Anawapigania mpate bei nzuri ya Pamba akitokea Dodoma na Dar. Au mnaona raha akija huko kuwachekeachekea halafu mkose mpambanaji wa bei ya Pamba mkaishia shs 700 kama mwaka jana.
kiukwel hatujawahi kumwona tangu uchaguzi mkuu
Acha uongo ww mbona alikuja siku ile kwenye mkutano wa kinana akamweleza matatuzo yetu wana maswa
vp mkuu ulifikiri jamaa ka-rest in peace nini!! ha hahaUmenistua kweli na heading yako!
Tangu ulipochaguliwa miaka minne iliyopita hatujawahi kukuona tena hivyo tunakuomba uje,uzungumze nasi tukupe matatizo yetu uyapeleke mjengoni.
Karibu jimboni kwako uzungumze na wapiga kura wako maana wanakuhitaji wakuambie matatizo yao.
Hahahahvp mkuu ulifikiri jamaa ka-rest in peace nini!! ha haha
bado yupo sana tu, anajipanga 2015.