa kama wanavyonadi sera zao wakati wa kampeni

Chanzo: ITV habari
 
Source: ITV habari
Huyo msajili atakuwa anaota siyo Bure! Hiyo mikutano ya hadhara wameiruhusu Leo? Au ameona naye atoke vipi
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini mh Jaji Mutungi amewataka viongozi wa vyama vya siasa kutoa elimu ya Sensa wanapoluwa kwenye Mikutano yao ya hadhara

Mutungi amesema wanasiasa wapige elimu ya Sensa kama wanavyonadi sera zao wakati wa kampeni

Source: ITV habari
Muulizi kile kikao chake na Igipii kujadili ruhusa ya vyama kufanywa mikutano alishapeleka mrejesho wa mkutano Ile Kwa vyama,Ili wakifanya mikutano watoe elimu ya sensa?
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini mh Jaji Mutungi amewataka viongozi wa vyama vya siasa kutoa elimu ya Sensa wanapoluwa kwenye Mikutano yao ya hadhara

Mutungi amesema wanasiasa wapige elimu ya Sensa kama wanavyonadi sera zao wakati wa kampeni

Source: ITV habari
Sensa mafii ya ccm
 
Mwambien bwana mitungi amwambie msaidizi wake bwana mdogo sisti kuacha mambo ya kihuni huni huko NCCR mageuzi.
 
Wamesharuhusu Mikutano ya Hadhara?

Uhuru wa vyama kufanya shughuli za siasa wanabana, halafu wanataka vyama vya siasa vifanye kazi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu. Sasa hii ya kufanya kazi ya idara ya serikali kama ilivyo kwa chama dola si siyo sahihi

Marufuku mtu yoyote au taasisi kutumia jina, nembo, rangi na alama ya chama cha siasa cha "Umoja Party" hadi mchakato wa kupata usajili wa muda utakapo kamilika. Source ORPP Website
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini mh Jaji Mutungi amewataka viongozi wa vyama vya siasa kutoa elimu ya Sensa wanapoluwa kwenye Mikutano yao ya hadhara

Mutungi amesema wanasiasa wapige elimu ya Sensa kama wanavyonadi sera zao wakati wa kampeni

Chanzo: ITV habari

Hiyo assignment awape majizi wenzake wa kura wa CCM. Au kama vipi wawawezeshe na ACT wawasaidie kwenye hilo. Huyo Msajili anadhani nani anamsikiliza kwa mfano mpaka aagize hayo?
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini mh Jaji Mutungi amewataka viongozi wa vyama vya siasa kutoa elimu ya Sensa wanapoluwa kwenye Mikutano yao ya hadhara

Mutungi amesema wanasiasa wapige elimu ya Sensa kama wanavyonadi sera zao wakati wa kampeni

Chanzo: ITV habari
Siyo kazi yao
 
Mbona vichekesho hivyo, mmezuia Vyama vya Siasa kuendesha shughuli zao ikiwemo Mikutano ya hadhara. Kumbe mnaelewa wazi kuwa Vyama vina haki ya kufanya Mikutano Nini kilichowafanya mkazuia haki hiyo ??????
 
Back
Top Bottom