Ni nadra kukuta Wabunge wa Rwanda wakimsifia Kagame Bungeni

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,704
6,499
Kiwango cha Bunge la Tanzania kubadili majukumu yake ya kikatiba na kuanza kujikita kwenye kupongeza yanatisha.Kutwa nzima ni speeining za kusifia na kupongeza.

Speed ya Wabunge kusifia Serikali au Raisi Mwenyewe ni kubwa sana na ilianza awamu ya 5 na sasa speed ina tisha. Huko Dodoma wabunge wana badilisha venue tu za sherehe za kupongeza Raisi mara kupongeza bajeti.

Yaani wameona ile ya kujadili bajeti na kuisifia na kuopitisha kwa asilimia zote haitoshi wanaona watoke na nje mtaani wafanye sherehe za kupongeza bajeti kupitishwa.Cha ajabu unakuta hao hao majimboni mwao kuna hali ngumu sana raia hawana vituo vya afya na kama vipo hakuna dawa, hakuna maji safi na salama ya kunywa, vijana hawana ajira, na haya ni matatizi ya miaka nenda rudi na mwakani bajeyi ijayo yatakuwepo tena.

Pale Rwanda kwa Mbabe Kagame huwezi kuta wabunge wa Chama cha Kagame wanafanya huu ujinga, Pale Uganda kwa Mseveni huwezi wakuta wabunge wa chama Tawala cha Mseveni wanafanya huu ufala, Pale Kenya ndio kabisa huwezi wakuta wana fanya haya.

Huu ujinga unafanywa na Bunge la Tanzania pekee ambalo limegeuka kuwa kitio cha Kupongeza too low.na hawa wabunge wa Vitu maalumu ndo wako front line kuongoza huu ujinga.
 
Wabunge wa Rwanda wanajua wajibu wa mbunge na mipaka yao, wa hapa nchini ndio hivyo tena tia maji! Hawaamini kutenda bila kusifia na kutaka kujikweza
 
Nakumbuka kuna CAG aliwahi sema Bunge letu ni dhaifu..

Hapa ndo utaona umuhimu wa katiba mpya, maana kwenye katiba mpya ya warioba raisi amepunguziwa mamlaka plus ile kinga ya Raisi kutokushtakiwa baada ya kuondoka madarakani pia imetolewa.

That means hatuwezi pata katiba kirahisi kama tunavyofikiria.

Haiwezekani Speaker wa Bunge, na Jaji mkuu,mkuu wa majeshi wote wateuliwe na Rais alafu wapate nguvu ya kumpinga anapokosea.
 
Watanzania wambea sana, mnavyobishana humu utadhani kuna member amewahi kukaa na kufuatilia Bunge la Rwanda hata kwa sekunde 30. Wajinga ninyi.
 
Back
Top Bottom