AFRIKAMOJA
Member
- Aug 11, 2022
- 30
- 37
Urambo, Tabora
17 Agosti, 2022.
Kazi ya kuimarisha uhai wa chama, kusimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi 2020-2025, usikilizaji kero za wananchi na uhamasishaji wa sensa yapamba moto.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka yupo mkoani Tabora kwa ziara ya siku tano 16-20 Agosti, 2022 akiwa ameambatana na Katibu Mkuu Jumuiya ya CCM ya Wazazi Tanzania Ndg Gilbert Kalima.
'CCM Imara, Shiriki Uchaguzi Kwa Uadilifu na Jiandae Kuhesabiwa Agosti 23, 2022'
#CCMImara
#KaziIendelee