Je, Rais anahujumiwa na aliowaamini?

Je, Rais anahujumiwa na aliowaamini?

F4B

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2022
Posts
354
Reaction score
447
Kwa kawaida hakuna mtu anayejua Kila kitu ndiyo maana pakawepo na matabaka ya viongozi mfano mawaziri ni tabaka la juu la viongozi.

Hoja yangu ipo hapa nani? Alimshauri Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan wazo la TOZO Kwenye account za benk za watu.

Aliyemshauri naamini ni mtaalamu wa maswala ya fedha hasa eneo la KODI.Je mtaalamu huyo hakuona kabisa sio halali kukata hela/ fedha ya mtu bila kufanya naye kazi au biashara mfano watumishi wa umma wanalipa PAY as you earn hii ni Kodi Kwa sababu wamefanya kazi.

Je, Mtu akienda kutoa fedha ATM kwa nini akatwe fedha ya tozo na serikali ili hali amekatwa Hela ya service?(huduma) na Benk yenyewe mfano NMB

Mhe Rais kuwa macho Kuna watu wanakuhujumu mchana kweupe maana wao ndo wataalamu, chukua hatua.
 
Mzilankende Asingevumilia Huu Upuuzi Angemtimua Mwigulu Chap Chap
 
wamesahau biashara kubwa kwasasa ni ile ya upangishaji nyumba, hasa miji inayokua...kunakuwa na uhitaji mkubwa sana wa nyumba za kupangisha. CCM hawawazi kwamba pesa za kodi za nyumba zinalipwa mikononi wala hazikatwi kodi...hawabuni namna ya kuwakata wamiliki wa nyumba kodi. Unakuta mwenye nyumba alijenga nyumba zamani bati ikiuzwa elfu 8, cement ikiuzwa elfu 7 n.k.. leo kodi za nyumba zinapanda kiholela tu wakati nyumba ilijengwa kwa material za bei rahisi, wamiliki wangekuwa wanachangia kidogo kwa kodi ingesaidia waachane na miamala ya mabenki
 
  • Thanks
Reactions: F4B
Kwa kawaida hakuna mtu anayejua Kila kitu ndiyo maana pakawepo na matabaka ya viongozi mfano mawaziri ni tabaka la juu la viongozi.

Hoja yangu ipo hapa nani? Alimshauri Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan wazo la TOZO Kwenye account za benk za watu.

Aliyemshauri naamini ni mtaalamu wa maswala ya fedha hasa eneo la KODI.Je mtaalamu huyo hakuona kabisa sio halali kukata hela/ fedha ya mtu bila kufanya naye kazi au biashara mfano watumishi wa umma wanalipa PAY as you earn hii ni Kodi Kwa sababu wamefanya kazi.

Je, Mtu akienda kutoa fedha ATM kwa nini akatwe fedha ya tozo na serikali ili hali amekatwa Hela ya service?

Mhe Rais kuwa macho Kuna watu wanakuhujumu mchana kweupe maana wao ndo wataalamu, chukua hatua.
Hili nalo mkaliangalie
 
Kuna muda mtalaum washauri bure kwani rais wetu ni myopic kiasi kwamba kila ushauri kwake ni ndio basi Kama ni hivyo basi naungana na bwana Shaaban Robert

"Kuna zama zitafika kwa wajinga kuwa viongozi na werevu kuwa wafuasi"

"Mtu mwenye akili timamu akishindwa kujishughulisha na mambo yanayo huyu taifa lake basi hutawaliwa na wajinga"Socrates
20220519_072434.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kawaida hakuna mtu anayejua Kila kitu ndiyo maana pakawepo na matabaka ya viongozi mfano mawaziri ni tabaka la juu la viongozi.

Hoja yangu ipo hapa nani? Alimshauri Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan wazo la TOZO Kwenye account za benk za watu.

Aliyemshauri naamini ni mtaalamu wa maswala ya fedha hasa eneo la KODI.Je mtaalamu huyo hakuona kabisa sio halali kukata hela/ fedha ya mtu bila kufanya naye kazi au biashara mfano watumishi wa umma wanalipa PAY as you earn hii ni Kodi Kwa sababu wamefanya kazi.

Je, Mtu akienda kutoa fedha ATM kwa nini akatwe fedha ya tozo na serikali ili hali amekatwa Hela ya service?

Mhe Rais kuwa macho Kuna watu wanakuhujumu mchana kweupe maana wao ndo wataalamu, chukua hatua.
Hata Kama hana Nia ya kugombea Tena nafasi aliyo nayo anatakiwa ailinde heshima aliyojijengea Kwa wananchi na asiruhusu image yake ipakwe matope na hao watoto wa walamba asali aliowateua Kwa mashinikizo ya baba zao! Yawezekana yasemwayo juu yake kuwa yupo mshika remote yakawa kweli! Shauri yake na atajua mwenyewe!
 
Kuna muda mtalaum washauri bure kwani rais wetu ni myopic kiasi kwamba kila ushauri kwake ni ndio basi Kama ni hivyo basi naungana na bwana Shaaban Robert

"Kuna zama zitafika kwa wajinga kuwa viongozi na werevu kuwa wafuasi"

"Mtu mwenye akili timamu akishindwa kujishughulisha na mambo yanayo huyu taifa lake basi hutawaliwa na wajinga"SocratesView attachment 2330778

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu nimekuelewa sana
 
wamesahau biashara kubwa kwasasa ni ile ya upangishaji nyumba, hasa miji inayokua...kunakuwa na uhitaji mkubwa sana wa nyumba za kupangisha. CCM hawawazi kwamba pesa za kodi za nyumba zinalipwa mikononi wala hazikatwi kodi...hawabuni namna ya kuwakata wamiliki wa nyumba kodi. Unakuta mwenye nyumba alijenga nyumba zamani bati ikiuzwa elfu 8, cement ikiuzwa elfu 7 n.k.. leo kodi za nyumba zinapanda kiholela tu wakati nyumba ilijengwa kwa material za bei rahisi, wamiliki wangekuwa wanachangia kidogo kwa kodi ingesaidia waachane na miamala ya mabenki
Nazani Mhe Rais anapaswa kutumia mamlaka yake kwa hili.
 
Waziri wa Fedha anapaswa kuwajibika ktk hili la TOZO
 
Wewe unapendekeza njia gani itumike ?🤔
Wapunguze matumizi ya serikali hakuna haja ya kununua magari ya 400 mil. Wakati gari ya 40 - 60mil ingetosha kabisa kwa viongozi wa serikali.
Wapunguze safari zisizo na tija zinazo ongeza matumizi ya hovyo ya pesa.
Vyeo vya kipumbavu vimekuwa vingi sana vipungunguzwe hapo serikali itaokoa pesa nyingi sana
Wasimamie nankuchukua hatua ufujaji na wizi wa fedha kupitia miradi na shughuli za kiserikali pamoja na wizi unao fanywa kwenye manunuzi ya serikali. Mbona pesa ipo nchi hii tatizo wanawachekea wezi na wabadhirifu wa mali za umma
 
Safi wazo zuri kabisa.
 
Unakwenda halmshauri unakutana na Maafisa utumishi zaidi ya watatu na Wana PS.Kuna kitu hakipo sawa
 
Kwa kawaida hakuna mtu anayejua Kila kitu ndiyo maana pakawepo na matabaka ya viongozi mfano mawaziri ni tabaka la juu la viongozi.

Hoja yangu ipo hapa nani? Alimshauri Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan wazo la TOZO Kwenye account za benk za watu.

Aliyemshauri naamini ni mtaalamu wa maswala ya fedha hasa eneo la KODI.Je mtaalamu huyo hakuona kabisa sio halali kukata hela/ fedha ya mtu bila kufanya naye kazi au biashara mfano watumishi wa umma wanalipa PAY as you earn hii ni Kodi Kwa sababu wamefanya kazi.

Je, Mtu akienda kutoa fedha ATM kwa nini akatwe fedha ya tozo na serikali ili hali amekatwa Hela ya service?(huduma) na Benk yenyewe mfano NMB

Mhe Rais kuwa macho Kuna watu wanakuhujumu mchana kweupe maana wao ndo wataalamu, chukua hatua.
Rais kajichimbia shimo kubwa la anguko
 
Back
Top Bottom