Pamoja na kwamba Dk. Tulia Ackson ni mzito kuunda tume za kibunge kuchunguza mambo yenye sintofahamu yanayowasibu wananchi.
Tutumie haki yetu ya kikatiba kumtaka kuunda tume ili kuleta majibu ya...
Waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba ametangaza kwenye gazeti la serikali kuanza kwa kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia bank pale unapotoa au kuweka fedha utakatwa kodi ya viwango tofauti...
Huko Ulaya ni moto kila kona hadi bei ya mapande ya barafu imepanda maradufu
Maeneo mengi ya Africa mito imekauka na kuleta uhaba wa MAJI na ukame
Nawasihi sana Watanzania tumuunge mkono waziri...
Adai ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
Mwigulu Nchemba auchuna.
Mbowe ahoji utitiri wa magari msafara wa Rais
=======
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema utitiri wa magari katika...
Lipo wazi kwa sasa hawa wapinzani wetu wapo kimya kizito sana, bila shaka Kuna ajenda na makubaliano waliwekeana maana haiwezekani wote kwa mkupuo wakae kimya kwanzia mwenyekiti, tundu lissu, God...
Matukio ya ajali za barabarani yanaonekana kushamiri maeneo mbalimbali nchini huku watanzania wenzetu wasio na hatia wakipoteza maisha na wengine kubaki na ulemavu wa kudumu.
Hivi ni kweli...
SHAKA ATUMIA KIJIWE CHA KAHAWA TABORA KUELEZA MWELEKEO WA RAIS KATIKA KILIMO
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa, (NEC) ya CCM, tikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ametembelea kijiwe cha Kahawa...
Wadau nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Kazi inaendelea.
Kichwa cha habari chausika. Naenda moja Kwa moja kwenye mada.
Nawaza Sana hivi ni kwanini tangu tumepata Uhuru 1961...
Ukiachilia mbali kuwa huenda labda dogo Nasari ameshanunuliwa kwa hiyo anatafuta namna ya kuunga mkono juhudi bila lawama sana
Lakini huenda move hii pia imefanywa kama maandalizi ya kuweka...
Dear all,
Greetings from X part of Tanzania,
As I was watching one clip (source, Azam News), I heard Tundu Lissu's reflections about the 2017 Kenya democratic election, which have made...
Ninaomba sana Mheshimiwa Rais na Serikali itupie jicho huduma zinazotolewa na RITA kwakweli wananchi tunazungushwa sana kupata huduma bila sababu za msingi.
Kwa sasa wameanzisha huduma ya...
Kuna Walimu wanamiaka miwili wengine zaidi wanajitolea kwenye shule za umma, wamepewa mpaka vipindi kabisa na wanafanya kazi hawana tofauti na waajiriwa.
Urambo, Tabora
17 Agosti, 2022.
Kazi ya kuimarisha uhai wa chama, kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi 2020-2025, usikilizaji kero za wananchi na uhamasishaji wa sensa yapamba moto.
Katibu...
Nimefuatilia mjadala mkubwa wa Waziri wa Nishati kutumia lugha za kashfa kwa Mamlaka iliyokuwa inahoji kuhusu kuchelewa kwa Bwawa la Julius Nyerere pamoja na tatizo la kukatika kwa umeme.
Sote...
Taarifa ya Wizara ya Nishati imetoka kuwa wizara imeingia ubia na kampuni moja ya arabuni kuzalisha umeme megawati 2000.
Kinachoshangaza ni ule uharaka wa kuanzisha mradi mkubwa wa ubia wakati...
Ifikie hatua tuseme ukweli.
Huwezi mchakato wa mzee Warioba ukaukejeli mchana kweupe ukidhani ni sawa kumbe unatafuta laana tu ya bure.
Tanzania inanafasi kubwa ya kupata katiba mpya na bora...
HANDSHAKE kati ya Raila Amolo Odinga na Uhuru Kenyata ililenga kufanya mabadiliko makubwa ya kikatiba ili kuweka vyeo, pamoja na mambo mengine mengi. William Rutto aliwaambia wakenya kwamba shida...
Heshima kwenu wakuu!
Kama wengi tunavyojua watanzania tunatarajia kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025.
Kwa kujifunza kutokana na uchaguzi mkuu...
Mama yetu Yuko poa sana Kwa Sasa . Mcheshi ,mpole na ana chapa kazi kweli kweli. ila Sasa baba yetu haijulikani kapotelea wapi. . Misafara kama hii ya ziara za mikoani ilitakiwa baba anakuwa...
Mwenyekiti wa kikosi kazi kinachokusanya maoni ya wananchi juu ya katiba mpya Profesa Mukandala amesema Siyo Watu wote wanahitaji katiba mpya. Mukandala ambaye yuko nchini Zanzibar amesema...