Inashangaza sana hili kundi la CCM ina wenyewe wao kazi yao tu ni kupigaga madili tu kuanzia Epa, Escrow Kagoda na wizi wa mali za CCM
Kumbe Kagasheki ndio alihusika na kuingia dili ili eneo la...
Katika Hospitali na vituo vya afya vyote vya Mkoa wa Arusha hakuna majeruhi wa vurugu zilizojitokea wakati Wamasaai wakizuia zoezi la uwekaji wa mipaka katika Pori Tengefu la Loliondo,
Imeelezwa...
Wakuu
Kwa kipindi cha takriban mwaka mmoja tangu Mama aingie madarakani utafiti unaonyesha kuwa mikataba mikubwa ya mahekta ya ardhi imesainiwa na wawekezaji wageni hapa nchini.
Mikataba hiyo...
Hata sijui kwanini Serikali inatumia nguvu kubwa kiasi hiki kuwaondoa Wamasai, ni kwamba haiwezekani kufanya mazungumzo ya amani?
Taarifa zinaonyesha kwamba Wananchi wameshika mishale na wako...
Contents za Mh. Waziri Makamba
1. Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia nchini ulianza mwanzoni mwa miaka ya 1950. Mafanikio makubwa yalipatikana yakiwemo ugunduzi wa gesi asilia katika kisiwa cha...
Habari wakuu, Hivi ni nani humu JF hajawahi kudanganya? Maana inachukuliwa kana kwamba PM alifanya kitu ambacho kigeni sana, Kuna watu wengi tu humu JF wamewahi danganywa kuhusu kuugua au vifo vya...
Kama mtakumbuka huyu jamaa alikuwa ndie mkuu wa maliasiri na wanyama pori miaka ya 1990 akafanya uhuni na kuhirikiana na Mzee Mwinyi wakamuuzia ardhi mwarabu
👇
Spika anatoa kauli yake Juu ya swala la Ngorongoro na mkuu wa Mkoa anatoa Taarifa yake ambayo ina kinzana na Taarifa ya Spika na ukitazama Mtu alie kwenye control ya Lile eneo ni Mkuu wa Mkoa so...
Haya yanayo tokea Ngorongoro ingekuwa mfano ni Hapo Kenya, au Uganda, au Sudani Kusini au Ethiopia kwa sasa tungekuwa tunaongea mengine.
Kenya ninacho wapendea Viongozi wao huwa wako msatari wa...
Kila kinachoendelea Tanzania Rais ndiyo anayetoa maamuzi na amri kuanzia kupandisha bei za mafuta, umeme, kukamata raia kuwaweka rumande na kuwaachia pia kama akina Mbowe, Sabaya & Co. mpaka hili...
Tundu Lissu na sakata la mgogoro uliopo Ngorongoro
=>Ardhi ya Ngorongoro ni mali ya Masai wa Ngorongoro Kwa mujibu ya sheria ya hifadhi ya Ngorongoro.
=>Hii inayozungumzwa na mkuu wa mkoa na hao...
NI YUPI ADUI NAMBA MOJA WA JAMII YA KIMASAI
Moja kati ya mbinu za kivita zilizowahi kuyapa ushindi mataifa mengi wakati wa vita, hapa nazungumzia vita 1 na ya 2 mathalan ni kumjua adui yako...
Kiukweli kuna mambo ya kufanya Siasa lakini siyo yote.
Katika hili la Ngorongoro Tundu Lisu anaonekana yuko kitaaluma na kiuhalisia zaidi
Ni kama anawapa Wamasai muendelezo wa pale alipoishia...
Salaam Wakuu,
Tarehe 09 Julai, 2019 ilizinduliwa Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato iliyoundwa baada ya kuunganishwa kwa Mapori ya Akiba ya Burigi, Biharamulo na Kimisi yaliyopo katika Wilaya za...
Waziri wa Jinsia na watoto Dkt. Gwajima amesema uchunguzi wa shule ya Global international umeonesha wanafunzi takriban wote wa darasa la awali, wanafunzi wengine mpaka wa darasa la tatu aliokuwa...
Hizi ni baadhi tu za maneno ya hekima ya mzee wa msoga.
1. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako
2. Kelele za chura hazimzuii mtu kuteka maji
Karibuni tuongezee zingine ikiwezekana tuweke na...
Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya...
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia kwa sasa kutokana na mambo ya Ngorongoro , kwamba miongoni mwa wahanga wa mwanzo kukamatwa ni Ndugu Isaya , ambaye anadaiwa kukamatwa kwa kumkashifu Kasimu...
MCHUNGAJI MSIGWA AFUNGUKA SAKATA LA NGORONGORO:- WALIPWE FIDIA WAHAMISHWE, WANA HAKI ZAO
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA ambaye pia ni Mwenyekiti wa kanda ya Nyasa wa chama hicho, aliyewahi pia...