Rais Samia alishukuru Bunge kumpongeza kupata tuzo ya miondombinu ya Babacar Ndiaye

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,444
7,805
Nalishukuru @bunge_tz kwa azimio la kunipongeza kwa kutunukiwa tuzo ya Babacar Ndiaye ya mwaka 2022.

Tuzo hii ni uthibitisho wa juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali kuimarisha miundombinu.

Nawaomba Watanzania wote tuitunze miundombinu yetu ili tupate manufaa tuliyokusudia.

Pia, soma=▷ Bunge laazimia kumpongeza Rais Samia kwa kushinda tuzo ya miondombinu ya Babacar Ndiaye

IMG_20220527_175534_775.jpg
 
Ndiaye ni jina la ukoo linalotumiwa na raia wengi wa Senegal 🇸🇳. Hongera mama kwa kupata iyo tuzo.
 
Back
Top Bottom