Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KUTOKANA NA UPENDO, HURUMA YA MHE RAIS SAMIA KWA NDUGU ZETU WAMASAI WA NGORONGORO, NAPENDEKEZA KIJIJI CHA MSOMERA KIITWE SAMIA VILLAGE Fuatana Nami Joseph #Yona. 0713802226. yonapavea@gmail.com...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Fanyeni mabadiliko maana hata siasa ni sayansi. Mnatakiwa kwenda na sayansi na teknolojia. Siasa pia ni Sayansi inayohitaji elimu ili kujua mahitaji ya wakati. Sijui tu wanachama wenu wako vipi...
2 Reactions
66 Replies
4K Views
Kwa taifa letu katiba ndio mwanzo na mwisho juu ya uendeshaji wa nchi. Kugawa madaraka ya mihimili na kuwapa wananchi haki zao. Hii ni kwa sababu taifa letu lina katiba iliyoandikwa. Yaani...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Taarifa hii mpya imenukuliwa kwenye Gazeti la Raia Mwema , na kwamba imetolewa na Taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa ya Tanzania. Imetajwa kwamba Mashitaka yanayochunguzwa na Takukuru dhidi ya...
13 Reactions
29 Replies
3K Views
27 June 2022 Lisbon, Portugal 🇵🇹 Dkt. Mpango: Tanzania imejitolea kuhifadhi bahari, rasilimali zake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amesema...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mbunge wa Zamani wa Ubungo, Saed Kubenea anaandaa utaratibu wa kukata rufaa dhidi ya maamuzi yailiyotolewa na Mahakama ya Kinondoni ambako Mahakama hiyo ilitupilia...
4 Reactions
42 Replies
3K Views
Tangu ulipochaguliwa miaka minne iliyopita hatujawahi kukuona tena hivyo tunakuomba uje,uzungumze nasi tukupe matatizo yetu uyapeleke mjengoni. Karibu jimboni kwako uzungumze na wapiga kura wako...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi CCM-Taifa Mhe Shaka Hamdu Shaka aisifu Mahakama kesi ya Freeman Mbowe, asisitiza Serikali ya Rais Samia ni ya kidemokrasia na inajali Uhuru wa Mahakama "Hakuna...
11 Reactions
202 Replies
18K Views
Tanzania yatajwa kuwa ndio nchi yenye umeme wa bei chee zaidi Africa mashariki || Rwanda yatajwa kuuza umeme bei ya ghali zaidi nchi za maziwa makuu, " Hakuna kama Samaia " Tanzania baada...
13 Reactions
196 Replies
14K Views
Ujio wako kwenye madaraka no1 ktk nchi hii, tulikuwa na matumaini ya wepesi wa maisha japo kidogo lakini imekuwa tofauti kabisa. Uweka matozo kibao, tumelalamika mpaka basi,sasa tunadanganywa eti...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Kila mwaka duniani kuna wastani wa watalii 1.5 bilioni wanatafuta ni wapi waende kutali au kula bata || ||Sisi Tanzania ni nchi ya Pili kwa vivutio vingi vya asili duniani lakini tunaambulia...
26 Reactions
290 Replies
23K Views
Baada ya uzinduzi wa Filamu ya The Royal Tour, watalii na wawekezaji katika sekta ya utalii wameongezeka kwa mujibu wa hoteli za kitalii Dar es Salaam ongezeko la wageni limefika asilimia 280 na...
2 Reactions
7 Replies
852 Views
Kwa heshima na taadhima pokea barua yangu nikikutumia kwa nia njema na katika kutekeleza wajibu wangu kama mwananchi na mwanazuoni kwa mujibu wa Ibara 26 ya Katiba “kuhakikisha hifadhi ya Katiba...
38 Reactions
107 Replies
11K Views
Katika historia ya Chadema, japo sio sharia ila kiutamaduni, mgombea urais wa chama hicho huwa amekuwa mbunge katika bunge lilitangulia kabla ya uchaguzi. Mbowe, Slaa, Lowassa na Lissu. Uchaguzi...
7 Reactions
77 Replies
5K Views
Mohamed ambaye ni mbunge wa ACT Wazalendo amesema siyo sawa kabisa kuweka viwangoo vya kodi vinavyofanana kwa nchi za Tanzania Bara na Zanzibar. Uchumi wa Zanzibar na Bara ukiilinganisha ni...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kiwango cha Bunge la Tanzania kubadili majukumu yake ya kikatiba na kuanza kujikita kwenye kupongeza yanatisha.Kutwa nzima ni speeining za kusifia na kupongeza. Speed ya Wabunge kusifia Serikali...
16 Reactions
34 Replies
3K Views
Jarida maarufu duniani la 'The New Yorker' lililoasisiwa mwaka 1925 nchini Marekani limeongelea ziara ya Rais Samia Central Park, Marekani. Jarida limemtaja Rais Samia kama Rais wa kwanza mwanamke...
15 Reactions
155 Replies
12K Views
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu yazungumzia matokeo ya ziara ya Rais nchini Oman na matokeo ya filamu ya Royal Tour. Uwekezaji watajwa kuongezeka ikiwemo wawekezaji wanaotaka kuwekeza...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Wazungu ni tofauti na Wachina na Wahindi, Wachina na Wahindi wanawekeza sana kwenye viwanda na hilo liko wazi. Kiwanda kama A to Z Arusha kina wafanyakazi 10, 000+ hata kama ni wana lipa kidogo...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Leo nimefuatilia mahojiano aliyoyafanya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman kupitia kipindi cha Clouds360 cha Clouds TV na nimbaki na maswali mengi kuliko majibu Othman Masoud...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…