Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Natumia nafasi hii, kumshukuru kwa dhati, Rais Samia Suluhu kwa nia aliyoionyesha ya kusaidia na kuwekeza zaidi katika Sekta za Uzalishaji, ulipozindua Agenda 1030, wengi walidhani hayatotokea...
0 Reactions
2 Replies
777 Views
USULI Uchaguzi Mkuu huzalisha vitendawili vingi vinavyopaswa kujibiwa na wapiga kura katika harakati zao za kusimamia ujenzi wa jamii inayowajibika kisiasa, kiuchumi na kijamii. Kitendawili...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Huu ndio ukweli niliouona leo mitaa yote nchini Tanzania, Nane nane imefunikwa kabisa na Tamasha la Simba, linalofanyika DSM. Sasa ni dhahiri kwamba Wananchi wamezichoka kabisa porojo za...
18 Reactions
65 Replies
4K Views
Zamani nilijua ni kwa sababu za kiusalama lakini baada ya kuiona dhamira njema iliyopo awamu hii ya SITA, siioni sababu ya Tundu Lissu kuendelea kuzurula Ubelgiji. Ni utumwa wa kifikra kudhani...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Habari Wakuu! Siku chache zilizopita, niliweka uzi hapa Jukwaani nikihoji uhalali wa mawaziri kulipwa perdiem wawapo Bungeni. Mada ile ilitokana na tweet ya John Heche aliedai Waziri Mkuu...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa kuteuliwa upya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera baada ya kukaa benchi zaidi ya mwaka, Chalamila hana budi kumshukuru mungu na kuitumia fursa hii ya kipekee. Akiboronga amekwisha lakini akichapa...
2 Reactions
3 Replies
890 Views
Akizungumza katika maadhimisho ya siku ya Wakulima (Nanenane) yaliyofanyika Jijini Mbeya, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amewataka vijana kujishughulisha na...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna Kiongozi Kaisifia CCM kuwa Iliweka HISTORIA ya Kushinda Chaguzi za Mwaka 2019 za Serikali ya Mitaa na Mwaka 2020 Uchaguzi Mkuu Naomba nimkumbushe tu DUNIA nzima na WATANZANIA wote hata...
1 Reactions
2 Replies
738 Views
Mapokezi makubwa na ya kipekeee aliyoyapata mkoani Mbeya yameonesha namna watu walivyo na Imani na uongozi wa mama Samia, kazi kubwa na utumishi wa kutukuka unaofanywa na mh Rais imekuwa Chachu na...
1 Reactions
1 Replies
644 Views
Habari! Inafika wakati unajiuliza nchi hii ni Serikali kamili na Ina uongozi kamili? Una fedha bank unataka upate huduma mahali kupitia simu unaweka codes mfano *150*03# au *150*66# unabonyeza ok...
1 Reactions
2 Replies
730 Views
Nawasalimu kwa jina la JMT.. Taarifa mpya ni kwamba Siku Rais wa JMT mh.Samia S.Hassan atashuhudia utiaji Saini wa Mkataba wa Ujenzi wa skimu ya umwagiliaji yenye ukubwa wa hekta 95,000 wenye...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Hapana shaka siasa za upinzani kuelekea zimepoteza matairi ya kukimbilia. Hali hii inajihirisha baada ya ukimya wa Mbowe, Lissu na Mnyika kwenye mambo mbali mbali mtambuka yanayoendelea katika...
2 Reactions
38 Replies
2K Views
=== Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuwa na kifua cha kuvumilia kukosoa na kukosolewa...
19 Reactions
187 Replies
11K Views
..kuna mambo CCM wamekatazwa kuyajadili. Tatizo wanataka kulazimisha Watanzania wote wawe kama wao. ..fuatilia hoja za Mch.Mtikila na jinsi Mwenyekiti wa Bunge Maalum Samuel Sitta alivyopatwa na...
2 Reactions
3 Replies
697 Views
Kuna taarifa kwamba Chadema imealikwa na chama cha Conservative cha Uingereza kuhudhuria mkutano wa kumchagua Waziri mkuu mpya wa nchi Hiyo Inategemewa mwenyekiti nh Mbowe ndio ataongoza ujumbe...
6 Reactions
46 Replies
4K Views
Rais Samia amesema uchaguzi mkuu ukikamilika ma mshindi kupatikana basi mambo ya Siasa yanawekwa pembeni na chama tawala linamuunga na Serikali kuwaletea Wananchi maendeleo Ni wakati huo...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Rais Samia yupo Mkoa wa Mbeya kikazi kwa siku nne leo ni siku ya tatu. Yupo Rais pale na ujumbe wake. Pili tukio liko LIVE watanzania wote wanaliangalia na kufuatilia. Hasa wabunge ni washamba...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Udikteta siyo mbaya kama wengi wanavyofikiria bali mtu ndio anaweza kuwa mbaya ndani ya nafsi yake. Mwaka 2015 Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Mbowe alitumia falsafa ya udikteta na kumleta Komredi...
1 Reactions
9 Replies
656 Views
Habari! Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA. Hata. UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye...
32 Reactions
143 Replies
12K Views
Hivi hili kundi la m23 limetoka wapi hasa? Na kiongozi wao mkubwa ni nani? Na silaha nzito wanatowa wapi? Haya ni maswali ambayo na jiuliza Sipati jibu. Leo hii hawa M23 wamekuwa wakifanya...
5 Reactions
84 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…