Ni Mbunge Imara na Mwenye Maono Mapana ya Jimbo lake
Anaandika Madam Rose Matemu
Mhe. Saashisha Elinikyo Mafuwe, katika kipindi chake cha Uongozi, ameweza kuonyesha njia kwa kuwa msimamizi...
Serikali inayoongoza taifa hili la TANZANIA na WATANZANIA wote inabidi tujifunze mambo mbalimbali ya faida kutoka China :- i, Ni kwa namna gani serikali inaweza kuiongoza nchi kiufasaha...
Malkia Elizabeth wa pili amefariki Sept.8, 2022.
Anaitwa Elizabeth Alexander Marry (Malkia Elizabeth II wa pili ),alirithi madaraka kutoka kwa Baba yake ,Mfalme George wa sita 1952 (Prince...
Malkia amefariki! Tumtakie Mfalme umri mrefu!
Ndivyo Waingereza wanavyosema hivi sasa. Na ni kauli mbiyu ya zamani hiyo.
Ukitazama, utaona kuna mshikamano mkubwa hapa, na mapenzi makubwa...
Kwa mambo yanavyoendelea nchini Tanzania hasa hasa baada ya tarehe 17 Machi, 2022 kuna Chama na Kiongozi wake Tanzania imeshawashinda kiasi kwamba wengine wanatamani tu Tukio lolote litokee ( hasa...
"Ndani ya mwaka mmoja ailetea Tanzania zaidi ya trillion 43"
Ikiwa ni mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kushika atamu, kumekuwepo na mijadara inayozungumzia juu ya...
Ni ujinga kufurahia Chadema kugomea Ruzuku kwa sababu ile ni haki yao ya kikatiba kwa ajili ya kuimarisha demokrasia nchini
Ila itumike kwa Uwazi na si kifisadi wananchi tuna uchungu na Tozo zetu
Museveni anatawala UG tangia 1986, ameweza hilo ingawaje anatoka kundi dogo ambalo ni minority Uganda, sababu kubwa ni kwamba ana Jeshi, anamiliki Jeshi kama ukipenda na ndio maana anaongoza...
Father Kitima relax hiki kizazi cha Mo energy hakina Ujasiri wala maarifa ya kufanya movement yoyote ya Kisiasa
Wewe ziangalie taasisi za Vijana kwenye vyama vya siasa hasa Chadema ( Bavicha) na...
Kiongozi Mkuu wa ACT wazalendo akiambatana na Boby wine akiwa na Meya wa Mji wa Lyviv -UKRAINE.
SWALI MUHIMU:
msimamo wa ACT katika vita vya UKRAINE Unaegamia mrengo upi?
CC; Pascal Mayalla...
Yule mchumi wa maigizo anayejiita Zitto Kabwe kapotelea wapi siku hizi?
Wakati wa Magufuli, Bwana Zitto alikuwa na mstari wa mbele kumkosoa magu kwa mbwembwe na madoido huku kabebelea vipeperushi...
Yapo maswali mengi hapa:
Je, Tanzania kuna magaidi?!
Usalama wa maeneo kama Kanisani na misikitini na hata penye mikusanyiko yenye idadi kubwa ya watu kuna usalama tena?
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea na vikao vya ndani ambavyo vilianza kurindima tarehe 17/09/2022. Sasa tazama hizi picha kisha tafakari nini namaanisha.
Kina mwigulu na Serikali ya Samia na wabunge wa CCM walipitisha tozo kwa maksudi tu, wakaona njia ni kuziongeza tu, walivyoona zinapigiwa kelele wakaona waziongeze ili sasa watu walalamike zaidi...
Leo baada ya kufikishwa mahakamani huko Moshi na kuendekea na Kesi inayomkabili na baadaye Kesi kuahirishwa hadi 26/09/2022 , basi wakaibuka watu walioangua kilio kikubwa huku wakipayuka kumuomba...
Ilikuwa mwaka 2018, Kipindi Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa Rais ndipo mshike mshike ulianza wa Maduka ya kubadilishia fedha yalifungwa chini ya ulinzi mkali, jambo ili lilifanya watu...
Ukifuatilia siasa za Tanzania kuna mambo mengi sana yanachukuliwa poa lakini kiuhalisia yanaweza kuwa kikwazo cha Tanzania kutofanikiwa kwenye mambo mengi.
Kuna jambo ambalo najua mimi sitakuwa...
Mkurugenzi Mkaazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Zlatan Milisic amesema uchunguzi waliofanya umeonesha wasichana watatu kati ya 10 wenye chini ya miaka 18, wapo kwenye ndoa za utotoni...
Dr Elly (PhD) amesema Elimu ni aina ya Utumwa ndio sababu watu wengi wanaojisifia kwa usomi Wana tabia za uzuzu
Dr Elly anasisitiza Utumwa wa Elimu unajidhihirisha pale waliosoma wako mitaani...