WATANZANIA hatuko tayari kupaza sauti kuwatetea wachache mnaopigania kuiharibu NGORONGORO kwa faida na ubinafsi wenu bila kuyatizama maslahi mapana ya TANZANIA leo na kesho
Na badala yake...
Hizi ndio dharau walizofikia hawa watu kututawala.
Wapo tayari kutoa wasimamizi imara ilimradi wasionakane.
Bashungwa TAMISEMI ameonyesha umahiri gani mpaka sasa.
Hawa jamaa wanatudharau sana,
Kwa zaidi ya miaka 30 sasa eneo la pori tengefu la Loliondo limekuwa na mgogoro ambao awali uliwahusisha wananchi na kampuni ya uwindaji ya Ortello Business Cooperation (OBC) na mwingine kati ya...
Hii ni awamu bora kuliko zote,
Hakika Mama anaupiga mwingi. Sijui Waziri anangojea nini kusifia jinsi mtukufu anavyoupiga mwingi! Au wanangoja mpaka watumbuliwe?
Mwenezi wa chama aliwahi kusema...
Kosa kubwa tulilofanya kama nchi ni kuzikumbatia sera za kipuuzi na angamivu za SAP hizi ndo zilikua kaburi kwa nchi yetu
Labda tungekomaa na ule ujamaa wa nyerere bila kupinda popote labda leo...
Eneo la Loliondo ni eneo pekee Tanzania lenye idadi kubwa ya mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) yanazojishughulisha na masuala ya Ardhi na Haki za Binadamu nchini. Kwa sasa kuna jumla NGOs 17...
Kamati ya Bunge ya Bajeti limeitaka serikali iwatoze tozo watumiaji wa daraja jipya la Tanzanite (New Salender).
========
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imependekeza kwamba magari...
Haingii akilini kwa kila jambo Rais anasafiri ovyo ovyo tu kama vile yeye sio mkuu wa nchi.
Inaleta picha kuwa kumbe anapenda sana kupigiwa mizinga na kuwekewa parade za kijeshi na kuona ufahari...
Serikali imesema inaboresha vituo vya walimu kwa lengo la kuendelea kutoa fursa kwa walimu kupata mafunzo wakiwa kazini ili kuwejengea uzoefu.
Hatua hiyo inakwenda sambamba na maboresho ya Sera...
Kusema ukweli Huyu mama sio wa kawaida.
Nimeona nyumba za kudumu na kisasa wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro wanaohamishiwa Mkoani Tanga maeneo ya Handeni na Kilindi.
Ni nyumba za kisasa...
Habar wanajukwaa.
Tangu nchi yetu ipate Uhuru wananchi tuliishi kwa amani,utulivu, salama, kwa upendo, matumaini, kuvumiliana, na siasa ambayo haikuwa na uadui.
Pamoja na kwamba CCM haikuiletea...
Watanzania wenzangu, Ngorongoro ni lazima ilindwe kwa nguvu zote.
Japo Wamasai hawataki kuondoka Ngorongoro kwa hiari yao kama maeneo mengine ambapo paliwahi kufanyika operation kama hii lakini...
Nimemsikia msemaji wa mambo ya bajeti wa ACT Wazalendo akisema Waziri Mwigullu hajarekebisha viwango vya Kodi ili Kima cha chini cha mshahara kisitozwe PAYE kama ilivyo utamaduni wetu.
Je, kuna...
Waziri mkuu mh Majaliwa leo amepokea orodha ya awali ya wananchi 453 walioomba kuhama kwa hiyari katika hifafhi ya Ngorongori.
Waziri mkuu amewaahidi wamasai hao kwamba serikali itawapeleka...
Haya magari yamegharimu 200M+ hadi 400M+ kwa bei ya "kuuziana" yatanunuliwa kwa nusu ya bei halisi (hasara).
Hawa madereva mtawafukuza kupunguza wage bill?
Wazo langu ni kuyatoa TEMESA kila ofisi...
Dar es Salaam.
Ni kung’ata na kupuliza. Hizo ndizo pande mbili za bajeti ya Serikali iliyowasilishwa bungeni jana, ikiwa ni hatua za kubana matumizi ya Serikali na kuwapa unafuu wananchi...
Makamu wa Rais Dkt. Mpango ameyataka Mashirika ya Umma ambayo bado hayajatoa Gawio la serikali kufanya hivyo
Dkt. Mpango ameipongeza Benki ya NMB kwa kutoa Gawio Nono lila mwaka
-----
Makamu wa...
Kwanza nianze kwa kusema, hata mtu awe mwema au mtaalam wa kiwango gani, hawezi kutatua matatizo yote ya dunia hii peke yake. Anachotakiwa ni kufanya kwa nafasi yake akitanguliza dhamira njema na...