Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Mehmet Gulluoglu amelipongeza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kwa kuimarisha ulinzi katika mpaka wake wa...
Rais wangu Samia rudi kwenye misingi uliyoianzisha wewe na rafiki yako Magufuli, huyu ndiye rafiki yako mkubwa kuliko wote ulionao.
Kubali kukosana na wachache kwa manufaa ya wengi
Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amesema kuwa mojawapo ya sababu zilizofanya wawakilishi wa nchi ( wabunge) waamue kukubali kupitishwa kwa tozo ni uwepo wa miradi mikubwa ya kimkakati...
Katika Menu za Mitandao ya Simu kuna option ya kutoa sadaka kwa Kanisa husika
Naomba kipengele hicho kisamehewe Tozo
Kwako waziri Dr Mwigullu Nchemba
Mungu wa mbinguni akubariki
Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kufahamu kwanini viongozi wanapenda sana kumshukuru Rais kwa kutoa fedha huku watu wanaochanga ni wananchi, Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba amesema...
Niwe mkweli sikuwa nimezaliwa kipindi kile Mwalimu Julia's Kambarage Nyerere alipo wambia Baba na mama zetu wafunge mikanda!
Sina hakika kama Nyerere alimwambia wananchi wasivae hata chupi Ili...
Suala la makato ya kodi na tozo za miamala kwa wananchi zaidi ya mara moja, pasipo kujali kipato chao, shughuli zao, matumizi ya fedha wanazikatwa tozo, inaweza kuwa ni kuwanyang'anya wasio nacho...
Nimemsikia bila aibu asubuhi hii akiwa Radio One akitetea mabasi yote yaanzie Mbezi/ Magufuli bus terminal bila kujali mateso wanayopata abiria wa mbali.
Hivi Kambaya basi likianzia Kigamboni na...
Kwanza wamefanya press kwa kukurupuka tu. Hatujaelewa jambo lolote.
Pili, wamepunguza kodi ya madini toka 6% hadi 3%. Wakatutwisha mizigo hadi kwenye tumishahara ambato tusharipia kodi. Huu ni...
Unakuta nalalama eti Mbowe kawa kimya kisa kalambishwa asali na watawala. Unakuta namlaumu Mbowe eti ooh, katishwa kidogo tu ameufyata! Ooh, Mbowe ni TISS kuipinga serikali ni gheresha tu!
Kwangu...
Mamlaka ya Mapato imetangaza kuanza kukusanya Kodi ya Pango ya Asilimia 10.
Binafsi sipingi bali nashauri Kupunguza hiyo Asilimia kutoka 10 kuwa 5 .Madhara ya Kodi ya Pango ni pamoja na KODI...
Heshima kwako Mama.
Kilio na malalamiko ya Wananchi kuhusu tozo Leo vimemuibua Waziri wako wa fedha na uchumi Mwigulu Lameck Nchemba. Ametoa ufafanuzi akisingizia Wananchi ndio waliomwambia...
Ieleweke tu siyo Mapato yote ya Serikali yanakusanywa na kusimamiwa na Wizara ya Fedha
Kwa mfano Tozo za miamala ya Simu hizo zinawajibika kwa Waziri Nape na zile local Levy mfano Majengo...
Mimi nimekuwa nikipinga siasa za kipuuzi zinazofanywa na wabunge wa CCM,kwa mfano huyu mbunge wa Temeke Abasi Mtemvu amekuwa akijifanya anatafutia vijana ajira nje ya nchi Lakini kimsingi ni kama...
Waziri wa fedha Dr. Mwigulu Nchemba alilieleza bunge kuwa ili kupunguza maintanance cost ya magari ya serikali watumishi wa umma watakopeshwa magari wanayotumia.
Je, mkopo huo utarejeshwa kwa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, vijana, ajira na wenye ulemavu) Mhe. Joyce Ndalichako amesema kuwa malalamiko ya wafanyakazi kuhusu makato ya mishahara yao yanashughulikiwa kwa kuwa...
Mtakwimu mkuu wa serikali NBS, Dr. Albina Chuwa amewatahadharisha makarani kuwa hawatalipwa kiasi cha malipo kilichobaki endapo hawatafikisha kaya 100 kila mmoja, wakati akieleza mwenendo wa zoezi...