Tamaa ya fedha TLS chanzo cha ugomvi kati ya Wakili Sungusia na Mtobesya

Maryam Malya

Senior Member
Nov 29, 2021
115
258
Na Adv. Wangwe Jr

Ndani ya Chadema tunao utaratibu wetu wa kuunganisha nguvu pale wanachama wenzetu wanapogombea nafasi moja nje ya Chama.

Hii ndio msingi wa hoja iliyotumika kumueleza Ndugu yangu Wakili Msomi Jeremia Mtobesya kuwa ajiuzulu baada ya kuthibitika kuwa hakubaliki.

Sungusia hajapendelewa na chama kupendekezwa bali yeye ana afadhali licha ya kutokubalika vilivyo ukilinganisha na mgombea anayetetea kiti chake Prof. Hosea. Kitendo cha Mtobesya kukataa kumuachia nafasi Sungusia ni ujeuri unaosababishwa na tamaa ya fedha.

Kaka yangu Herold Sungusia naye pia imebainika ni mtu mwenye tamaa ya fedha kwani baada ya Mtobesya kukataa mapendekezo ya yeye kujitoa basi Sungusia angekubali kujitoa kwa maslahi ya Chama, kitendo cha kuanzisha kampeni chafu dhidi ya mgombea mwenzie ni ishara kuwa naye pia amejawa na tamaa.

Mwisho nitoe ONYO kwa Chama changu kuwa sisi Mawakili tutafanya maamuzi sahihi dhidi ya majahiri hawa walioonyesha wazi wazi kuwa vipande vya fedha vinayo thamani kubwa kuliko maslahi ya CHADEMA.

HAKI ITATAMALAKI 2022
 
Mbona unateseka sana best, Kwani Mtobesya au Sungusia akishinda unapoteza nn? Declare interest yako manake siku nzima ni kuanziasha thread za kumtetea Sungusia halafu haueleweki unacho-simamia.
 
Na Adv. Wangwe Jr

Ndani ya Chadema tunao utaratibu wetu wa kuunganisha nguvu pale wanachama wenzetu wanapogombea nafasi moja nje ya Chama.

Hii ndio msingi wa hoja iliyotumika kumueleza Ndugu yangu Wakili Msomi Jeremia Mtobesya kuwa ajiuzulu baada ya kuthibitika kuwa hakubaliki.

Sungusia hajapendelewa na chama kupendekezwa bali yeye ana afadhali licha ya kutokubalika vilivyo ukilinganisha na mgombea anayetetea kiti chake Prof. Hosea. Kitendo cha Mtobesya kukataa kumuachia nafasi Sungusia ni ujeuri unaosababishwa na tamaa ya fedha.

Kaka yangu Herold Sungusia naye pia imebainika ni mtu mwenye tamaa ya fedha kwani baada ya Mtobesya kukataa mapendekezo ya yeye kujitoa basi Sungusia angekubali kujitoa kwa maslahi ya Chama, kitendo cha kuanzisha kampeni chafu dhidi ya mgombea mwenzie ni ishara kuwa naye pia amejawa na tamaa.

Mwisho nitoe ONYO kwa Chama changu kuwa sisi Mawakili tutafanya maamuzi sahihi dhidi ya majahiri hawa walioonyesha wazi wazi kuwa vipande vya fedha vinayo thamani kubwa kuliko maslahi ya CHADEMA.

HAKI ITATAMALAKI 2022

BUSH LAWYER
 
Hatimaye wote wamepigwa na Edward Hosea.

Naamini TLS inarudi taratibu kwenye misingi yake kwa kuachana na wagombea wanaharakati kama alivyokuwa Tundu Lissu then Fatma Karume
 
Na Adv. Wangwe Jr

Ndani ya Chadema tunao utaratibu wetu wa kuunganisha nguvu pale wanachama wenzetu wanapogombea nafasi moja nje ya Chama.

Hii ndio msingi wa hoja iliyotumika kumueleza Ndugu yangu Wakili Msomi Jeremia Mtobesya kuwa ajiuzulu baada ya kuthibitika kuwa hakubaliki.

Sungusia hajapendelewa na chama kupendekezwa bali yeye ana afadhali licha ya kutokubalika vilivyo ukilinganisha na mgombea anayetetea kiti chake Prof. Hosea. Kitendo cha Mtobesya kukataa kumuachia nafasi Sungusia ni ujeuri unaosababishwa na tamaa ya fedha.

Kaka yangu Herold Sungusia naye pia imebainika ni mtu mwenye tamaa ya fedha kwani baada ya Mtobesya kukataa mapendekezo ya yeye kujitoa basi Sungusia angekubali kujitoa kwa maslahi ya Chama, kitendo cha kuanzisha kampeni chafu dhidi ya mgombea mwenzie ni ishara kuwa naye pia amejawa na tamaa.

Mwisho nitoe ONYO kwa Chama changu kuwa sisi Mawakili tutafanya maamuzi sahihi dhidi ya majahiri hawa walioonyesha wazi wazi kuwa vipande vya fedha vinayo thamani kubwa kuliko maslahi ya CHADEMA.

HAKI ITATAMALAKI 2022
Unatoaje onyo kwa chama chako? Si ingekuwa vyema zaidi kama ukikishauri?

Amandla...
 
Back
Top Bottom